Пікірлер
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 13 күн бұрын
WATANZANIA TUWE TUNAJIFUNZA KWA MATAIFA MENGINE: MATAIFA MENGINE YAKIFANIKIWA HAYATANGAZI MAFANIKIO BALI YANASAIDIA WAHITAJI NA NDIO MAANA MUNGU ANAZIDI KUYAPA UBUNIFU KUTULIKO ILI YAENDELEE KUSAIDIA WAHITAJI: GUYS SIJUI KAMA TUNAFAHAMU KUWA KUNA WATU WAMEUMBWA NA MUNGU WAKIWA WALEMAVU UNADHANI NANI WA KUWAJALI?UTASEMA WANA NDUGU ZAO KAMA NDUGU ZAO NI MASKINI JE? HAUJUI MUNGU KAKUWEKA WEWE ULIYEFANIKIWA NDIO UWAJALI? KUNA WATU MNA KAZI YA KUJITANGAZA TU MAFANIKIO YENU ILA KUSAIDIA WASIOJIWEZA AAAAH! TANZANIA WATU WENGI WANATANGAZA MAFANIKIO KWA KUSEMA WANAHAMASISHA KUMBE NI UCHOYO NA KUJIONESHA! Walemavu na wasiojiweza wanapoona mahela na mavitu tunayoyaonesha wanasikiaje? Inawezekana unawasaidia kimya kimya lakini hauwezi kusaidia wote wapo ambao haujawafikia wanaotazama wanajisikiaje? Tanzania watu wengi tuna ubinafsi ndio maana nchi haiendelei,ndio maana mtu akipata mafanikio/cheo tunasema amepata shavu bila kujua cheo/mafanikio siyo kupata shavu yeye ni kugawa hayo mashavu! Shida nyingine kubwa tuliyonayo hatupendi kuambiwa ukweli, mtu akiambiwa kitu utaskia usinipangie na blah-blah zingine lakini ukweli ndio huo TUNATAKIWA kubadlika ndio maana hatupati maendeleo kama nchi sababu ya kujinufaisha,hili utalithibitisha kwenye conscience yako. Angalieni wenye fedha wengi wa mataifa mengine: China, Korea, Japan, The UK, The US, The UAE nk namna wanavyotoa kwa jamii, wengine wanatoa scholarships Watanzania tunaenda kusoma ila tukirudi hatusaidii wasiojiweza tunajitangaza na kujionesha, what a load of crap! We gotta kill this! Baadhi tunafanya mazoezi ya kupunguza mwili/mafuta mwilini bila kujua tulikula chakula cha wasiojiweza sasa tunaadhibiwa kwa kutembea umbali mrefu na kushinda GYM! TUBADILIKE, ACHA KUJITANGAZA, RUDISHA KWA JAMII NA UKISAIDIA WASIOJIWEZA ACHA KUWATANGAZA NI KAMA KUWADHALILISHA, MUNGU AKIJUA PEKE YAKE ATAKUBARIKI SIRINI! FLIP-FLOP!
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 17 күн бұрын
Hatari Sana bei kubwa
@laurentrueta9625
@laurentrueta9625 Ай бұрын
THE PERSONALITY OF A REAL MAN IS IN WHAT HE DESIRES PASTOR TONY NI EXTRAORDINARY WHEN IT COMES TO HIS LIFESTYLE UNIQUE &DIFFERENT PERSONALITY #MY ROLE MODEL💪
@tiktech_og
@tiktech_og 10 ай бұрын
Tungepata na video ya maeneo ya mjini ingependeza zaidi
@user-bk3sl6jm4m
@user-bk3sl6jm4m 10 ай бұрын
I like it. Historia imeshiba kiasi
@user-jl6qm9jg9t
@user-jl6qm9jg9t 10 ай бұрын
Niliwaii kufika kwa uwezo wa Allah na kujionea majabu mengii
@user-bk3sl6jm4m
@user-bk3sl6jm4m 10 ай бұрын
Hapajawahi kuchosha asee hapo