charging will resume when iphone returnes to normal temperature ina maana gan hyoooo
@ShabaniMkwesso12 күн бұрын
Asnt kak yang
@alcycubahiro-pe7fu20 күн бұрын
Unaongea sanaa kuwa naenda kwenye point
@piusmsoma3326Ай бұрын
Content yako ni nzuri, tatizo maelezo mengi sana..
@MussaNyoni-g5zАй бұрын
Unaongea sana
@KyllianJosh-n2nАй бұрын
Unaongea San broo nenda kwenye point
@DaddyQaiyathАй бұрын
Naomba nifahamu ety ukisha hide hapo unafanyeje kuzirudisha tena ety
@JohnDakika11Ай бұрын
Ndio ni simu nzuri lakin bei yake kuanzia m.1 kuendelea
@habibumkavi9665Ай бұрын
Inabidi upitie changamoto ili kufika apo ulipo✍️
@JenniferjloTzАй бұрын
Iv iphone 11 zmetoka feki?
@AmosMbwambo-up3ksАй бұрын
Role model🎉
@canbreezy1832Ай бұрын
Daaaaah nimepat kitu kupitia huyo big❤
@WardaThabitАй бұрын
Ety mtu anaweza kutrack kupitia emeri
@princecharmingtz8130Ай бұрын
🔥
@salmakasim8390Ай бұрын
Super hero daddy Big up kevie endelea na moyo huo huo
@emilians1885Ай бұрын
💥
@PeterMalugu-j3h2 ай бұрын
Maneno mengi ata haueweki😊
@danielmloka63792 ай бұрын
Maelekezo mengi saana kaka hadi Mb zinaisha
@YusufuBadi2 ай бұрын
cm ni platform tosha kaka
@mackbelkisala66002 ай бұрын
Sasa mwana Kitaa huo ukaguzi wandani huwezi ukagua ukiwa huja lipa coz box ina sild na huwezi itoa paka uweumesha lipa so waeleze zaidi njeee ya box huko kwenye ma setting nipale umesha pigwa 😂😂😂
@the_danniels2 ай бұрын
Huwezi hata siku moja kuondoa matangazo kwenye simu yako. Android hawafanyi biashara ya hasara ivyo hata sku moja labda ULIPIE premium. Wewe ulichofundisha watu ni kufuta utambulisho wao wa kuletewa matangazo yanayofanana na uhitaji wao. Kwahyo hapo wataletewa matangazo na mbaya zaidi yatakua hata hayaendani na ufanano wa matumizi yao. Utkuta mtu analetewa kitu irrelevant kabsa. Mfano hupendi maswala ya mpira na unakuta unaletewa, kwasabab umefuta id yako ambayo ilikua inawaambia google ni nini unachokipenda na kipi usichokipenda kwa kuangalia matumizi yako ya kila siku na vitu unavyo search sana.
@JacksonRuben-b4y3 ай бұрын
Simu KITAA umetishaa Unaokoa jaazi
@Vennieh-i8p3 ай бұрын
Kwakweli mpaka sasaivh sijaichukia iOS 18… sijapata changamoto yeyote ❤
@Vennieh-i8p3 ай бұрын
Me naskiliza nikiwa nimeshaapdate 😂
@Zanura-t5e3 ай бұрын
Nataka kujua iPhone 12 Iko vzr au laah
@mercymodest22483 ай бұрын
Ukiwa unaelezea izo bezzle au nyingine boss wangu onyeshaa kwa kuweka mbele tuone sio maeleoz tuu.
@kgn9243 ай бұрын
Umesahau true tone boss
@Sàlim_Møhd33 ай бұрын
Naitaka hio Copy niuzie
@gayanimwansasu3 ай бұрын
SimuKitaa barikiwa leo Barikiwa na kesho pia
@unleloo76163 ай бұрын
Polen sana ofisi ya sim kitaa! Niliona video ya behind the sciene mlivyokuwa mnatupambania jinsi ya kutupa elimu hii muhimu sana kwa watumizi wa iphone na watarajiaji wa iphone asanten sana na hongeren sana hatuna cha kuwalipa zaidi ya kuwa wateja zenu! Na kuwaletea wateja💪💪🙏🙏
@Hunter_3393 ай бұрын
Halafu ios 18 imekalia kibiashara zaidi ukitaka kuifurahia kuwa na icloud ya kulipia
@Hunter_3393 ай бұрын
Vipi kuhusu model no
@stephenernestkaforongo75853 ай бұрын
Hapo kwenye applications ya photos mi mwenyw sijaipenda kabisaaaa
@IbrahimJutta-o2d3 ай бұрын
Shua muda kipengele kka usiwe kama ananias edga tumemtua kwa sababu ya kurefusha mda sna mwsho bando zetu unajua za ngama mzee
@emmanuelkamala6973 ай бұрын
Nimeangalia nkakagua simu yangu mara kumi kumi😂😂😂😂 @simukitaa
@pierre-tr4dc3 ай бұрын
Wafanya biashara wenzako wanao penda ela tu awaja ku maindi kweli kaka sema watajua wenyewe Sisi tuko pamoja na Wewe maombi ni mengi mno tunayo kuombea wanyooshe awatoboi mitano tena kaka🔥🔥🔥
@amouramiry54383 ай бұрын
Mwanakitaaaaa☠️
@NicholausMichael-s9y3 ай бұрын
uwakika mwanangu nimekuta mwamzo mwengaa😂🫡🫡
@TandaSon-d8x3 ай бұрын
2pe na ya Samsung
@osamasta97203 ай бұрын
Sasa mwana kita ninaswali kama sisi wafundi iphone coppi ukicomeka kwenye 3utool inakubali?
@yohanatunge10853 ай бұрын
Kuna option pia ya kuchukua serial number na kuzi search kweny iphone website na kujua kama ni copy au orginal
@domymerinyo81653 ай бұрын
Unitahidi kupangilia upunguze muda utumie dakika 8 mwisho
@gracejacky77603 ай бұрын
Unampangia mwalimu tena😅😅😅😅
@sasimusa-c1g3 ай бұрын
Mwanakitaa ubarikiwe sana kutupa madini
@Huncho4043 ай бұрын
muda mwengine ay feki yanakuwa network inasumbuwa unaweza kutia lain ikasoma lkn ikakaa no services na ukipiga ikapatikan na ukiwsh data ikakubali lkn inakaa no service 😊
@NicholausMichael-s9y3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@AnwarMnawar3 ай бұрын
Mwanakitaa kitaaani nipewe like zangu
@dazzmastory55103 ай бұрын
wabongo bwana wana roho mbaya sana sasa mtu unamuzia mwenzako simu feki na unampanga og si bora unamchana tu bwana hiii famba achangue yeye tu
@sasimusa-c1g3 ай бұрын
Hatar sana
@juliusmangalu13063 ай бұрын
Naomba like zangu simukitaa 🎉🎉🎉🎉
@nelsonresbron58203 ай бұрын
Kuanzia 14 kwenda juu hayo matatzo sio mengi
@tarkybey35863 ай бұрын
Dah mimi screen yangu ina flickering halafu naona kioo kama hakina quality yani green na kijivu kwambali yani dah changamoto