Siri 5 za biashara ya simu kupata faida
4:49
Jinsi ya kutengeneza plan ya duka la vyombo
3:48
Пікірлер
@irenemichael
@irenemichael Күн бұрын
🙏🙏🙏🙏
@MIBWA
@MIBWA Күн бұрын
Saw baba
@enoceruganga5435
@enoceruganga5435 3 күн бұрын
Asante pia kwa ufafanuzi mzuri
@AliMwambola
@AliMwambola 2 күн бұрын
Asante 🙏
@auslady4310
@auslady4310 3 күн бұрын
Namna Gani utaweza kutengeneza hesabu za biashara ya salon
@AliMwambola
@AliMwambola 2 күн бұрын
Nimetunga kitabu kinachoeleza utengenezaji wa hesabu za biashara. Kitabu kinapatikana kupitia WhatsApp 255 716682439
@natemirisho6017
@natemirisho6017 4 күн бұрын
Boss Salam. Vipindi ni vizuri lalini matangazo mengi. Kama ikiwezekana Acha matangazo katikati ya vipindi. Tangazo liwe moja tuu mwanzo na mwisho. Kazi njema boss
@GraceMlaga
@GraceMlaga 5 күн бұрын
Naweza nikaanza na milion moja
@AliMwambola
@AliMwambola 4 күн бұрын
Kama ni mtaji unatakiwa uwe na fedha za: (a) Kulipa gharama za usajili wa biashara na leseni (b) Gharama za pango la sehemu ya biashara (c) Gharama za kununua bidhaa za vipodozi (d) Gharama za kununua vifaa vya kufanyia biashara Million moja inaweza kutosha na inaweza isitoshe. Inategemea unataka kufanya mambo gani
@salummsusa5007
@salummsusa5007 5 күн бұрын
Asante nimepata maarifa mazuri❤❤❤
@AliMwambola
@AliMwambola 4 күн бұрын
🙏
@niohmaker786
@niohmaker786 11 күн бұрын
Inaonekana tuh mtaji wake ni mkubwa ushanikatisha tamaa maan hapo hadi magari yametajwa 😁😁🤣🤣
@AliMwambola
@AliMwambola 11 күн бұрын
Sio rahisi kuweka makadirio ya mtaji ya kila anayetaka kuanzisha biashara ya gas. Wako wale wenye mitaji mikubwa, mitaji ya kati na mitaji midogo. Hata mwenye mtaji mdogo unaweza kuanzisha biashara ya gas. Jambo la msingi ni kufahamu vigezo vya kukadiria mtaji ambavyo ni vitatu: (a) Malipo ya gharama za kuanzisha biashara ambayo nimeyataja (b) Malipo ya gharama za kuendesha biashara (c) Malipo ya kununua vifaa vya biashara Wewe ndiye mwenye kufanya uamuzi kiasi gani cha fedha unacho kwa kila fungu kati ya hayo mafungu matatu. Kwenye upande wa vifaa nimeweka gari kwa sababu wako wenye uwezo wa kununua gari kwa ajili ya kufanya hiyo biashara. Sio rahisi mambo yote yanayo husu mtaji wa biashara kuelezwa kwenye video moja ya dakika 5 au 7. Kwa habari zaidi kuhusu mtaji nakushauri usome kitabu changu cha mtaji wa biashara ambacho kinaeleza mambo mengi kuhusu mtaji wa biashara. Nakushukuru kwa kueleza wasiwasi wako lakini nakushauri usikate tamaa. Endelea kupata elimu ya ujasiriamali na nina imani utafanikiwa
@PerisNekesa-k5f
@PerisNekesa-k5f 11 күн бұрын
Hi
@AliMwambola
@AliMwambola 11 күн бұрын
Hi. Karibu Tan Business Channel
@MariaMlewa-z7r
@MariaMlewa-z7r 14 күн бұрын
nikiwa na m 5 naweza anza kuuza jumla?
@AliMwambola
@AliMwambola 14 күн бұрын
Unaweza kuanzisha biashara ya jumla. Kuanzisha biashara ni jambo zuri lakini jambo zuri zaidi ni kuanzisha biashara ambayo ni endelevu. Hivyo ni muhimu kutekeleza mambo muhimu ya kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu
@HarounHafidh
@HarounHafidh 21 күн бұрын
yah of cause
@AliMwambola
@AliMwambola 18 күн бұрын
🙏
@liannsambu7264
@liannsambu7264 25 күн бұрын
K
@AliMwambola
@AliMwambola 18 күн бұрын
🙂
@PerisNekesa-k5f
@PerisNekesa-k5f 25 күн бұрын
Asante
@AliMwambola
@AliMwambola 18 күн бұрын
🙏
@johnchokala4849
@johnchokala4849 Ай бұрын
Hujui bado kuchanganua unakariri naku copy 😂😂😂
@johnchokala4849
@johnchokala4849 Ай бұрын
😂mzee iyo gharama mbona kama ni duka 3 hivi
@upendonyoni7421
@upendonyoni7421 Ай бұрын
Wao
@user-hy1fw2xe8p
@user-hy1fw2xe8p Ай бұрын
Nitumie pcha ya pombe Kali zote zlizopangwa Kwa pamoja
@hajihashim4038
@hajihashim4038 Ай бұрын
vze
@josephinembise6151
@josephinembise6151 Ай бұрын
Natamani ningekutana na wewe sir
@AliMwambola
@AliMwambola Ай бұрын
Wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439
@THREE_ANGLES_MESSAGE.
@THREE_ANGLES_MESSAGE. Ай бұрын
MUZIKI UNAHARIBU CONCENTRATION YA KUSIKIKIZA
@AliMwambola
@AliMwambola Ай бұрын
Ahsante kwa ushauri
@xisco6088
@xisco6088 2 ай бұрын
Asante sana
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Asante 🙏
@JaphetVenance
@JaphetVenance 2 ай бұрын
Asante sana
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Asante 🙏
@alexntahiraja2974
@alexntahiraja2974 2 ай бұрын
Nachukuwa nafasi hii kukushukuru kwa kazi njema unayoifanya. Siyo Vijaya tu wanaonufaika na mafunzo yenu hata sisi wazazi unatusaidia sana. Mimi sikufanikiwa kuwa na elimu ya juu. Mafundisho unayotoa yanaeleweka hata kwa mtu ambae aliyesoma elimu ya msingi. Nashukuru sana. Nawezaje kujiunga na online training? Ubarikiwe sana .
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Asante kwa pongezi zako 🙏 kuhusu training wasiliana nasi kupitia WhatsApp No. 255 716682439
@Neema-fh1wp
@Neema-fh1wp 2 ай бұрын
Mimi wa kwanza 'kama unapenda faida kwenye biashara yako gonga like hapa twende sawa...
@samwelmwita2431
@samwelmwita2431 2 ай бұрын
Ahsante kwa elimu yako
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Ahsante 🙏
@levenboss
@levenboss 2 ай бұрын
Asante sana
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Karibu tena
@oscarclaine5878
@oscarclaine5878 2 ай бұрын
Hii imeeleweka sana.. na kwa wanaoogopa mfano uliowekwa nawashauri kuwa wapole tu.. kwani hizo gharama zote zitaendana na ukubwa wa biashara yako.. Ambapo mimi nimetumia 3M tu kwenye biashara hiyohiyo. Tubaki kwenye hivo vipengele vitatu tajwa
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Ahsante kwa maelezo yako 🙏
@user-th7nj3lu8b
@user-th7nj3lu8b 2 ай бұрын
Tunakipataje hicho kitabu
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Unapata kitabu kupitia WhatsApp. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number 255 716682439
@user-th7nj3lu8b
@user-th7nj3lu8b 2 ай бұрын
Biashara ya duka mtaji sh ngapi
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Hakuna kiasi cha mtaji ambacho kinafaa kwa biashara zote. Ukubwa wa mtaji unategemea ukubwa wa biashara unayotaka kuanzisha na mipango yako kuhusu biashara Jambo la msingi ni kufahamu vigezo 3 ambavyo hutumika kukadiria mtaji wa biashara (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha biashara (c) Fedha za kununua vifaa Kwa melezo zaidi nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kukadiria mtaji wa biashara. Wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 2 ай бұрын
Shukrani sana mkuu
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Karibu tena 🙏
@user-xf2rv8gn4o
@user-xf2rv8gn4o 2 ай бұрын
Samahani mm nilipo kunamaduka 3 na wanauza za wakubwa tuu kama baby shoppers halipo
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Hiyo ni fursa kwako ya kuanzisha biashara ya nguo za watoto. Nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kuanzisha biashara ya nguo. Wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439
@Mwajumahoya
@Mwajumahoya 2 ай бұрын
Mm nataka kufungua duka la vipodozi lakini sina elimu ya vipodozi unanisaidiaje 🙏🙏
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Ili lupata elimu ya biashara ya vipodozi, nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi. Wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439
@WinifridaGregory
@WinifridaGregory 2 ай бұрын
We nae v2 unavyo orodhesha adi una mkatisha mtu tamaa sasa, naona ww unaongelea matajiri
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Hakuna kiasi cha mtaji ambacho kinafaa kwa biashara zote. Ukubwa wa mtaji unategemea ukubwa wa biashara unayotaka kuanzisha na mipango yako kuhusu biashara Jambo la msingi ni kufahamu vigezo 3 ambavyo hutumika kukadiria mtaji wa biashara (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha biashara (c) Fedha za kununua vifaa Kwa melezo zaidi nakushauri usome kitabu changu cha jinsi ya kukadiria mtaji wa biashara. Wasiliana nami kupitia WhatsApp 255 716682439
@paschalimathias
@paschalimathias 2 ай бұрын
Mtaji ni shingqp
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Mtaji unategemea unataka kufanya biashara ya ukubwa gani na mipango yako. Jambo la msingi ni kufahamu vigezo 3 vya kukadiria mtaji: (a) Fedha za kuanzisha biashara (b) Fedha za kuendesha biashara (c) Fedha za kununua vifaa, mashine, nyumba, magari etc
@paschalimathias
@paschalimathias 2 ай бұрын
Mtaji ni shingqp 0:08
@FanuelMbaga-ew6ts
@FanuelMbaga-ew6ts 2 ай бұрын
Naomba no tufanye kz mm Niko mkoani
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
Tumia WhatsApp 255 716682439 kwa mawasilano
@HappyMalya-hf2ej
@HappyMalya-hf2ej 2 ай бұрын
Asante sana brother
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
🙏
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 2 ай бұрын
Asantni sana
@AliMwambola
@AliMwambola 2 ай бұрын
🙏
@charlesinternational708
@charlesinternational708 3 ай бұрын
Nashkuru sana mwalimu
@AliMwambola
@AliMwambola 3 ай бұрын
Ahsante 🙏
@BarakaNyalusi-ie7yi
@BarakaNyalusi-ie7yi 3 ай бұрын
Ahsante Kwa elimu
@AliMwambola
@AliMwambola 3 ай бұрын
Ahsante
@ZuwenaSinde-hj9qg
@ZuwenaSinde-hj9qg 3 ай бұрын
👍
@AliMwambola
@AliMwambola 3 ай бұрын
Ahsante
@ZuwenaSinde-hj9qg
@ZuwenaSinde-hj9qg 3 ай бұрын
🤝🤝🙏🙏
@JimmyJir-nk4rz
@JimmyJir-nk4rz 3 ай бұрын
Kazi nzuri ya kuelemisha umma kuhusu biashara
@AliMwambola
@AliMwambola 3 ай бұрын
Ahsante🙏