Tatizo hamjatoa namba zenu Sasa ni shida kuwapata wekeni namba
@MaryMarynjile3 ай бұрын
Muweke no sim
@MteleShadia-lc6gi11 ай бұрын
Ahsnte sna kwa kaz nzur
@HappynessSegesela Жыл бұрын
Kazi nzuri kijana hongera sana mpendwa
@selemanisalimu8377 Жыл бұрын
Duuu atqri
@Matimuaomari Жыл бұрын
Naomba simu namba
@ZawadiChuwa-ks2if Жыл бұрын
Extension officer
@ngwenyatv1053 Жыл бұрын
Karibu
@IssaBashir-pk2ks Жыл бұрын
dawa za fangasi inapatikana wp
@ngwenyatv1053 Жыл бұрын
Hayo ni magonjwa ambayo bado hayajapatiwa tiba ila kunanjia ya kujikinga nayo kama umesikiliza kwa makini ktk hiyo video
@jumasaidi5744 Жыл бұрын
Kama hauna d za masomo ya sayansi
@veronicacharles94262 жыл бұрын
Me shamba langu lipo kweny udongo mweusi kwa zao LA alizet linafaa ?????
@ngwenyatv10532 жыл бұрын
Ndio linafaa tena udongo mweusi unakiwango kikubwa chalutuba, kwahiyo inafaa zaidi
@jeremiahlugembe49392 жыл бұрын
Mtu anaehitaji kuishi chuoni hapo ada kiasi gani?
@sss3s8672 жыл бұрын
Uwekaji Mbolea ukishawwka hauhitaji kupata maji Mbolea itawanyike
@ngwenyatv10532 жыл бұрын
Kama utaweka mbolea ya chini inatakiwa kuwe na kiasi chamvua, ili iwezeshe mmea kuweza kuchukua mbolea kwa uraisi na kuwalutuba katika mmea
@sss3s8672 жыл бұрын
Suala langu. Mvua Kiasi au mvua nyingi MAANAKE NI nini hapa. Je alizeti ukiipanda yatakiwa iwe mvua inanueaha Au inyeshe baada ya muda gani. Na mvua isizidi muda gani?
@amonamos34962 жыл бұрын
Umetoa maelezo mazuri saana bro, cha kuboresha jitahidi kutoa demonstration kwa vitendo
@josephkalenge91862 жыл бұрын
Nashukuru kwa maelezo mazuri.Je,maharage yanapandwa kwa mbolea zipi?
@ngwenyatv105311 ай бұрын
Maharage hatutumii mbolea kupandia, kwasababu maharage ni mojawapo ya mime ya jamii ya mikunde ,kwahiyo maharage huwa yana boresha ardhi yana fanya kitu kinachoitwa (Nitrogen fixation) katika udongo kwahiyo kupitia hicho kitendo maharage huwa yanaweka baadhi ya virutubisho katika udongo ndo maana huwa hatutumii mbolea katika upandaji wa maharage
@habibumussarusambi97662 жыл бұрын
Mimi nipo mkoa wa pwani je naweza kupanda zao hili
@ngwenyatv10532 жыл бұрын
Ndio
@brobabuu39733 жыл бұрын
Kazi znuri kijana..
@lucymutheushanga88413 жыл бұрын
Ni mependa sana,pia mimi ntatengeza yangu 🙈
@najimseven12303 жыл бұрын
Ungetakiwa kuweka zao moja kwa mbolea tofaut tofaut, sasa kama uku unaweka cabegi, huku unaweka chainizi utajuaje kipi ni kipi, be serious
@fadhilambawala30933 жыл бұрын
Asante
@shenamtukufu12243 жыл бұрын
WATU hawajui tu,hi NI kazi kubwa Sana.
@alifakimati96143 жыл бұрын
Haina kizazi vizuri hiyo mbona minyanya mikavu haina nyanya mnyanya mmoja una nyanya 4.
@therepublicofgreatthinkers3 жыл бұрын
Good
@mwajumaanthony54703 жыл бұрын
Ada shingapi
@ngwenyatv10533 жыл бұрын
Milioni moja tu
@dollarsking71163 жыл бұрын
Xaf kjana
@alfaniomariandrea29713 жыл бұрын
sauti haisisiki kabisa
@ngwenyatv10533 жыл бұрын
Jaribu kuongeza sauti adi mwisho katika simu yako, au computer yako ila uweze kusikia vizur.
@ellyosward20733 жыл бұрын
Naweza kujua namna ya kulipia gharama za ada
@ngwenyatv10533 жыл бұрын
Ada milioni moja, unalipa kwa awam tatu kwa mwaka.
@jamesphilipo44483 жыл бұрын
Mbegu nzur sana hyo
@therepublicofgreatthinkers3 жыл бұрын
Niceeeeee
@therepublicofgreatthinkers3 жыл бұрын
Big up... Mbegu nzuri
@johnnkororo49213 жыл бұрын
Video quality ili zionekane vizuri
@johnnkororo49213 жыл бұрын
Video quality ili zionekane vizuri
@elmurtysabiku18884 жыл бұрын
Ada yake ipoje
@ngwenyatv10534 жыл бұрын
Milioni moja tisini na tano elfu
@abdulazizal-mazroui33634 жыл бұрын
Vp kuhusu fee
@onesmonchimbi23455 жыл бұрын
Kipo wap na ada zao zikoje
@ngwenyatv10534 жыл бұрын
Ada million moja na tisini na tano, Chuo kipo kigamboni kisalawe mwasonga