TIBA YA NGUVU ZA KIUME
1:55
6 ай бұрын
dr kenny.  0758074825
3:13
7 ай бұрын
WIMBO WA MAOMBOLEZO -UYOLE DIRECTORS
4:17
NGUCHIRO song BABA MAGUFULI
4:10
3 жыл бұрын
LIKE SHWARY_ft_AKIDA _-_VUVUZELA
3:47
Nguchiro-nipekidogo.official video
3:36
#new MUST TARGET-SOGEA
3:49
5 жыл бұрын
Пікірлер
@DastanChite
@DastanChite Күн бұрын
Pga kelele usinyamaze ata isaya 58.1 inasema pga kelele
@ayshaaabdullah
@ayshaaabdullah 14 күн бұрын
Nikikosa mti wake je mafuata yake naweza kutumia katika nywele
@martinajoel3666
@martinajoel3666 17 күн бұрын
Ww ni mtumish gan usiyejua nguvu ya maji?kazi ya Elisha,mwanamke msamalia bado tu huelewi nguvu maji.Pia ukumbuke muujiza wote utokea kwa sababu ya Imani
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 17 күн бұрын
Naona muda wenu umeisha wa kuaminisha uma kuwa nyie ni wachungaji mara nabii mara mitume mara nani mara nin kusemana kwenu mtandaoni mwisho wenu unakuja haraka mtubu tu wote maana mlileta mafarakano
@user-ou1ls6oj2f
@user-ou1ls6oj2f 17 күн бұрын
Wote someni Yeremia 28 :1-17 Mnaojifanya kuwa manabii mitume nk nk mtakufa kama Hanania unabii wa uwongo wa kuaminisha wanaumini wote mlioleta mtafakuru kwenye imani wote mtapotea kwenye mazingira ya kutatanisha Mungu hajaagiza madini yenu
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 19 күн бұрын
Askofu KAKOBE YUPO SAWAA. LAKINI AMECHEKEWA TAMKO LAKE..ALIKUWA WAPI? MPAKA KINA MWAMPOSA WAMEKITA MIZIZI? HAWA MATAPELI WALITAKIWA KUBANWA MAPEMAA.SASA HIVI ANA WAFUASI WENGI,WAMEPIGWA UPOFU,HAWAJITAMBUI.KAKOBE ULE UMATI WA MWAMPOSA UTAUSAMBARATISHA VIPI?
@user-wp1wz9ew8f
@user-wp1wz9ew8f 21 күн бұрын
Kakobe wew mwenyewe mchawi mkubwa ulikuwa ila kwa sas huna soko ndo maana maneno yote yanakutoka
@JepkorirEverlyne
@JepkorirEverlyne 21 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 23 күн бұрын
Afadhali kuna mchungaji ameliona hili😢😢😢😢😢😢
@AshaMwamba-g3l
@AshaMwamba-g3l 23 күн бұрын
Kakobe wewe mwenyew ulivumaa miaka yanya
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 24 күн бұрын
Mbona nawewe ulikua hivyo nandio ulianzisha ha ta moto ulikua unawaka kwani sio wewe?
@hepsonmboka6776
@hepsonmboka6776 25 күн бұрын
Mbona hata ww ni hivyohivyo ww mbona mikufu ya dhahabu hua unachukua, na mbona ww kama haupo ibada inafanyika kwa recoding zako tuu? Acheni wiivuuuu !!! Wote wezi nyinyi. Acheni watu wafuate IMANI ZAO!!!?
@user-wi8og3sv4j
@user-wi8og3sv4j 26 күн бұрын
Wivu
@user-wr5ce6lu8q
@user-wr5ce6lu8q 28 күн бұрын
Muslim is the best❤❤❤ Hawa wanahangaika wao Kwa wao Allah awafanyie wepesi watoke walipo
@DINASINGILI
@DINASINGILI Ай бұрын
Ni kweli sema na watu tupone Hosea 4; 6
@AdamLuoga
@AdamLuoga Ай бұрын
Ninyi mnao sema mwamposa ni mtumishi wa Mungu imekufa kwenu mwamposa ni nguvu za ziada Toka malango ya kuzimu
@biggboss8644
@biggboss8644 Ай бұрын
Hapo ume chemsha mwamposa ni moto
@SaraKalinga-i6v
@SaraKalinga-i6v Ай бұрын
Mwachen mtumishi hubili neno
@user-tg6wf8cc4z
@user-tg6wf8cc4z Ай бұрын
❤❤❤❤
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z Ай бұрын
KUMBE WAKTRISTU MNAJUA KAMA MNAPIGWA😊...AFU MKITOKA APO MNAENDA KWA MWAMPOSA KUJAZANA NA KUMPIGIA MAKELELE...YANI NYIE MTAONGEA APO BADO
@charlesmganga-gv2cs
@charlesmganga-gv2cs Ай бұрын
ACHA MZEE MAJI YANAOMBEWA NANI KAKUINGILA UMESAHAU ULIVYOTENGWA NA WALOKOLE WAKATI UNAANZA HUDUMA,?
@user-mn2hb7xt9k
@user-mn2hb7xt9k Ай бұрын
Roho ya wivu. Huleta anguka hata kama mungu alikupa chako. Kapumzike mzeee
@RehemaKasanga-vu5nj
@RehemaKasanga-vu5nj Ай бұрын
Mzee nyamaza Jaman Mbona mnamtangulia Mungu kwenye kaz yake Hivi mmekuaje ninyi Watumishi wa MUNGU Watu wanachojua wanapona mwachen Mungu ajitwalie utukufu wake
@MarryMarcel
@MarryMarcel Ай бұрын
Mungu akupe Maish Marefu baba yangu nakukubar mafundisho ykooo
@AmosKayega
@AmosKayega Ай бұрын
Acha mambo yako nawese ulikuwa hivyo bosi
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 Ай бұрын
Sasa hawa maaskofu wanatoka kwa Mungu gani mpaka wanachambana? Watumishi wa Mungu husema neno moja wote. Inabidi wajipime nani mkweli. Lakini siku inakuja mila MTU atasema kweli uongo utakuwa mwisho,
@IbrahimMwasene-me6rq
@IbrahimMwasene-me6rq Ай бұрын
Mbona ww hawakukusema? Watibu mbona tunapona🫥
@FreemanNgulwa
@FreemanNgulwa 2 ай бұрын
Upo wap mtumishi?
@OnikaSanduli-sm7yt
@OnikaSanduli-sm7yt 2 ай бұрын
Wewe ulikuwa unawanyanganya waumini dhahabu zao ulikuwa unapeleka wapi, tuachie mwamposa wetu
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 2 ай бұрын
Huu mti unarefusha nywele mnooo
@Elisha-sr3we
@Elisha-sr3we 3 ай бұрын
Elisha
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 3 ай бұрын
Maelfu na maelfu wameponywa kupitia hayo maji. Wengi wameombewa makanisani kwao ikashindikana, lakini walipokwenda kuombewa kwa Mwamposa MUNGU aliwaponya.
@user-tw8bw1fi9u
@user-tw8bw1fi9u 3 ай бұрын
😭😭😭😭🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@lightouma477
@lightouma477 3 ай бұрын
Mimi nimejaribu kupanda sana ila hauoti,na ukiota ni kama unadumaa,hau haipendi hali ya hewa ya Dar?
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 4 ай бұрын
Amuache shetwani mwazenu azidi Kuwapoteza
@mohamedmsama4833
@mohamedmsama4833 4 ай бұрын
Yeau akasema weengi watakuja kwa jina langu wakisema tulifanya miujiza kuponya watu tuliponya kwa jina lako tulifanya miujiza makirsto wauwungo mathayo 23 , 24
@AnabAbdallah-ii7ou
@AnabAbdallah-ii7ou 4 ай бұрын
Nampenda sana mtume mwaponsa mpaka ni ingie kabulini
@user-yw4si1px1u
@user-yw4si1px1u 5 ай бұрын
Mungu ni mwema
@AlexAlex-kf1eg
@AlexAlex-kf1eg 5 ай бұрын
🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏
@NaomiAgreey
@NaomiAgreey 6 ай бұрын
Manabii mitume wachungaji mashemasi makuhani tupendane tufanye kazi ya mungu kwa upendo maana mungu wetu ni mmoja, kila kitu kwa mungu kiko wazi ukifanya kazi yako kiukamilifu na kutii amri za mungu utapata kibali
@NaomiAgreey
@NaomiAgreey 6 ай бұрын
Kakobe una kipawa chako na mwamposa anakipawa chake na ujue wote tufanye kazi ya mungu hivyo tunatakiwa tuombeane sio kupondana
@NaomiAgreey
@NaomiAgreey 6 ай бұрын
Kila mtu wa mungu ajali kipawa chake sio kusemana vibayamungu hapendi
@peterdaimon-ug6fd
@peterdaimon-ug6fd 7 ай бұрын
Appreciate you
@grecemichael7567
@grecemichael7567 7 ай бұрын
Maji ayauzwi wara mafuta
@mwawillahchops6493
@mwawillahchops6493 7 ай бұрын
Kimeumana
@MchungajikiwiaW.F.C
@MchungajikiwiaW.F.C 7 ай бұрын
Baba ubarikiwe uishi milele
@SophiaJuto
@SophiaJuto 7 ай бұрын
Hamjaumwa nyie mnaongea vitu havina maana embu acheni drama hata kama freemason au mchawi lakn sisi tunapona na sisi tuna imani yote ni miujiza ya mungu cz anatatufuta machozi sisi wanyonge cz hata maji ya nyumbani yanamiujiza sio mpka hayo yakununua tujalibu kupendana
@eliakazilo6078
@eliakazilo6078 7 ай бұрын
MCHUNGAJI Kakobe upo sawaa..Mimi naona shetani yupo kazini.tena Ana nguvu.kinachotakiwa MCHUNGAJI Kakobe Ni kuvunja nguvu za shetani nal Mwaposa.kulalamika haitoshi.maana ule umati unaojwenda kwa Mwamposa sio rahisi kuuharibu..fanya maombi ya nguvu,kwa jina la YESU KUVUNJA NA KUHARIBU.tai hufuata mzoga....a.k.a kusiki nikwae
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 7 ай бұрын
Wote nyie wapigaji. Hamna ukweli wala ushahidi. Ukweli unakuja mtaumbuka wote.
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 8 ай бұрын
Muna muona mwamposa tu je kiboko ya wachawi amumuoni