Kazi nzuri sana. Kipnde kimoja ina gharimu kiasi ghani?
@manjengaconstructionworks11 күн бұрын
@@raymondmakaka8495 unaitaji yakukuwanapi
@solomonzulu106416 күн бұрын
Good Day This is beautiful work , can I please have measurements of cages Regards Solomon
@solomonzulu106416 күн бұрын
Good Day Beautiful cages Can I please have the measurements? Regards Solomon
@solomonzulu106416 күн бұрын
Good Day Your cages are so beautiful can I please have dimensions
@waulingwa_pst23a16 күн бұрын
Kenya vipi
@vincentkyl519218 күн бұрын
Mpo wapi?
@manjengaconstructionworks11 күн бұрын
dar es salaam 0746920093
@solomonzulu106418 күн бұрын
Good Day Just wanted to ask for each cage how many chicken layers you keep inside & could I please have measurements Thanks
@HafizMoon-w2xАй бұрын
Good bro ❤
@manjengaconstructionworks11 күн бұрын
@@HafizMoon-w2x asante
@daphylyimo212 ай бұрын
Ofisi yenu iko wapi?
@beatsmu63002 ай бұрын
Waeza fika Kenya ?
@manjengaconstructionworks11 күн бұрын
@@beatsmu6300 ndio naweza kufika keny nicheki +255714093441
@HassanHassan-si2rt2 ай бұрын
Wekeni namba za simu sasa
@pwahzoy2 ай бұрын
Nawapataje
@abdullhakimalamin64023 ай бұрын
Kiasi gani mmejenga hilo banda nahitaji na mimi nnayo sehemu kama hiyo nambie bei tuuanze kazi
@PeternakanTumbuhan223 ай бұрын
Semangat bang
@ernestakafuka9353 ай бұрын
Sistim ya maji vifaa unapata wapi
@charlesunique16883 ай бұрын
Me naomba niulize bro ivi kuna uwezekano wa kufuga kuku wa kienyeji kwenye banda kama hilo na je watazaliana vizuri maana kuna watu wanasema kwamba kuku wa kienyeji wanatakiwa wafugwe kwenye free range yani wasikae kwenye banda mda wote please naomba majibu 🙏
@manjengaconstructionworks3 ай бұрын
Apana aiwezekani
@michaelmedukenya9752Ай бұрын
Hongera sana. Nina swali hapa-Chumba kimoja(box) kwenye cage Ina ukubwa gani na inaweza kukaa na vifaranga wangapi au kuku wakubwa wangapi? Hongera sana...
@manjengaconstructionworks11 күн бұрын
@@charlesunique1688 wakienyeji uwezi kufuga kwenye keji