MAHUBIRI NA MAOMBEZI
18:46
Ай бұрын
MKUTANO WA INJILI FURAHISHA MWANZA
2:25:10
@eagtmlimwawest
3:05
3 ай бұрын
TEASER
0:50
4 ай бұрын
@eagtmlimwawest
2:29
5 ай бұрын
@eagtmlimwawestmedia
1:08
6 ай бұрын
Пікірлер
@lucykalinga8690
@lucykalinga8690 2 күн бұрын
Amen
@eliudmgani1615
@eliudmgani1615 4 күн бұрын
Amina
@christopherchisuligwe512
@christopherchisuligwe512 4 күн бұрын
Mungu yu mwema nina miaka mitatu toka niondoke hapo, leo nimejihisi kama nipo hapo, may GOD bless EAGT
@BarakaNdonyi
@BarakaNdonyi 5 күн бұрын
Hakika Bwana akuzidishe katika neema na ukuu wake
@ELIAKIDAVAFERICK
@ELIAKIDAVAFERICK 6 күн бұрын
Amina
@samsonipaul4068
@samsonipaul4068 11 күн бұрын
Kwaya nzur hatar
@NOELWAMI
@NOELWAMI 15 күн бұрын
MUNGU awabariki Sana watumishi Kwa ujumbe mzuri,naikubali KUSK.🎉
@NicholausMbalani
@NicholausMbalani 18 күн бұрын
Amen
@GroryEmmanuel
@GroryEmmanuel 18 күн бұрын
Mbarikiwe
@LAZAROSADALA
@LAZAROSADALA 18 күн бұрын
Amen
@ELIASOINGEI-ir2ch
@ELIASOINGEI-ir2ch 21 күн бұрын
Asante bishop
@IsayaChilewa
@IsayaChilewa 21 күн бұрын
Napenda sana ibada zenu au zetu mana mimi hufuatilia sana kila mnachohubiri ili nijue na mimi au niongeze ujuzi zaidi tunawashkuru sana.Ameen
@isayamgaya8091
@isayamgaya8091 24 күн бұрын
mungu amtunze mtoto huyu
@DatiusRichard
@DatiusRichard 24 күн бұрын
Amn sana
@YeremiaYohana-o9j
@YeremiaYohana-o9j 25 күн бұрын
Amen God bless you
@Suzan-e9s
@Suzan-e9s Ай бұрын
Mungu aendeleee kuwatunza watoto
@Musamahizo84
@Musamahizo84 Ай бұрын
Amen
@Musamahizo84
@Musamahizo84 Ай бұрын
Mungu akubaliki babu yetu bishop 0:38
@JanethGabriel-n4u
@JanethGabriel-n4u Ай бұрын
MUNGU awainue watoto kwakweli MUNGU analitimiza neno lake kupitia watoto wake❤❤❤
@nezerinejuma5510
@nezerinejuma5510 Ай бұрын
❤❤❤
@FronicMedia-d2h
@FronicMedia-d2h Ай бұрын
Huyu mtoto atunze
@rockinstituteofhumanlifema5292
@rockinstituteofhumanlifema5292 Ай бұрын
Kariri maneno ya Mungu hata kama una kichwa ngumu ahsante mtumishi
@ebbyescor7614
@ebbyescor7614 Ай бұрын
Napenda na kuufurahia uwezo wa mtoto huyu, Mungu amtunze kwa ajili ya kizazi chake. Huduma na karama alizonazo zinafaa na kutoshea katika ulimwengu wetu Wazazi wake Mungu awatunze kumuandalia Mungu mhubiri mzuri namna hii
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 Ай бұрын
ASKOFU AJAE BARIKIWA SANA
@nyamagoryomary6958
@nyamagoryomary6958 Ай бұрын
Hakika Mungu ana vyombo
@nyamagoryomary6958
@nyamagoryomary6958 Ай бұрын
Waooo Glory..to God.atukuzwe Yesu atupaye neema katika mambo yote.Asante Mungu kwa ajili ya watoto wetu Hakika Mungu awainue na kuwatunza sana.
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Waoooo mwanangu uinuliwe zaidi😂😂
@tedysanga8969
@tedysanga8969 Ай бұрын
MUNGU usikiae maombi jaria haja ziombwazo mbele zako.Amina
@ELIASOINGEI-ir2ch
@ELIASOINGEI-ir2ch Ай бұрын
Asante sana
@EvaKsrsiti
@EvaKsrsiti Ай бұрын
YESU akutunze mtumishi
@NeemaBonphace-r9z
@NeemaBonphace-r9z Ай бұрын
Ameen 🙏,barikiwa mtoto kwa somo nzuri
@NeemaBonphace-r9z
@NeemaBonphace-r9z Ай бұрын
Ameen 🙏🙏❤️
@mchungajiegidiuskategile5773
@mchungajiegidiuskategile5773 Ай бұрын
Kiukweli Mungu kaishajipatia mtumishi wake ni kumuombea
@AmanMpwacha
@AmanMpwacha Ай бұрын
Duuu EAGT Ni chombo pekee Cha kuleaa hudumaaa hapa Tanzaniaa Najivunia kuwa mwana INJILI yaan EAGT member
@AgustinoCharlesfungo
@AgustinoCharlesfungo Ай бұрын
Wow God is good
@agathaarphonce5990
@agathaarphonce5990 Ай бұрын
Amen Amen
@gtmissionministry9166
@gtmissionministry9166 Ай бұрын
Great
@MathewLazaro
@MathewLazaro Ай бұрын
Tumuombe sana Askofu wetu
@MathewLazaro
@MathewLazaro Ай бұрын
Huyu mtu, ni muhubiri wa injili takatifu. Kweli amethibitika ni askofu wetu mkuu tumepewa na Mungu kwa nyakati hizi, tulizo nazo. Amembeba Yesu kristo mwokozi wetu , tumsikilizeni. Maana ayanenayo yatokayo kinywani make yatoka kwa Bwana. Hakika tutaishi.
@thomasnaom3591
@thomasnaom3591 Ай бұрын
God bless you 🙏
@GroryEmmanuel
@GroryEmmanuel Ай бұрын
Mbarikiwe wapendwa
@MankaJunior
@MankaJunior Ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi yako ni njemaa❤❤
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq Ай бұрын
Barikiwaaaaaa
@MohamedIduka
@MohamedIduka Ай бұрын
Mungu ni mwema tunabalikiwa sana
@fifially3570
@fifially3570 Ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu ujumbe huyu umenitiya nguvu
@thomasnaom3591
@thomasnaom3591 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji Mungu awe nawe siku zote🙏
@PhilemonMollel-f4x
@PhilemonMollel-f4x 2 ай бұрын
Mungu azidi kukutia nguvu Askofu na baba yetu
@DavidVenance-u9n
@DavidVenance-u9n 2 ай бұрын
Barikiwa sana na BWANA Mungu Arch Bishop wangu Kanisa langu EAGT Yetu Habari njema kwa watu wote na wapata kutoka EAGT Sayuni Itima Jimbo la Tabora kaskazini
@IsayaChilewa
@IsayaChilewa 2 ай бұрын
Niko dar es salaam siachagi kufatilia ibada hata!
@ELIKOKANYIKA-d7v
@ELIKOKANYIKA-d7v 2 ай бұрын
UBARIKIWE BABU YETU