Mungu akuzidishie umli mlefu apa duniani uzid kutupa elimu iliyo kuwa bola🤝
@Abdallahhamed-l1u9 күн бұрын
mashallah
@user-to6up4hg2w13 күн бұрын
❤❤❤ may Allah protect you sheikh i like you❤❤❤ mash Allah ❤❤❤
@user-to6up4hg2w21 күн бұрын
May Allah protect sheikh weto i like him mash Allah ❤❤❤❤ may bless him
@omari-vo7dyАй бұрын
Acheni hiyo aya kutoka surat yunus....leteni hoja inayoeleka.... na sheikh aeleze kabsa je mtume alisherehekea yy mwenyewe?maswahaba walisherehekea ? Je makulafaa walisherehekea? maimamu wanne walisherehekea?...
@Sarah-e1o9kАй бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@Sarah-e1o9kАй бұрын
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
@elwakstores1049Ай бұрын
MashaAllah
@NMJAsaid2 ай бұрын
Musipende kusikiliza sana, isomeni dini yenu muijue. Sio kila mwenye ufasaha wa kuzungumza yuko sawa. Tuna haja sana ya kuuliza maswali kwa mashekhe zetu na watujibu kulingana na Qur'an na matendo ya Rasulullah. Tusiwe mashabiki tu, baada ya mawaidha tufanye utafiti wa tuliyoambiwa kwenye vitabu ndio tusichanganyikiwe kwenye hii dini yetu.
@saadomar24802 ай бұрын
هذا اسميه امام الشيوخ في تنزانيا، قد ءامنت اليوم.
@halimaramadhan20002 ай бұрын
Allah akupe afya njema na umri mrefu sheikh Othman
@muslimkutsowa3 ай бұрын
Sheikh uthman maalim napenda Sana mawaidha yako,,apo kw maulidi siko kbx ,,km wakati wa mtume s.a.w ,wkti wamaswaaba na ndani ya karne 3 bora halikufnyka ,,si ni bidh'aa iliyo wazi sheikh iyo
@sebastiaanvancrombrugge64413 ай бұрын
Post more othman maalim videos
@AhmedShaame-f1d3 ай бұрын
Micheweni town mashaallah
@SaidiMaheshe3 ай бұрын
Mashaallah vizuri sana sheikh wangu
@nuhukenny71833 ай бұрын
Shukran Sheikh wetu
@FatnaAlly-go7yt3 ай бұрын
Oooh allah waongoze viongozi wetu vyema ili nasi turisi kutoka kwa bila choyo chochote mola wangu na yape mwisho mwema
@FatnaAlly-go7yt3 ай бұрын
Mashallah ❤
@FatnaAlly-go7yt3 ай бұрын
Allah akupe pumzi uzidi kutupa darasa zaidi tarabi
@FatnaAlly-go7yt3 ай бұрын
Allahu akbar allah stujaalia tuwe ni miongoni mwao❤❤
@SamiaOmar-g2v4 ай бұрын
Shukran sheikh kw elimu ila sheikh naomb nikuulz ss je naangalia tafsiri kwa njia ya sm inaaman anavotafsri ndio itakavotokea??
@MagdalenapMashauli4 ай бұрын
Mashaallah mashaallah ❤
@ibrahimthani66854 ай бұрын
MashaALLAH tabaraka ALLAH ALLAH akujaalie umri twawel ALLAH akupe kheir nyingi sn ww na wazee wako mm nimsikizaji kubwa wa mawaidha yako yanatuelimisha Alhamdulilah
@aminaabdulghanim82564 ай бұрын
❤Mimi napenda maulid mpaka kesho Alhamdulilah kifua changu hujaa huba zaidi nikisoma au kusikiliza maulid. Ndugu zangu tumsifu Mtume wetu Muhammad swallahu aleihim wasalam (Allahu huma swaleh wasalem aleih)
@aminaabdulghanim82564 ай бұрын
Khutba nzuri ya Allah tuongoze waja wako.
@SumiTanzania-y5o4 ай бұрын
MashaAllah
@SaidKumbi4 ай бұрын
Allah azid kukulinda sheikh wangu, nilikupenda kukusiliza toka nilipo kuwa mdogo sana
@tofikitofiki4 ай бұрын
Mungu akulipe kheri shekh wangu
@kuntaalkinte54154 ай бұрын
Ma Shaa Allah unatufunza mazuri Allah akupe shifaa
@hamzaalliy82105 ай бұрын
Allah bless you long lives and blessing with I love you our beloved sheikh
@AnamiMoussa6 ай бұрын
Sheih Nilitaka darsa ulizungumza mtu asiyokubali maradhi yanatoka kwa mungu wanajiuliza maswali mengi mpaka wanaumwa maradhi ya hofu.
@AnamiMoussa6 ай бұрын
Nilikuwa nataka mawaidha ulikuwa unazungumza unasema mtu akifikwa n'a maradhi anasema Namimi nafanya mazowezi naumwa sababu gani sielewi Bada ya mwezi nakwenda kufanya chekingi ya afya yangu.sielewi kwa Nini nimeumwa
@AnamiMoussa6 ай бұрын
Nilikuwa nataka mawaidha ulikuwa unazungumza unasema mtu akifikwa n'a maradhi anasema Namimi nafanya mazowezi naumwa sababu gani sielewi Bada ya mwezi nakwenda kufanya chekingi ya afya yangu.sielewi kwa Nini nimeumwa
@AnamiMoussa6 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe mwisho mwema.Tunanufaika kwa Kila mawaidha yako yote .Hamna mawaidha yasiyo kuwa Mazurie kwenye vidéo zako zote.
@AishaHamis-r7x6 ай бұрын
Wale wapinga maulid haya semeni tena ukwel ndo huo nakupenda sheikh odhuman mwalim kwa kuliweka waz hili Allah akupe Afya jema Alihamndulillah
@zeit63596 ай бұрын
MashaAllah😊
@eshasaid32586 ай бұрын
Allah akupe pepo ya fridaus❤❤❤❤❤atuogoze umati muhammed❤❤❤amini amini❤❤❤❤❤
@saudaumar33546 ай бұрын
mashallah Mashallah Mashallah
@HalimaKa-u3l6 ай бұрын
❤JazakaAllah khery
@eshasaid32586 ай бұрын
Sheikh allah akuhifadhi duniyani❤❤❤❤❤ shukrani zako kwa allah wajalla❤❤❤❤❤
@RamaMohamed-oi9ff6 ай бұрын
Masha Allah, Allah akuzdshie hikma n utuelimishe kwa mema ya ii dunia n kesho akhera....Allahumma ameen
@fisabillah-o7r7 ай бұрын
Maa Shaa Allah Sheikh wetu kwa elmu... Jazakallahu kheri. Dawa ya siku za mazama haya ni masheikh kutukana masheikh wengine ndio mtihani wetu tulionao. Allah awape akili wapate kutafakari.
@hassanmohamed8707 ай бұрын
Shukran sheikh from Somalia 🇸🇴 😍 ❤
@mohammedhassan18367 ай бұрын
MashaaAllah
@OmanOm-wy5wj7 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu shehe wetu❤
@OmanOm-wy5wj8 ай бұрын
Mungu akuzindishiee elimu yenye manufaa uzindi kutuelimisha
@amirjuma23468 ай бұрын
Allah barik sheikh..Allah zaidi❤❤❤❤
@SwalehSaleh8 ай бұрын
Kwenda ww maulid bad'aa
@MwanahamisiKuwunza8 ай бұрын
Inshallah
@Aisha-o2g8 ай бұрын
Pat one plz😊😢😢
@SalumuMnzava-s4y8 ай бұрын
Assalamu alleykum shekhe vp mkuu mm salumu daudi hemedi naombba kazi hususani ya utunzaji mazingira mm np ambasha