MUONGOZO WA CHANNEL YA BINGO TV.
BINGO MEDIA inakupa updates za burudani na zinazotrend masaa 24 kuwahusu watu maarufu kwenye burudani ya Tanzania .
Sisi kama BINGO TV kwasababu tunawafikia watanzania wengi hivyo tunazingatia misingi ya uhariri kwa kufuata:-
-Kuripoti Habari kwa kutoa fursa sawa pande zote.
-Kuepuka uchochezi kwa kujiepusha na udini, ukabila na mambo yote yanayoweza chochea uchochezi.
-Kuripoti habari za kweli
-kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa wafuatiliaji wetu (subscribers na unsubcribers)
Lakini pia kwa Walio subscribe channel yetu
-sisi kama BINGO ONLINE TZ huwa tunafuata maoni ya Subscribers wetu hivyo kila mtu ana haki ya kutupa maonii yake na yakafanyiwa kazi.
-lakini pia kwa wale wachochezi kupitia channel yetu ambao wao hutumia comments kwenye habari zetu tuna uwezo wa kuwaondoa ili kuzuia uchochezi.
INSTAGRAM PAGE Link: instagram.com/bingoonlinetz/
Email
[email protected] Contant Us +255674777784