BIRDS SINGING IN WINTER
0:09
9 ай бұрын
PARK SNOW WALK # OHIO
0:24
9 ай бұрын
A WALK IN A SNOW OHIO
0:19
9 ай бұрын
BEAUTIFUL AND PEACEFUL SNOWY DAY
0:11
Happy Thanksgiving everyone🥰
1:13
WORLD FOOD TRUCK VLOG)ORLANDO FLORIDA
15:31
Fried chicken/Kuku wa kukaanga
13:27
3 жыл бұрын
Пікірлер
@aishajuma9259
@aishajuma9259 13 күн бұрын
Asante
@florenceshoo946
@florenceshoo946 3 ай бұрын
Thanks ❤
@navojosephat656
@navojosephat656 4 ай бұрын
Umepotea cecy
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 4 ай бұрын
Majukumu yamezidi 😀. Ila nimerudi my dear 🥰
@sarahmhagama6662
@sarahmhagama6662 6 ай бұрын
Wow! My boys had fun and learned thru live experience, proud of them ✅
@mussayasini4130
@mussayasini4130 Жыл бұрын
Siutamaliza nanas Hilo bi halo
@mussayasini4130
@mussayasini4130 Жыл бұрын
Asante ntaanza kutumia soon hiyo smooth soon
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Asante sana nafurahi kusikia hivyo. Usisahau kusubscribe 🙏
@mussayasini4130
@mussayasini4130 Жыл бұрын
Hizo cereal leave zimejaa Tanzania kibao especially dar , Mwanza Arusha , Zanzibar,
@khalifakanta7701
@khalifakanta7701 Жыл бұрын
Asante dada tumechoka flour chicken kwakweli. Naomba uturushie jinsi ya kutemgeneza salad ya kitamzania.
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Asante sana kwa kuangalia. Na endelea kuangalia na kusubscribe sababu video ya salad ya kitanzania nitaituma hivi karibuni
@edinaegidius6357
@edinaegidius6357 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Wellcome what
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
😀
@gladnessmwakalengwa6262
@gladnessmwakalengwa6262 Жыл бұрын
Sasa wewe Dada unaikula hivyio si utamaliza hiyo ananasi😂😂😂?
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Nilinogewa lilikua tamu 😀
@sabrafadhil4713
@sabrafadhil4713 Жыл бұрын
Yaani huyu dada nampenda sana kanifunza vitumbua
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Asantee ❤️.Nakupenda piaaa .
@ummusamira3518
@ummusamira3518 Жыл бұрын
Masha Allah umejitahidi habibty 💖 Ila kufunga sio rahisi hata hivyo umejitahidi san sana Mimi siku yakwanza kufunga sikuweza hata moja niliwacha wewe umepambana umepata zaidi ya kumi kwakweli nakupongeza Sana fanya kila Muda in sha Allah utaweza
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Asante Sanaa my dear. Yaani nikisikia kwa nyie wenye ujuzi wa kupika sambusa mnasema nimejitahidi mnafanya nipate moyo wa kuendelea kujifunza. And please usisite kuniambia nimekosea wapi au niongeze nini nijirekebisha. Na mie niwe mkali wa sambusa ❤️
@ummusamira3518
@ummusamira3518 Жыл бұрын
@@Queencecyvlogs tuko pamoja habibty hakika jiko hakuna mjuzi spice unatia upendazo habibty nisawa Tu umenichekesha ulipo kutia Yai haraka ukalitoa
@believeclemence1077
@believeclemence1077 Жыл бұрын
Ngozi yako ni nzuri MashaAllah unatumia bidhaa gani ya ngozi
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Asante sana🙏.Tafuta kwenye video zangu, utaona moja inaeleza jinsi ya kutengeneza smoothie . Ukinywa inasaidia pia Ngozi
@fotunataandrew6489
@fotunataandrew6489 Жыл бұрын
Plz weka namba
@gastonkey4239
@gastonkey4239 Жыл бұрын
Naitaji niw naku uliza maswali
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Жыл бұрын
Nakupenda bure dear
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Aaww. Asante sana. Nakupenda pia. Asante kusubscribe 🙏
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Shost Hilo SiO cucumber ni schash
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
😀 Hapana .hili nililotumia ni Cucumber aka tango ambalo lina 96%water .. kwa wasiopenda maji ukila tango ni Kama umekunywa maji
@everinerulasuma5818
@everinerulasuma5818 Жыл бұрын
Sasa ukikosa hizo mboga umekata mbili unatumia hivyo vingine tu au
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Ndio unaweza kutumia hivyo Kama huna majani. Ila jitahidi hata tango liwepo Lina faida nyingi na maganda yake pia
@rabiaiddi2884
@rabiaiddi2884 Жыл бұрын
Nimeanza kukuona leo tu ila nimekupenda bure na nime subscribe takuwa nakufuatilia ❤
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Aaww. Thank you so much, nakupenda pia, na asante kusubscribe🙏❤️
@gloryaugustine9464
@gloryaugustine9464 2 жыл бұрын
Hongeraa nakupendaa asantee kwa kutuwakilisha wapenda nyamaaa sio kwa uwakilishi huo😂😂
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
😀 Nakupenda pia, na Asante sana kwa support
@alphaigogo787
@alphaigogo787 2 жыл бұрын
You are so funny unavyo elezea. 😅 Asante kwa mapishi mazuri na ushauri wa afya. Barikiwa sana. ❤️
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
😀. Jamani Asante sana my dear. Na asante kwa support❤️
@rehemaimraan1794
@rehemaimraan1794 2 жыл бұрын
hyo ya green inaitwaaje,
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Inaitwa kale (nafikiri no sawa na spinach) sijui kale kiswahili ni nini, anauejua atatusaidia humu😀. Asante sana kwa kuangalia na kujifunza🙏❤️
@rehemaimraan1794
@rehemaimraan1794 2 жыл бұрын
Nanas cucumber tangawi na hyo nyingine inaitwaaje hyo ya green
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Inaitwa kale/ na kuna baby spinach . Zote ni mboga za majani. Hakikisha unesafisha vizuri. Ikiwezekana loweka kwa maji ya moto sekunde kadhaa ule vitu safii💕😀
@rehemaimraan1794
@rehemaimraan1794 2 жыл бұрын
sorry hyo banas cucumber tangawi na hyo nyingine inaitwaaje
@nyamkamawanjara29
@nyamkamawanjara29 2 жыл бұрын
unatumia kila siku ndo inakuwa juice yako ama kuna siku unaacha
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Ukiweza kila siku ni vizuri sana. Ukishindwa japo mara 2 kwa wiki
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Mambo safi
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
🙏❤️
@welcome-qk6ps
@welcome-qk6ps 2 жыл бұрын
Jina la green veg pls
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Kale/spinach
@lovedeetv1226
@lovedeetv1226 2 жыл бұрын
Shoga angu piga kazi mpenzi
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
🙏❤️
@rachelpaul4373
@rachelpaul4373 2 жыл бұрын
Sorry hiyo ya green inaitwaaje??
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Kale/spinach
@TheSonofZWANGENDABA
@TheSonofZWANGENDABA 2 жыл бұрын
Darsa zuri, tunajifunza
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
🙏❤️
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs Жыл бұрын
Nimefurahi umejifunza. Na karibu tena
@BetiTube2231
@BetiTube2231 2 жыл бұрын
Hello dear, this is a beautiful process, dear Please share 🙏🙏Please, my sister🙏kzbin.info/www/bejne/iHbKmqBnr8-tmZo
@alphaigogo787
@alphaigogo787 2 жыл бұрын
Wow! Never heard of that place! Ukitoka hapo lazima nguo zote zinanukia vyakula 😍
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
😀😀. Yaani hapa hata usipokula utashiba kwa kuangalia vyakula viko vingiii vya kila aina
@suzanneshekifu7184
@suzanneshekifu7184 2 жыл бұрын
Eeee hapo umenikumbusha uhuru mchanganyiko kwa buge
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
😄😄, hapana chezea mihogo, ila ya shuleni kwenu uhuru ilikua noma.milainiii Na kale kapilipili ka unga😋😋😄 hapa hawakua nayo
@sheyabby7146
@sheyabby7146 2 жыл бұрын
Welcome back
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Thank youu🥰
@sheyabby7146
@sheyabby7146 2 жыл бұрын
Tuliikumiss Mamie nilikua nafwatilia sana video zako
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Aawww . Asante kwa support my dear. Nimerudi tena
@mactongathe179
@mactongathe179 2 жыл бұрын
nimependa izo Mofongo foodie...
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
😂😄. Mafongo zilikua nzuri sana.. Thank you for watching🙏🙏
@jovinasaid6420
@jovinasaid6420 2 жыл бұрын
Barikiwa,kwakupitia video yako nimeweza kutengeneza vitumbua
@alphaigogo787
@alphaigogo787 2 жыл бұрын
Nice one Cecy! Mimi nayaprnda sema yamenishinda gesi yake 🤣🤣🤣 Nakula Dark beans sana.
@aramhouse
@aramhouse 2 жыл бұрын
wow yummy❤️
@sheyabby7146
@sheyabby7146 2 жыл бұрын
Dada asante ukowap tumekumiss
@noahthegreat5725
@noahthegreat5725 2 жыл бұрын
I am going to be your guest 😆
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 2 жыл бұрын
Noah you are always welcome. We love you😍😍😀
@loycemukuta5129
@loycemukuta5129 2 жыл бұрын
You are the best 👌 👍 😍 🥰
@mustafaalloo81
@mustafaalloo81 3 жыл бұрын
Thanks a lot for teaching the recipe, golden memories of back home, ndizi mkono wa tembo
@gracepaulo708
@gracepaulo708 3 жыл бұрын
Thanks for the tip, it was fun to learn.
@ssk9653
@ssk9653 3 жыл бұрын
Napenda mapishi yako simply tu
@tatukhalid6614
@tatukhalid6614 3 жыл бұрын
Maganda yameenda wapi..?
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 3 жыл бұрын
Nimetupa maganda
@estertweve3003
@estertweve3003 Жыл бұрын
@@Queencecyvlogs Zur ndiz dada
@TheSonofZWANGENDABA
@TheSonofZWANGENDABA 3 жыл бұрын
Yam yam yam yam!
@princessqueen6138
@princessqueen6138 3 жыл бұрын
I so happy to see chicken
@daaron6579
@daaron6579 3 жыл бұрын
Cecy, very nice my dear. Thanks for sharing. Dotto.
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 3 жыл бұрын
You are welcome😍
@ak_hoops
@ak_hoops 3 жыл бұрын
WOW! Amazing!
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 3 жыл бұрын
Thank you Arnold
@sophiaabeid2471
@sophiaabeid2471 3 жыл бұрын
You are back !!!!!!
@Queencecyvlogs
@Queencecyvlogs 3 жыл бұрын
Yes dear , I am back😍😁