MAX NZENGELI asifia MZIKI wa SIMBA.
1:43
19 сағат бұрын
MZEE MAGOMA na mwenzie WAKAMATWA.
1:07
MWIJAKU amtishia Mbwa ALLY KAMWE.
0:50
Пікірлер
@RajabuBabu-c9y
@RajabuBabu-c9y 2 күн бұрын
Mbona huu ndio ukweli mzee wangu
@billionpower-kc4sc
@billionpower-kc4sc 3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@HusseynSingano
@HusseynSingano 4 күн бұрын
Ilamtapata tabu mawahabi elimu hamnna maulidin tutasoma mpaka siku yakiama
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u 8 күн бұрын
Niko buja bujumbura jazaka llahu khaira
@IbraFareed
@IbraFareed 13 күн бұрын
Je uliskiliza maneno ya sheikh kassimu mafuta baada ya niqash
@IbraFareed
@IbraFareed 13 күн бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi ya wanyama kuongea katika riwaya ya أبـو نـعـيـم الأصـفـهـانـي kwenye دلائل النبوۃ inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mimi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea… MAANA BACHU ALIKUA ANAKATAA BARAZANJI SIJAMUITA MUONGO 😂😂🙌🏾 HII HUKUMU YA KUITA HAYA MANENO UONGO UMETOA WAPI? SWALI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith ya wanyama kutamka na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث tena akasema mmoja wapo ni ابن الصلاح katika علوم الحديث (مقدمة ابن الصلاح) wamesema wamesahihisha hadith DHAIF kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia na tunatumia hadith DHAIFU. wewe SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akanyamaza kimya AKAAMBIWA SI ULISEMA HII HADITH SI DHAIF akamwambia hii uloleta ni hadith lazima turudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa ‎مصطلح الحديث MAKOSA YA BACHU YALIKUA kwenye NAHAU, KUELEWA MISAMIATI YA ELIMU YA HADITH NA TAFSIRI AZOKUA ANAZILETA NI POTOVU NDO MANA AKAWA ANAFUNDISHWA KILA NUKTA ANAYOKOSEA mfano alisema hadith غريب ni HADITH NGENI KABISA 😂😂😂🙌🏾 Watu wakacheka akaambiwa hadith غريب sio hadith ngeni na kama unabisha leta MWANAZUONI ALOSEMA HADITH غريب ni ngeni makosa mengine شديد ضعيف na mengine mengi NDO MANA AKAAMBIWA BAADA YA HAPA UTAENDA KUSOMA

@immanuellyimo6117
@immanuellyimo6117 15 күн бұрын
Zombe ni zaidi
@andrewmafuru4704
@andrewmafuru4704 17 күн бұрын
Zimbwe zaidi
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 16 күн бұрын
Safi... asante kwa tathimini yako.
@AidanNsasu
@AidanNsasu 17 күн бұрын
WOTE ni mashine baba
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 17 күн бұрын
Yah, wote mali.
@NzeyimanaMariamu
@NzeyimanaMariamu 23 күн бұрын
Jamani
@mwkombosharif4500
@mwkombosharif4500 24 күн бұрын
Kwani na Muhammad Bachu ni Sheikh?
@ahmadmasoud1350
@ahmadmasoud1350 Ай бұрын
Unajua cyo uchwara ww
@kapalatv888
@kapalatv888 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@daltonmunguatosha1197
@daltonmunguatosha1197 Ай бұрын
Umetisha mchambuzi
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Maulidi yapo ila kipofu hata ona
@sadickmguruka
@sadickmguruka 2 ай бұрын
Nenda kakae kwa mashekh wakusomeshe acha utopolo
@errydeo8865
@errydeo8865 2 ай бұрын
Walifikiria ni lele mama!
@VictorBugobola
@VictorBugobola 2 ай бұрын
Punguza uchawa 😂😂 unalopoka Sana ad aibu ufike kipind ukue ata Kama n chawa
@RabiaSaid-sh1km
@RabiaSaid-sh1km 2 ай бұрын
Huna lolote tupe mke wetu 😂😂😂
@NijimbereBeatrice-vi1ku
@NijimbereBeatrice-vi1ku 2 ай бұрын
Lofa yamwanaume akili yako yiko kwenye matako
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 2 ай бұрын
munamuuliza hansi wakti uyo hansi yeye ni yanga
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz 2 ай бұрын
HANA MSIMAMO KWA NINI ATUKANE WATU WAKATI SHIDA KATIBA KADHALILOSHA WATU WENGI MDA HUU NDIO ANAJIWEKA SAWA
@RukhaiyaNassir
@RukhaiyaNassir 2 ай бұрын
Mashaallah Allah akuongoze inshallah
@JohnSilaja
@JohnSilaja 2 ай бұрын
Mnyororo ulioutengeneza YANGA,kuanzia Raisi wa timu wanachama na wachezaji hakika tumeuona maua ni Haki yako.najua utakuwa ndani ya Wananchi zaidi kuonyesha uwezo wako.Bravo.umemfinya vya kutosha yule wa kule na polomondo lake.piga kazi .wanaokuja watuonyeshe mapya na ya Hali ya juu zaidi.YANGA Daima mbele nyuma Mwiko.YANGA Oyeeeeee.
@RoseKipimo
@RoseKipimo 2 ай бұрын
Mkataba wake umeisha.
@Classicibraimu
@Classicibraimu 2 ай бұрын
Kixa nn
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 ай бұрын
Don't leave us wananchi Kamweee pliiiiiz!!😢😢
@vaxminja9053
@vaxminja9053 2 ай бұрын
Kwa nini mashabiki wa Simba hawaamini Yanga ni timu bora kuliko Simba? Kinachowachanganya wapenzi wa Simba ni kuwa na points nyingi walizovuna miaka 5 iliyopita wakidhani ndio ubora wa sasa
@ALCADOJAMES
@ALCADOJAMES 2 ай бұрын
SS hatusemi nyie mtasema2 SS tunapiga mzigo
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 2 ай бұрын
Aluta Kontinuo Bongo Tv
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 2 ай бұрын
Asante Mkoi TV
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 ай бұрын
Kibu d kibu dental rastafarian wakimbize mpaka wakohoe twatwatwa😂😂😂😂hio sasa ndio maana harisi ya 'ubaya ubwela"
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 2 ай бұрын
Amkeni Amkeni Amkeni hukuuuuu Rashid amakanwa mchana kweupeeee hii😂😂😂😂😂😂😂
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@clementjohn4213
@clementjohn4213 2 ай бұрын
acha uongo dube anavaa namba 29 sio 9
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 2 ай бұрын
jezi yake rasmi ni namba 9... hiyo namba 29 ni kwaajili ya pre-season tu

@hidayaramadhani1833
@hidayaramadhani1833 2 ай бұрын
Bidaa niwewe usiejielewa
@kulwampalashimpalashi7224
@kulwampalashimpalashi7224 3 ай бұрын
Ni funzo hili kuwa sio Kila maamuzi ni sahihi

@abdulmauya4874
@abdulmauya4874 3 ай бұрын
Mbinu zao nyingi za kipuuzi na ni za kubahatisha kwa wewe upigiapo uwe makini kisa chake.
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 3 ай бұрын
Kwaiyo makolo mmeangukia pua😂😂😂😂
@MariamKalanda
@MariamKalanda 3 ай бұрын
Kwan Sasa makolo mmefyata,
@bongotvonline4883
@bongotvonline4883 3 ай бұрын
Mtazamaji Bongo TV Online. Ili kupata taarifa za michezo na burudani, exclusive kabisa... tafadhali SUBSCRIBE chaneli hii. Karibu...!!!
@RamadhaniMangwira-s6w
@RamadhaniMangwira-s6w 3 ай бұрын
Nawapongeza Sana viongozi wa yanga
@DATIVACOSMAS
@DATIVACOSMAS 3 ай бұрын
Hivyo hivyo Rais Heris jembe kama kambakiza K Aziz,haijalishi kasaini Leo au mwezi uliopita. Uongozi na wafadhili safiiiiii.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 3 ай бұрын
Nyenyenyenye,simba,shenzi kabisa yanga juuuuuuu sana
@RamadhaniMangwira-s6w
@RamadhaniMangwira-s6w 3 ай бұрын
Watakoma
@SecyMdawa
@SecyMdawa 3 ай бұрын
😮
@mosesmulashani5124
@mosesmulashani5124 3 ай бұрын
Nakubaliana na uchambuzi huu!!
@khadejarajab844
@khadejarajab844 3 ай бұрын
Sasa mbona mnasemaameenda simba?
@saidishamte635
@saidishamte635 3 ай бұрын
Azizi ki anakwenda Simba aminini wapenzi wenzangu wa yanga
@robertzamani5612
@robertzamani5612 3 ай бұрын
Simba ni klabu kubwa??
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 3 ай бұрын
Hivi unaakili kweli wewe? Mtu aliisha Saini Yanga zamani
@Last403
@Last403 3 ай бұрын
Labda Simba wa mwituni kutalii ila hawa mikia wakariakoo 😂
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 3 ай бұрын
Punjuuuu😅😂
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 3 ай бұрын
Chiziiiii😂😂
@elizabethkalinga0822
@elizabethkalinga0822 3 ай бұрын
Mwandishi Angalau umenifariji