CHOCOLATE CAKE #TANZANIAN YOUTUBER
10:12
Пікірлер
@donking-d4t
@donking-d4t 12 күн бұрын
Hongera, taratibu unaendelea kupata uzoefu
@fabiankasmiry3488
@fabiankasmiry3488 14 күн бұрын
ulipotea rafiki
@Halimabarkalemasuo
@Halimabarkalemasuo 29 күн бұрын
Tugunzia dada
@estherdavid4133
@estherdavid4133 29 күн бұрын
Haya dear nitafanya hivo
@Mardan55Sawbi
@Mardan55Sawbi Ай бұрын
Tunashkuru na pilipili chuvi haungi mwaiyo pilipili?
@SalmaLekupe
@SalmaLekupe Ай бұрын
Shukran
@evalinemalole6709
@evalinemalole6709 Ай бұрын
Umetaja vya kutumia kwa haraka sana🙌 ungeviorodhesha kwa description box ili iwe rahisi kwa tunaopenda kujifunza🙏 Ni maoni tu
@StellaSwai-y7q
@StellaSwai-y7q 2 ай бұрын
Nice dada
@BartazaryNgowi
@BartazaryNgowi 2 ай бұрын
Samahani kama una taka ufanye ya biashara si itakua inakosti gharama kubwa kuloweka ukwaji na vinegar hakuna njia nyingine twaweza kutumia kuloweka ukwaju kusev cost na kuweka vinega kwa mda wake?
@estherdavid4133
@estherdavid4133 2 ай бұрын
@BartazaryNgowi. Kama utaona gharama inakuwa kubwa ya vinegar, na ukataka kuweka maji ili upunguze gharama basi itakubidi uweke preservative inayoitwa bezonate , hii nayo utaweka lakini inawekwa kwa vipimo vyake hujiwekei kiholela na inapatikana mduka ya vifaa vya cake ama vifungashio. Tunatumia vinegar ni kwa ajili ya kufanya pilipili yetu isiharibike. Lkin pia unaweza nunua vinegar kwa bei ya jumla Kam ni nyingi unapika.kwan hta hiyo preservative bezonate nayo ina bei kiasi vile vile.
@BartazaryNgowi
@BartazaryNgowi 2 ай бұрын
Ubarikiwe
@irenealmasi8539
@irenealmasi8539 3 ай бұрын
Uko vizuri
@khadijashehe1990
@khadijashehe1990 3 ай бұрын
vinegar unaweka saa ngapi na umesema achari haitakiwi maji jee ukwaju umeroweka na nini
@estherdavid4133
@estherdavid4133 2 ай бұрын
@khadijashehe1990 ukwaju nimeloweka na vinegar na sio maji.
@SophiaFrances-j7b
@SophiaFrances-j7b 3 ай бұрын
Uwatu unasaidia nini kwenye pilipili?
@SHILECKIZACHARIA
@SHILECKIZACHARIA 3 ай бұрын
Duu
@JumaaSaid-hn6yh
@JumaaSaid-hn6yh 3 ай бұрын
Dada mbona vinegar sijaona.wakati.unaweka 8:48
@estherdavid4133
@estherdavid4133 3 ай бұрын
Vinegar nimelowekea ukwaju,
@theknightking5345
@theknightking5345 4 ай бұрын
Mbona hukati ndani ukatuonesha unavokua ndani ndio raha yake tuone na muonrkano wa ndani
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Iliwaiwa kula kabla sijamaliza kupiga picha ya ndani dear next time utaona ndani ilivo.
@GloryClever-j2k
@GloryClever-j2k 4 ай бұрын
Nimeipenda dad angu asntee sana nitajarbu
@GloryClever-j2k
@GloryClever-j2k 4 ай бұрын
Asnteee nitajifunza zaid kwa Chanel yako maan ndo najifunza
@GloryClever-j2k
@GloryClever-j2k 4 ай бұрын
But naomba kulza sina mizan nitajua je vpimo sasa Dada
@AnithaRiwa
@AnithaRiwa 4 ай бұрын
Naitwa Anita kutoka dar
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Karibu anita
@YohanaRaphael-e4g
@YohanaRaphael-e4g 4 ай бұрын
Barikiwq lmetulia
@dorcusTilllya
@dorcusTilllya 4 ай бұрын
Nice
@JustajohnJustajohn
@JustajohnJustajohn 4 ай бұрын
Jinsi ya kupika keki
@maureenmbinile1655
@maureenmbinile1655 4 ай бұрын
Umetumia sufuria inch ngapi?
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Inch 6 @maureenmbinile1655
@dorcastarimo7387
@dorcastarimo7387 4 ай бұрын
Nimelipenda hili pishi, na nimelifanyia kazi ni Tamu mnoo, hicho Chungu nimekipenda madam
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Asante sana @dorcastarimo7387 chungu mimi nikinunua mbeya bei rahisi mno shilingi elf mbili na mfuniko wake, kama upo dar pia vinapatikana masokoni ila bei yake dar itakuwa imechangamka... karibu kwa Chanel yangu nd enjoy 😘
@ayumafamily9622
@ayumafamily9622 4 ай бұрын
Hi dear new sub here806 nipitie pia tufaulu pamoja nice vlog dear, I love your content ❤
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Karibu sana rafiki @ayumafamily9622
@ayumafamily9622
@ayumafamily9622 4 ай бұрын
@@estherdavid4133 asante sana 🤝
@JanethKayuni
@JanethKayuni 4 ай бұрын
❤❤❤
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 4 ай бұрын
Iyo choma sos unapikia kwenye nini na nini?
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Choma sos unapikia nyama zote , kuku, samki, iwe rost,iwe ya kuchoma, iwe ya kuoka, choma sos unatumia @fatihiyadossa375
@Sashaisaya
@Sashaisaya 3 ай бұрын
Santeeee nakupata dad
@annalysebittegeko1418
@annalysebittegeko1418 4 ай бұрын
Nimeona chimvi hapo kwenye mahitaji yako ila sijaona ukiiweka,hivyo tunaweka au hatuweki?
@OmanSur-d7h
@OmanSur-d7h 4 ай бұрын
Nimepenfa
@VeronicaSimba-x2c
@VeronicaSimba-x2c 4 ай бұрын
Uwatu n nn
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Ni kiungo kinachonegesha pipili yko na kuipa ladha nzuri , inapatikana sokoni wanapouza viungo @veronicasimba-x2c
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 5 ай бұрын
Mashaallah pilipili hii yavutia sana mpenzi
@EvaCostantino
@EvaCostantino 5 ай бұрын
Huko vizur
@estherdavid4133
@estherdavid4133 2 ай бұрын
Thanxs.
@FelisterSimon-r3o
@FelisterSimon-r3o 5 ай бұрын
Naya erewa sana mapishi yak dada
@RashidiKidenge
@RashidiKidenge 5 ай бұрын
Jmn pishi ni zuri .....
@reginahjoseph
@reginahjoseph 5 ай бұрын
Ingredients well arranged,new subscriber here ❤
@estherdavid4133
@estherdavid4133 5 ай бұрын
Ur welcome @reginahjoseph
@anitajohnsson102
@anitajohnsson102 5 ай бұрын
@sitially2112
@sitially2112 6 ай бұрын
Habari Dada naomba nisaidiye mimi bado mgeni wa oveni nimechoma nyama juzi nimeweka moto 200 nadakika 35 lakini nyamaimeifa ila taileimezima mdahaujaisha nikwanini imejiofutaa kamavile pasi jee hainatatizo
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Naomba uniwhatp no 0766456897
@kokumchunguzi6399
@kokumchunguzi6399 6 ай бұрын
je pilipili ya Embe / you can make
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Yes dears, check hapo recep ipo nimeweka pilipili ya embe.
@kokumchunguzi6399
@kokumchunguzi6399 6 ай бұрын
Thank you darling❤❤❤📸
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Karibu
@luckygichohi3108
@luckygichohi3108 6 ай бұрын
chupa za aina moja zapatikana wapi
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Kariakoo .
@hasinaaljabri1502
@hasinaaljabri1502 6 ай бұрын
Hakuna Chumvi
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Sikiliza vizur kila kitu kimewekwa hapo. Chumvi huweki
@rehemanassoro6497
@rehemanassoro6497 6 ай бұрын
Viniga sijaona na sukari
@estherdavid4133
@estherdavid4133 4 ай бұрын
Vinegar na sikari nimeweka , vinegar nimelowekea ukwaju na sio maji, sukari unaweka kuondoa ugwadu wa ukwaju​. @@rehemanassoro6497
@JumaaSaid-hn6yh
@JumaaSaid-hn6yh 3 ай бұрын
Asante sana tunakipenda.mungu.akupe.maisha.malefu
@mkamirachel9006
@mkamirachel9006 3 ай бұрын
Kwahy mpenz maji hujatumia​@@estherdavid4133
@hermandemello2200
@hermandemello2200 6 ай бұрын
Must try this Passion porige looks lovely!! Wow from TANGA Tanzania.
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 6 ай бұрын
Asante kwa ku share nasi
@deboradavid7833
@deboradavid7833 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉waoooow,,
@أكلاتأمرقية
@أكلاتأمرقية 6 ай бұрын
Hi new friend ❤yummy Yummy ❤
@estherdavid4133
@estherdavid4133 6 ай бұрын
Thanks and welcome
@hajrakifile797
@hajrakifile797 6 ай бұрын
Nice 👍
@fellybonny5618
@fellybonny5618 6 ай бұрын
🎉
@kasimubakari-f3l
@kasimubakari-f3l 7 ай бұрын
nitarajibu dada
@Its_Mndewa
@Its_Mndewa 7 ай бұрын
balaaa wali mafta mafta
@mingoyoweighbridge5357
@mingoyoweighbridge5357 7 ай бұрын
nice mmy.
@shadidajadu
@shadidajadu 7 ай бұрын
Yamevutia jamaan nimeyapenda
@Its_Mndewa
@Its_Mndewa 7 ай бұрын
keep it up love...............
@LovelyOutdoors-wd5nh
@LovelyOutdoors-wd5nh 7 ай бұрын
Kweli linapendeza hongera sana