Namuona kijana huyo...baada ya miaka kadhaaa atakuwa na kipaji saf..barikiwa sana mtoto ni malez
@frankmhoja246020 күн бұрын
Nyie kuwa mkatoliki saf asee....huu wimbo una hisia sana..barikiwa sana wanakwaya asee these are blesse
@ludwinamramba20 күн бұрын
Pongezi nyingi kwenu waimbaji
@veronicamutuku543925 күн бұрын
Kazi safi kaka
@PETROSSIMON-iz2oj26 күн бұрын
Lovely
@emanuelsaqware587Ай бұрын
👊
@JohnDaniel-j1zАй бұрын
Hongeren san kwa kazi nzur Mungu azidi kuwa inua
@prosperthomas5672Ай бұрын
Hongera sana kwa wimbo mzuri
@AngellaLuke-gl5roАй бұрын
Well done Mr Swai. May God really bless you for the work you are doing
@dorcasodire4564Ай бұрын
Another lovely one.❤❤❤Hongera
@MussaMabogoАй бұрын
Utunzi mujaarabu!! Hongera sana Mwl Tumaini Sway
@alphamulokozi35Ай бұрын
Hongera sana Maestro
@edwardobreymarunda496Ай бұрын
Huyu dogo nayemwona hapo mbele ni INNOCENT TUMAINI SWAI? 😂
@textileengineer6213Ай бұрын
Wow! Wonderful. Very good
@DjTijay254Ай бұрын
Wonderful....heri njema za krismasi 🎉🎉🎉
@mabogocharles6824Ай бұрын
Bro hujawahi kukosea kwenye utunzi wako hongereni Sanaa Kwa kazi nzuri 🎉🎉
@adamshirima5880Ай бұрын
Bro shikamoo. Ukipata nafasi itika 🔥🔥🔥🔥🔥
@tumainiswai_fmАй бұрын
Naam kaka
@PATRICKKYALO.SacredVoicesKenyaАй бұрын
Kazi iloenda shule isee🎉
@dorothydeclan6995Ай бұрын
❤🎉
@ShidaLeonard-c2mАй бұрын
Mbarikiwe sana
@luciajuma8336Ай бұрын
Hongeren San wimbo mzuri ❤ Mungu awabariki san
@jamesmtuka8618Ай бұрын
MWANA TULIA kazi nzuri sana mwalimu Swai na vijana wako❤
@benjaminmmand92Ай бұрын
Mungu awabariki sana wimbo umetulia mno,hongereni sana watayarishajii❤
@Rafaeljay76.Ай бұрын
Swafi sana.
@eliaskanyamaha6447Ай бұрын
Hatari sana...kitu cha moto
@reginamndeme1546Ай бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@rahabmacharia5020Ай бұрын
Hongera sana Mwalimu and friends kwa kazi nzuri.
@AngelHonest-b4zАй бұрын
Hongera sana wimbo mzuri sana
@OrganistjamesKtZАй бұрын
Safi Sana Mwalimu Tumaini,na Waimbaji wote
@maryflaviournafulasifuna6347Ай бұрын
🎉🎉❤
@hezekiabendera7146Ай бұрын
Huwa nakukubali sana Tumaini Swai utunzi wako
@jontap.i.6980Ай бұрын
kazaliwa kweli kweli swai hongera na kwaya yetu kwa ujumla
@lizmwendwamusicАй бұрын
Congratulations, very sweet song. 🙏🙏
@dominicakimbeАй бұрын
Kanzi nzuriiii ,,,,,Hongeraaaa Mwl 🎉🎉🎉🎉🎉
@godfreykamzola5805Ай бұрын
Safi
@apebanotetzАй бұрын
Hongera sana Master🎉
@antoniavicent2827Ай бұрын
Good job congratulations kaka🎉🎉❤❤❤
@EmmanuelKihiyoАй бұрын
Wow ,wimbo mzuri sana ,pongezi kwako mwalimu swai,nawaona na marafik Zang wote hapo ,Mr Deo , mwalimu hendry, madam katunzi,na wote ambao cijawataja hongereni sana wimbo mzuri, lala kitoto Cha mbingu ,lala sinzia ,MWANA TULIA,🙏🏿
@kmb_sombetiniАй бұрын
Asante endelea kuburudika kaka Emmanuel
@tumainiswai_fmАй бұрын
Asante sana mkuu
@pedromburu7691Ай бұрын
Aisee Swai umeupiga mwingi🎉🎉🎉 Nota zimepangika kama ziko Vienna😊
@EmmanuelKihiyo19 күн бұрын
@@kmb_sombetini Amina tch
@salomemahembega9420Ай бұрын
🎉🎉🎉❤🎉🎉Naam hongera sana kaka mdogo ❤🎉 KAZI nzuri mno
@tumainiswai_fmАй бұрын
Asante sana mwalimu wangu Salome
@paulmziba1060Ай бұрын
Kazi nzuri
@tumainiswai_fmАй бұрын
Amen
@kikemumbinda3225Ай бұрын
Kazi safi mcheza kinanda wa dunia and your team. You have given justice to that song...Ni tamu sana. Tunakusherehekea
@tumainiswai_fmАй бұрын
Asante sana Kikemu
@jonsonsolezi8779Ай бұрын
Upo vizuri kiongozi wangu,hukosei ukiamuaga jambo lako linakuwa kama lilivyo, barikiwa sana 🙏
@tumainiswai_fmАй бұрын
Amina mwalimu
@davidmuthaka8772Ай бұрын
Saaafi sana mwalimu Mentor
@tumainiswai_fmАй бұрын
Asante
@rubyccatholicАй бұрын
Wow ❤
@tumainiswai_fmАй бұрын
Welcome
@MaryThomas-v2jАй бұрын
🫡 to the composer unajua alafu unajua tenaaa🎉🎉🎉
@tumainiswai_fmАй бұрын
Thanks be to God
@titusbujeje1753Ай бұрын
Safi sana mtaalamu ❤❤
@tumainiswai_fmАй бұрын
Asante mkuu
@waromokelloАй бұрын
Wow great melody, harmony from a great man @tumainiswai❤❤🎉🎉
@tumainiswai_fmАй бұрын
Sifa na utukufu ni kwake Mwenyezi Mungu
@waromokelloАй бұрын
May you be blessed with more wisdom @@tumainiswai_fm