Пікірлер
@asteriasilomba4410
@asteriasilomba4410 7 сағат бұрын
Asante Roho Mtakatifu kwa Neno
@Veronicaaugustine-nb1vt
@Veronicaaugustine-nb1vt 12 сағат бұрын
Yesu aturehemu
@BettyadhiamboAlara
@BettyadhiamboAlara 2 күн бұрын
Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Mwendelezo jamani
@malendejamakashi588
@malendejamakashi588 2 күн бұрын
Amen mtumishi mwendelezo unakuja mtumishi utaupata mda si mlefu
@EvaSimon-g4v
@EvaSimon-g4v 2 күн бұрын
Mwendelezo wa semina hii ni Lin jmn
@malendejamakashi588
@malendejamakashi588 2 күн бұрын
Amen mtumishi wa Mungu mwendelezo unakuja mda si mlefu
@salahsadi3908
@salahsadi3908 2 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi malendeja ,🎉
@salahsadi3908
@salahsadi3908 2 күн бұрын
Asante YESU,
@EvaSimon-g4v
@EvaSimon-g4v 2 күн бұрын
Amen nimebarikiwa sana hili kanisa lipowap jamn mm nimefungwa na shetan nataman watu wakufungamana nao kwenye maomb
@ElizabethMelaisho
@ElizabethMelaisho 2 күн бұрын
2Nyakati 7:14 Mungu atuondolee adhabu ya kusikia lakini hatusikii! Kuona lakini hatuoni! Tuko kwenye kipindi kama cha wakati wa Nuhu!
@LeonardDeus-r1o
@LeonardDeus-r1o 3 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi hakika mungu amekuchagua
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 3 күн бұрын
Armeen! Mtumishi barikiwa sana!
@mbulabalenzi3790
@mbulabalenzi3790 3 күн бұрын
Kwenye mafunuo muhimu kama haya hata watu ni wachache.Njia kweli ni nyembamba ba waionao ni wachache.Mungu nisaidie sana
@EliyaKizaofficial
@EliyaKizaofficial 6 күн бұрын
Amina
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 14 күн бұрын
Tuombeje sasa?
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 14 күн бұрын
Ubatizo Gani wa kweli?Je? mwanamke aruhisiwa kuvaa suruali? kukirimu Mwili?kuvaa vimini?kusuka nywele?au haya hayana maana tu Bwana hayaangalii tuomba Toba ipi?Naomba msaada Mtumishi
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 14 күн бұрын
Bwana akubariki sana Mpakwa Mafuta wake
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 15 күн бұрын
Na wale wanaobatizwa ubatizo wa maji machache waombeje?au hivyo havina maana kwa Mungu?Toba ikoje?hiyo?watu watubuje?
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 15 күн бұрын
Wanawake wanaovaa vimini,nguo fupi,suluari,kusuka nywele,wanaume walevi na wala ugolo,waombeje?
@frolianhulubano6358
@frolianhulubano6358 15 күн бұрын
Mtumishi Barikiwa kwa ujumbe...Hapa bado napata mikanganyiko,je? wanawake wanachubua miili yao Inapasa waombeje?
@zakayomoleli
@zakayomoleli 27 күн бұрын
Ninyi mnaochukua picha maandishi ya neno la mungu hayasomeki mnaweka rangi ya njano haionekani
@MarcelMartinus-s4o
@MarcelMartinus-s4o Ай бұрын
Barikiwa Mtumishi
@fenellalilian4590
@fenellalilian4590 Ай бұрын
Amen 🙏
@dadafrida9202
@dadafrida9202 Ай бұрын
Amina mtumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo 'ubarikiwe
@dadafrida9202
@dadafrida9202 Ай бұрын
Amina
@josephsanduka9022
@josephsanduka9022 Ай бұрын
Mungu libariki taifa la Tanzania
@rashidmwakatoga7051
@rashidmwakatoga7051 Ай бұрын
Mungu aturehem, utukufu wake usitupite
@GabrielBoniface-pe3kc
@GabrielBoniface-pe3kc Ай бұрын
Amen ashukuriwe mungu aketie mahali pa juu mungu muweza wa yote❤🎉
@MathayoHema
@MathayoHema Ай бұрын
HAKIKA hayo uliyoyanena ni kweli ubarikiwe
@sinyoritamwakyambiki5203
@sinyoritamwakyambiki5203 Ай бұрын
Eee mungu usinipite
@sinyoritamwakyambiki5203
@sinyoritamwakyambiki5203 Ай бұрын
Amina mtumishi mungu ni mwema juu ya Tanzania
@sinyoritamwakyambiki5203
@sinyoritamwakyambiki5203 Ай бұрын
Mungu nisaidie kukujua wewe
@MussaSelemani-e4f
@MussaSelemani-e4f Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi. Mungu atusaidie sana na aibariki kazi unayoifanya binafsi naipenda kazi yako kazi nzuri na inaubora usiochosha kuisikiliza na kuitazama barikiwa sana.
@RogateShayo
@RogateShayo Ай бұрын
Yesu nisaidie niweze kuyashika haya ni mazito sana kwangu mzidishie nguvu mtumishi wako
@kaptolinasulley6769
@kaptolinasulley6769 Ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu utuhurumie sisi wenye dhambi utusamehe makosa yetu.
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 Ай бұрын
Eeh BWANA YESU Unirehemu mimi mdhambi Uturehemu Eeh BWANA
@atukuzwemahenge616
@atukuzwemahenge616 Ай бұрын
Mungu tusaidie
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Ай бұрын
Yesu Kristo atupe neema zaidi
@alexmayemba8606
@alexmayemba8606 Ай бұрын
Mungu aturehemu
@MarakiPatrick
@MarakiPatrick Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu.🙏
@magdalenapeter6106
@magdalenapeter6106 Ай бұрын
AMEN
@Gwa-Kayaga
@Gwa-Kayaga Ай бұрын
Punguza kwanza uzito wa mwili mtu wa Mungu😢
@queenjonsson4179
@queenjonsson4179 Ай бұрын
🙏
@JoyceMkini
@JoyceMkini Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi samahani nauliza uliwahi kufika kwenye Kanisa la tag mkongo juu au nitkua nimekufananisha mtumishi
@malendejamakashi588
@malendejamakashi588 Ай бұрын
Amen mtumishi wala hujanifananisha mtumishi ndo mimi mwenyewe
@queenjonsson4179
@queenjonsson4179 Ай бұрын
🙏
@elihurumakisimbo1124
@elihurumakisimbo1124 Ай бұрын
Bwana tusaidie kuupata ufunuo huu vizuri ili tupate mema yanayonenwa na damu ya Yesu kwa ajili yetu na nchi zetu!
@queenjonsson4179
@queenjonsson4179 Ай бұрын
Sweden! Bwana Yesu Asifiwe Mtumishi Wa Mungu 🙏
@malendejamakashi588
@malendejamakashi588 Ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu kalibu
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q Ай бұрын
Amina. Ni kweli na laana inaondoka kwa kutubu tu. Toba ya kweli pekee hutuepusha na laana sawasawa na kumbukumbu la torati kuwa ikiwa utasikiliza sauti yangu......
@salahsadi3908
@salahsadi3908 Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi malendeja tuko pamoja
@MaryProches
@MaryProches Ай бұрын
Asante kwa Mafundisho Mungu akubariki sana
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Ай бұрын
Yupo mmoja tu ndiye Mjumbe wa agano, ndiye mwenye haki mbele za Mungu jifunze kwa mjumbe wa agano duniani uingie kwenye ufalme uepukane na dhiki kuu inayoujilia ulimwengu wote fuatilia you tube MJUMBE AGANO upate semina ya ukamilifu wa kristo uone jinsi kanisa halisi linavyojengwa na kunyakuliwa barikiwa sana.
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 Ай бұрын
Ndoto yako no dhahiri 100% Walakini, Tafsiri yake umebashiri tu! JAPO, UJUMBE UMEFIKA KWA MWENYE HEKIMA.
@MussaSelemani-e4f
@MussaSelemani-e4f Ай бұрын
Amina sana mtumishi kiukweli barikiwa sana kaziyako nzur sana
@alexalexander3027
@alexalexander3027 Ай бұрын
Mti wenye matunda lazima utapigwa mawe mungu akuinue mtumishi bwana❤❤❤❤