TUNASHUKURU wa kangagani KUPATA umeme wa mashambani. Ahsante Dr Mwiinyi.
@maase202312 күн бұрын
Unguja inajenga flyover na umeme hawana dah
@MkungwaNgwarumbwaАй бұрын
MH DK MWINYI SISI WANANCHI WA NUNGWI NA MBUZINI TUNATESEKA NA UKATAJI WA UMEME KILA SIKU IYENDAYO KWA MUNGU KWA MASAA MENGI KAMA KUNA SHIDA ZA KIUFUNDI TAFADHALI SN HILO JAMBO LIPO JUU YA UWEXO WAKO TUSAIDIE TUNATESEKA NA WATOTO HASA NYAKATI ZA USIKU KWA JOTO HATUNA UWEXO WA KUNUNUA MAJENERETA.
@MkungwaNgwarumbwaАй бұрын
Sisi wananchi ndio mtusamini hii shida ya kukatika umeme kila saa itaisha lini mpaka watoto wetu wanapata harara kwa joto, muda kwa kudurusu masomo yao umeme haupatikanii mtaacha lini kutukera sisi wakaazi wa nungwi na mbuzini.
@laisamaujud1157Ай бұрын
Maendeleo zenji bado
@MkungwaNgwarumbwaАй бұрын
SHIDA NI NN ZECO MNAKATA UMEME MARA NYINGI KWA SIKU HASA ENEO LA NUNGWI HUU NI UONEVU HAUVUMILIKI DHIDI YA MAPAMBANO YA KUPUNGUZA UMASIKINI TIMIZENI WAJIBU WENU SI MKAE KIMNYA BILA KUTOA TAARIFA..
@salumabdallah29902 ай бұрын
Usenge sana umeme kila siku munaukata alafu umeme ukiutia unaisha mita zinakula umeme
@ramadhankhamis13632 ай бұрын
Mumepandisha bei hatar ya umeme
@saidmakamo87642 ай бұрын
Nyinyi kila ck mnazima umeme kianga tu na mwera kwnn. Mnatukera mno.
@SelinaChristopher-h7b3 ай бұрын
Mbona mita Yetu Haiingiz Umeme Jamani
@JumaabuuJumaabuu3 ай бұрын
Meme mdogo pemba
@ibrahimrajab17024 ай бұрын
👍
@mrok2844 ай бұрын
Zeco ishaurini serikali itafute namna ya kuzalisha umeme hapahapa Zanzibar. Kwani tutegemee kutoka bara?! Au hapa kwetu hakuna vizalishia umeme.
Ni kweli na Serikali imeshaanza kulitekeleza ilo na kwa kuanzia tutaanza kuzalisha Megawati 18 pale Makunduchi, Mje wa laini yupo site anajenga laini ya 132kv ya kusafirishia umeme huo pia mjenzi mwengie yupo site anasafisha hilo eneo la kuzalisha umeme huo.
@aliabass52424 ай бұрын
@@ZECOZanzibar yah tunaona hayo yote tunategemea mambo yatakuwa mazur sik had siku
@mrok2844 ай бұрын
@@ZECOZanzibar Kule Pemba mnazalishia wapi??
@mrok2844 ай бұрын
@@aliabass5242 Juhudi nzuri ila nataka kufahamu tu kwa Kule kisiwani Pemba.
@saddiqsaddiq68804 ай бұрын
Juhudi za Rais MWINYI tunaziona ila nyinyi watendaji mnakandamiza watumiaji kwa makato ya pesa
@belladoreen59194 ай бұрын
❤❤
@Sharif-u5m4 ай бұрын
Mungu awafanyie wepesi❤ One iyooooooo
@hamadkhamis65724 ай бұрын
Munaumiza wananchi kwa makodi na makato ya kipumbavu, mfano service fee ni mzigo kwa walala hoi na wavuja jasho.
@iddijumaali71924 ай бұрын
Munatupandishia Makodi bila ya baraza la wawakilishi kimya kimya kutuibia
@laisamaujud11574 ай бұрын
Bilioni 1 ya uwendeshaji imetolewa mumesave sawa bilioni 8 inauza kwa sasa kwa mtandao sawa swali mbona unity zimepanda Munatusokota ikisha mumekaa kimyaaa baada ya jamaa kusema mumekuja juu
@lusakaone77824 ай бұрын
Hamjasema bado mngalisema mapema
@saddiqsaddiq68806 ай бұрын
Namuomba Muhishimiwa Rais wa Zanzibar atusikilize vilio vyetu kwamba makato yamezidi kesi kama hizi ndo mwanzo wa matatizo kama nchi ya Kenya
@winfridamsukuru98196 ай бұрын
Baba mwenye nyumba kajua kutukomesha hii haikopesheni
@winfridamsukuru98196 ай бұрын
Hatakuongea inashindikana mbona hivyo
@KhalbintKing6 ай бұрын
Ikiwa mtu anaiba umeme. Tunakupataje ili kuwapeni taarifa?
@muhammedsaid15658 ай бұрын
Assalam aleykum. Jamani zeco ninawaomba muje munitengenezee umeme ninamasaa 32 hapa nyumban sina umeme. Family washaondoka hamukaliki, ninapata hasara vitu kwenye friza vinanza kuharibika. Nawamba Plsssassass
@omariomari44548 ай бұрын
Kiswahili2 hicho
@MuhammedFoum-kr5kc10 ай бұрын
Hawana chochot kila siku wanatudanganya mwak wa tatu hawalip watu sehemu zao upuuz t
@MuhammedFoum-kr5kc10 ай бұрын
Azishen uo mrad mlotwambia uo wa kujitegemea Zanzibar ila naona mshafany takwim Lkn hamna tulip mnatuchelewesh hasa zestra
@MrOmarmack10 ай бұрын
Ni lini Zanzibar tutakuwa na chanzo chetu cha kuzalisha UMEME ili kuondokana na hii kadhia ya kugaiwa umeme kutoka kwa mzalishaji ambae ana load kubwa upande wa pili?
@saidsuleiman191210 ай бұрын
Na huu mgao wenu wa umeme ufanyeni mchana usiku mnatutesa kuna wagonjwa kuna watoto wachanga ni shida tu usiku ikiingia saa moja usiku tu huku Mwera umeme mnaukata mpaka saa nne usiku
@MmangaHamad-eq6ho11 ай бұрын
Zile mita ziloaza na 54 Hatuyataki labda waturejeshee zile ndogo za Zamani
@MmangaHamad-eq6ho11 ай бұрын
Tuekewa mita zipi
@victoriaajang8926 Жыл бұрын
$3.440+€3.44+!¥3.44₩
@victoriaajang8926 Жыл бұрын
$3.44+€3.44+£344+¥3.44₩
@victoriaajang8926 Жыл бұрын
$3 44+€3.44+£3.44+¥3.44₩
@victoriaajang8926 Жыл бұрын
$3.44+€3.44+£3.44+¥3.44₩
@awenamohammed18272 жыл бұрын
Mpaka Leo hatujapewa mita
@suleimanissa10192 жыл бұрын
Na mita zenu zinakula umeme
@suleimanissa10192 жыл бұрын
Hebu puguzeni bei za unity kwaanza
@jumasepetu43382 жыл бұрын
Tuwe pole Wana zeco
@awenamohammed18272 жыл бұрын
Tunaomba mita nasisi tupate umeume
@awenamohammed18272 жыл бұрын
Fuoni kitongani tumeshalipa bado mita tu mpaka leo
@antonysaid49452 жыл бұрын
Mimi ni fundi wa umeme nimesomea ila sina ajila nimefanya kazi shilika la umeme tanzania tanesco mkoa mwanza
@ayoubpapiy66922 жыл бұрын
Mnawauingia nyinyiwenyewe halafu mnawageukia mnasema kaunga kinyume na utaratibu.
@alikhamisog34222 жыл бұрын
Yaaan hawa nawachukia mungu anawaona
@alikhamisog34222 жыл бұрын
Mita ikiwa mbovu kuja kukuekea Sawa wata kutesa mpaka uchukie
@alikhamisog34222 жыл бұрын
Hata mm nikijua kuiba wala Simcha maana hawa wanakera