23 February 2024
12:11
7 ай бұрын
MAELEZO KUHUSU UGONJWA WA USUBI.
1:11
Пікірлер
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 4 ай бұрын
Huo wizi kabisa
@UpendaMfilinge
@UpendaMfilinge 5 ай бұрын
Ongera sana mlimba ya kunambi
@RamaMbwambo-ru8ym
@RamaMbwambo-ru8ym 5 ай бұрын
Thanx for marketing the beauty of Mlimba
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 5 ай бұрын
kumbe tz bado tunaabudu sanamu?
@Jeremiahlukumay
@Jeremiahlukumay 5 ай бұрын
Sasa hii ni Nini kweli?nilikua nathani ni kitu Cha maana kumbe ni ufujaji wa Mali ya umma ttu!!!hamna lolote.
@thulanimashaba8491
@thulanimashaba8491 5 ай бұрын
Mashamba yako pande hizo?
@MehmetMtonga-bq5kg
@MehmetMtonga-bq5kg 5 ай бұрын
Kwaiyo tufanyeje kama mkurugenzi
@omaryhussein3814
@omaryhussein3814 5 ай бұрын
Tuwekee na ya mang'ula
@alphoncinadomician3775
@alphoncinadomician3775 6 ай бұрын
Hongera Sana Kwa kaz nzuri
@JitihadaMasimba-ng5mv
@JitihadaMasimba-ng5mv 6 ай бұрын
Mbona hyo habari imetumwa kipande vipi?
@NumberOneProductions
@NumberOneProductions 6 ай бұрын
Hongera sana Kaka Jamal
@danielnyari1119
@danielnyari1119 6 ай бұрын
Kazi nzr
@AngelMatale
@AngelMatale 6 ай бұрын
Inapendeza inavyochezwa kwa mduara,siyo hivyo. Nazani hao si wapogoro watakuw wanakop na kupest
@JitihadaMasimba-ng5mv
@JitihadaMasimba-ng5mv 7 ай бұрын
Tsh ngapi na atuletee huku Mbingu
@Africa.17
@Africa.17 7 ай бұрын
Limejengwa mlimba seheem gani hili jengo
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 7 ай бұрын
Hawa sio Wapogoro bwana hawajui sangura na huwa hawavai hivyo
@lukagulagekidehele4379
@lukagulagekidehele4379 7 ай бұрын
MLA ndizi husahau, bali mtupu maganda husahau, je Shukrani hizo kwa Mkurugenzi anayehama ni ushahidi kwamba kilichofanya hayo ni fedha zake za mfukoni ama mapato ya ndani ya Halmashauri na ziada kutoka serikali kuu? Kikubwa ninachoendelea kikisisitiza kwa umri wangu na uzoefu wangu, kwamba kila kilichofanyika {H} ya Mlimba kimetokana labda na usimamizi bora wa wawakilishi wetu ambao hii ni Halmashauri yao, wawepo madarakani na hata wakistaafu. Kumbe Mkurugenzi ni mtekelezaji tu wa ilani ya mathubuti ya ccm. Yeye alikuta kila kitu lipo vikiwemo vyanzo vya mapato na mipango, nisomeke hivyo tafadhali.
@jacklinembuya2749
@jacklinembuya2749 7 ай бұрын
Hongera sana
@trueinkertv5393
@trueinkertv5393 8 ай бұрын
Mimi naomba tender ya Kuprint tshirt zote za uchaguzi
@JitihadaMasimba-ng5mv
@JitihadaMasimba-ng5mv 8 ай бұрын
Yes our Dream become True soon INSHAALLAH
@seciliapaul366
@seciliapaul366 8 ай бұрын
Big up
@mlimbadc42
@mlimbadc42 8 ай бұрын
Thank you.
@naimannganunga4072
@naimannganunga4072 9 ай бұрын
Mimi kwa maoni yangu kusema ukweli mimi naona ukweli usemwe tu maana naona naweza nikaongea na katika hatua hii ndugu zangu nafikiri na naona kabisa kuwa kwa muda huu naona na natamani niongee kuhusu haya na nina mengi ya kusema moyoni lakini kuhusu hili acha nichangie hoja kwa kusema ni kweli mnayosema na mimi sina la kusema
@mlimbadc42
@mlimbadc42 9 ай бұрын
Karibu useme
@mezaally9096
@mezaally9096 9 ай бұрын
Kwenye furaha hakuna kujua au kutojua. Waache wafurahie sangura
@mlimbadc42
@mlimbadc42 9 ай бұрын
Hakika
@africandarling6925
@africandarling6925 8 ай бұрын
Ha ha haaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hiyo KIBOKO dooo AISSEH Htr sana
@mariyammariyam4357
@mariyammariyam4357 10 ай бұрын
Mnache.vibaya.kwaza,hamjui
@mariyammariyam4357
@mariyammariyam4357 10 ай бұрын
Hiyo,sanguragani,hainamwerukeno .ngomayetu
@rashidmwaya2359
@rashidmwaya2359 11 ай бұрын
Mlimba ni 🔥
@mlimbadc42
@mlimbadc42 11 ай бұрын
Karibu sana sana
@chalreskajiru9677
@chalreskajiru9677 11 ай бұрын
Hongera sana
@LeokadiaKabandika-my8td
@LeokadiaKabandika-my8td Жыл бұрын
Vijana tuamke oyeeeeee
@Losambofc-gy7bs
@Losambofc-gy7bs Жыл бұрын
Blessed
@rajabdimosso1061
@rajabdimosso1061 Жыл бұрын
Hongereni sn Mlimba
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Asante sana sana Kiongozi
@angelasteven6015
@angelasteven6015 Жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa fursa hii.. "MAENDELEO YA UTALII NI MAENDELEO YA TAIFA"👏🇹🇿
@trueinkertv5393
@trueinkertv5393 Жыл бұрын
Mlimba tuko juu saba
@THEONEC.S
@THEONEC.S Жыл бұрын
Sina Mashaka na utendaji Wa Serioali yetu Mlimba Dc
@christinaemily146
@christinaemily146 Жыл бұрын
bableynzaluke
@amosihonde4460
@amosihonde4460 Жыл бұрын
Hongera Sana viongozi wetu wa Mlimba Morogoro
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Asante
@lukosielly4411
@lukosielly4411 Жыл бұрын
Safi
@fridantandu6854
@fridantandu6854 Жыл бұрын
Uchindile
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Karibu
@kleidanyaulingo5027
@kleidanyaulingo5027 Жыл бұрын
Hapa ni wapi
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Uchindile
@RechoMgaya-mo5pp
@RechoMgaya-mo5pp 3 ай бұрын
Nyumbn jmon
@amosihonde4460
@amosihonde4460 Жыл бұрын
Hongera Sana H/W Yetu ya Mlimba Good job Hayo ndiyo maendeleo ya Kasi
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Asante sana sana. Kazi Iendelee
@amosihonde4460
@amosihonde4460 Жыл бұрын
Utalii wa Ndani Kata ya Utengule
@mlimbadc42
@mlimbadc42 Жыл бұрын
Tunaanza kutangaza vivutio vyetu
@ipyanajerry6784
@ipyanajerry6784 2 жыл бұрын
Kazi iendelee
@rashidmwaya2359
@rashidmwaya2359 2 жыл бұрын
Eti mzungu wa simba hahahaaa