FAIDA ZA KUKATA MENO NGURUWE 🔥
0:57
BRUDA BORA/CHUMBA CHA VIFARANGA
4:24
Пікірлер
@StellaFabian-l5i
@StellaFabian-l5i 6 сағат бұрын
Kutibu nduwi
@Grace-og9wl
@Grace-og9wl 7 сағат бұрын
Hello mna darasa whaspp ama akuna?
@Grace-og9wl
@Grace-og9wl 10 сағат бұрын
Vip kuna darasa whassapp
@filbertmacha
@filbertmacha 16 сағат бұрын
Pumba ya mahindi ikizidi kwenye uchanganyaji italeta madhara kwa nguruwe?
@EdisonMdamu
@EdisonMdamu 17 сағат бұрын
Utatumia kwa mda gani au siku ngapi
@paskalmhando6004
@paskalmhando6004 19 сағат бұрын
Nataka kufuga tausi nawapataje
@noraazan9124
@noraazan9124 Күн бұрын
Mayai ya Kuliwa yanaharibika yakiwa na muda gani?
@edsonjoseph3227
@edsonjoseph3227 Күн бұрын
Asante sana kwa elimu bora, pia naomba kupata picha za banda la kuku lilio bora . Au elimu kwa ujuml namna ya kuandaa bamda la kuku.
@ImmanueliPeter
@ImmanueliPeter Күн бұрын
Kwamfano nikifa napumba yamahindi, mashudu,pumbaya michele, poladi pamoja na madini ya chums mfano pigibusta chumvi, xoya, makliki,
@straton37
@straton37 Күн бұрын
Nzuri
@AshaHamad-n1z
@AshaHamad-n1z Күн бұрын
Naweza kuwap vifaranga
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Ndio inawezekana
@saumumsangi2059
@saumumsangi2059 Күн бұрын
Shukrani kwa elimu
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@AnnastellaElias
@AnnastellaElias Күн бұрын
Nauliza uduvi una madhala Gani Kwa kuku,hasa Kwa mayai.
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Ngoja tufuatilie zaidi ukweli wake
@Lucy-g7i8f
@Lucy-g7i8f 2 күн бұрын
Ni mgeni ktkk group naomba nielekeze nnipande punnje ngappii nauumbali gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Punje mbili . Umbali ni sm 15 shimo kwa shimo na sm 30 Hadi 40 mstari kwa mstar
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 күн бұрын
Kuku hamsini wanafaa kupewa chakula kiwango gani kwa siku na juu nawapeanga chakula usiku naweza wanyima
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 күн бұрын
Ni wakubwa au wadogo
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 күн бұрын
@@AGALUSTV kuku niwamiezi mbili
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 күн бұрын
@martinkaranja9265 sawa sawa ila fuatilia chati hii ktk hii video inaonesha umri w kuku na kiasi Cha chakula anacho kula kwa siku . Iyo ni kwa kuku 1, utazidisha kulingana na idadi y kuku wako kzbin.info/www/bejne/m3bHdJd9isRoadE
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
@martinkaranja9265 sawa Kuna video nimekupa apo
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 2 күн бұрын
Kuku hamusini wa miezi mbili wanafaa kukula chakula kiasi gani kwa siku nanaweza wanyima ya usiku
@AGALUSTV
@AGALUSTV Күн бұрын
Nafikiri tulisha kujibu kupitia video Ile tuliyokutumia
@shijakinyata841
@shijakinyata841 3 күн бұрын
Naomba kutumiwa video ya minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@ngalelemwakimaghe
@ngalelemwakimaghe 3 күн бұрын
Nataka kujifunza
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 күн бұрын
TIBA ASILI ya ugonjwa wa ndui kzbin.info/www/bejne/qZ-cnq2Znt55bJY
@paulinaobiria9649
@paulinaobiria9649 3 күн бұрын
Habari? Nina shida ya vifaranga wa kienyeji au niseme nina shida na mayai ya kienyeji
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Upo wapi
@otesimuhidini2051
@otesimuhidini2051 3 күн бұрын
Asante sana
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi
@JUDYCHEPKOECH-rw4bz
@JUDYCHEPKOECH-rw4bz 3 күн бұрын
Naomba nitumie video ya minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 2 күн бұрын
Video ya dalili za minyoo kwa kuku kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@AgreyMax-v1n
@AgreyMax-v1n 3 күн бұрын
Naomba nitumiwe video ga minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Video kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@shamimumasudi
@shamimumasudi 3 күн бұрын
Naomba hiyo video ya minyoo kwa kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Video ya dalili za minyoo kwa kuku kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@zuhurasadiki8288
@zuhurasadiki8288 3 күн бұрын
Naomba nitumie video ya minyooo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@filbertmacha
@filbertmacha 4 күн бұрын
Jinsi ya kuchanganya chakula cha nguruwe wa miez 5/6. Kwa kilo 100 please
@AGALUSTV
@AGALUSTV 3 күн бұрын
Ok ndugu endelea kutufuatilia
@elinamikaserian
@elinamikaserian 4 күн бұрын
Masomo yenu mazuri sana. Naomba video ya mdalasini
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Asante sana ndugu Video ya mdarasini kzbin.info/www/bejne/i6bUq6J9hJuShLM
@AnneManyanda
@AnneManyanda 4 күн бұрын
Nimefurahishwa na somo hili, nitatumia
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Tunashukuru sana kwa hilo . Endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@MganyiziPhinius-u8t
@MganyiziPhinius-u8t 4 күн бұрын
Mwanangu vifaraga ukivilea aviwezi kufa make vitakosa jot
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Havifi ndugu fuatilia video hii jinsi ya kulea vifaranga kzbin.info/www/bejne/aqnUhXV3gKd7qZY
@MariamHassan-o5t
@MariamHassan-o5t 4 күн бұрын
Mm kila nikiamka na pata kifarangw kimekufa cha bat
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Pole Sana ndugu. Ni vizuri kuchunguza zaidi mfano. Barid, lishe na vitamin ktk maji je unawapa?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Pole Sana ndugu. Ni vizuri kuchunguza zaidi mfano. Barid, lishe na vitamin ktk maji je unawapa?
@manenomassare9656
@manenomassare9656 4 күн бұрын
Nilikuwa nauliza pumba hiyo itatumika marangapi kutengeneza hai funza au nimaramoja nakuweka Tena pumbanyine
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Mara moja
@AllyMaritine
@AllyMaritine 4 күн бұрын
Dalili za ugonjwa za kipindupindu kwa kuku ni zipi na dawa zake
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Muharo wa rangi ya kijivu , na unakua na harufu Kali sana. Wape dawa kama trisumuilsyne
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Muharo wa rangi ya kijivu , na unakua na harufu Kali sana. Wape dawa kama trisumuilsyne
@FarashuuNassor
@FarashuuNassor 5 күн бұрын
Shukran kijana, somo ni zur sana sanaa sana. Je vifaranga vinapewa status mpaka wakifikia umri gan
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Asante sana ndugu. Hadi wiki 6 kisha unàanga wachanginyishia na grower kufika wiki 8 .utawapa grower tu
@manenomassare9656
@manenomassare9656 5 күн бұрын
Chakula hi ho watafumi Kwa mda gani
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Unamaaana ipi? Ndugu
@SeuriLukumay-q2y
@SeuriLukumay-q2y 5 күн бұрын
Naomba unitumie video ya minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Minyoo kwa kuku video dalili kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@YoeliSamson
@YoeliSamson 5 күн бұрын
Makadilio kwa heka mtaalam
@AGALUSTV
@AGALUSTV 4 күн бұрын
Si chini ya gunia 6
@JoyceTomerMgonja
@JoyceTomerMgonja 5 күн бұрын
Kuku akisha pata huo ugonjwa unaweza kumchanja?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Hapana ila tunasaidiana kutibu vidonda kzbin.info/www/bejne/qZ-cnq2Znt55bJY
@ISSASHABANI-p9h
@ISSASHABANI-p9h 5 күн бұрын
Kaka nauliza maji ya pili pili tunawapa kuku Kila siku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Kila mwez . Ni mfululizo Kila cku kwa siku 7 .
@carlosandrew-qb6wt
@carlosandrew-qb6wt 5 күн бұрын
Baking powder na baking soda ipi bora kwa broiler
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Yes ni nzuri sana ndugu
@nasibubiyaka7275
@nasibubiyaka7275 6 күн бұрын
Habari kuku wangu wanakohoa na wanaharisha kinyesi cheupe niwape dawa gani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
Apo nenda duka la mifugo watakupatia dawa ya kikohoz, na za kuhara iyo rangi watakaa sawa tu .
@SulaymaniAlly
@SulaymaniAlly 6 күн бұрын
Nini suluhisho la ugonjwa wa vidonda Kwa kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Vidonda kutokana na nini? Vipo sehem gani
@SulaymaniAlly
@SulaymaniAlly 5 күн бұрын
Ugonjwa huu sisi tunautambua kama buba ni vidonda vinakua sehemu za macho,midomo,na sehemu zingine za kichwa zisizo na manyoya
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
@SulaymaniAlly Oooh kumbe. Ni vizuri Tumepata jina jipya . Tunashukuru kwa ushirikiano wako
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Je vifaranga wanawwza kupewa katani?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Kwa kias kidogo sana . Japo SI vizuri sana angalau wawe WA wiki 4
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Asante
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Kuwapa kama kinga nawapa kiasi gani kwa kuku kama 80 hivi
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Ni kukadiria kiasi Cha majani tu . Maana ata ikizid dawa haina madhara . Angalia kias Cha maji unachowapa kuku wako na angalia je dawa imekolea ktk maji?
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Asante ubarikiwe
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Ila katani zipo za aina nyingi nyingine zina rangi tofauti
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Naomba nitumie video ya mimyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku 👇 kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 6 күн бұрын
Asante ubarikiwe
@AGALUSTV
@AGALUSTV 5 күн бұрын
@mahijayusuph8186 Amina ndugu 🙏✍️
@agathamkikima943
@agathamkikima943 6 күн бұрын
Nauliza dawa ya asili ya mafua makali kwa kuku ni ipi?
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Video hii imelekeza vizur dawa ya kikohoz kzbin.info/www/bejne/jXi3kJeLhdalkK8
@farajamanya7113
@farajamanya7113 6 күн бұрын
Naomba vipimo vya kutengeneza band la ng'ombe wawili wa maziwA
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Sawa sawa ✍️🙏
@rosepaul7901
@rosepaul7901 6 күн бұрын
Please naomba nami nijue dalili za minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku 👇 kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@martinkaranja9265
@martinkaranja9265 6 күн бұрын
Nataka kujua ndariri ya minyoo kwa kuku
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku video kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@claudjohn
@claudjohn 6 күн бұрын
Naiomba video ya minyoo
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Dalili za minyoo kwa kuku 👇 kzbin.info/www/bejne/mXXQpYpjeaqtgpI
@nsengiyumvapeter9689
@nsengiyumvapeter9689 6 күн бұрын
tunagufuata hapaa kwetu Rwanda Kigali city shukurani kwenye hii video
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Tunashukuru pia kwa Kua nasi. Salimia sana Kigali. Endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi
@nsengiyumvapeter9689
@nsengiyumvapeter9689 6 күн бұрын
@@AGALUSTV Asante sanaa
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
@nsengiyumvapeter9689 ✍️🙏
@CharityMwomtune-uh6bc
@CharityMwomtune-uh6bc 6 күн бұрын
𝑨𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒐𝒎𝒐 𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆🙏
@AGALUSTV
@AGALUSTV 6 күн бұрын
Amina KUBWA sana ndugu ✍️🙏✍️ tupo pamoja endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi