26.12.2024 nyimbo bado inaujumbe mzuri sana, utadhani imetungwa mwaka huu
@josephotieno39439 күн бұрын
Reminds me about my days in highschool. Hassan Mwana wa Ali used to play this song a lot akiwa radio Citizen. That's way back in 2008.
@lovenesbtwelve87019 күн бұрын
Dec 2024❤🔥
@skillagennahralАй бұрын
2 days to my 29th birthday... Huu wimbo unamake more sense Kadri navyozidi kua.
@Ancy_Conscious_TzАй бұрын
Rest In Peace Jimmy Chizi😢
@edithaeugeni9695Ай бұрын
Tujuwane wa 2024
@frankmagazine6418Ай бұрын
Fundi Bushoke
@khatibumtaki7425Ай бұрын
nyimbo zinaishi sana unaweza hata kum dadecation mpenzi wako nakakuelewa sio chomeka kwachini zenu izo
@patriciatobiko34142 ай бұрын
Golden voices,from tbt songs to the latest!!
@gloriamutola30572 ай бұрын
Bushokeee ❤❤
@nicolenenickson68122 ай бұрын
2024 0ctober ngoma yangu pendwa 😭😭😭🙏🙏🙏🧎♂️🧎♂️🧎♂️asante mungu kwa kila jambo🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@fotitz1933 ай бұрын
Dah! Minaitafuta sana nyimbo ya uyu mwamba inaitwa nema
@shukranlugo39183 ай бұрын
Napenda kuiskiliza sana hii ngoma
@stephenngala10483 ай бұрын
From kenya...mob love,we take this bang to 1m viewers 🤗🤗
@Kakajp-rx9ir4 ай бұрын
Poa sana bushoke
@franksamndomi22054 ай бұрын
Br Bushoke rudi ufundishe music hawa wasanii 2002
@franksamndomi22054 ай бұрын
2024 frank was listening 👂
@franksamndomi22054 ай бұрын
2024 August
@mylifepurpose5 ай бұрын
Tuliosikia bushoke kashinda kesi na anatakiwa kuepewa 500m tujuane
@FadhilaMnandwa5 ай бұрын
😢😢😢😢
@MarieBellaofficial6 ай бұрын
So beautiful
@VicentMasinga6 ай бұрын
Nakubalii sana this song
@gabonwashington30326 ай бұрын
Tamu sana hii ngoma
@gabonwashington30326 ай бұрын
Nice music
@rukiyamohammed29457 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@hamsikrasheedi17968 ай бұрын
kabisa nyimbo ambayo haitawayi kuchuja ni hii 🎖✊🏽
@hamsikrasheedi17968 ай бұрын
❤😢🫡
@frankmahenge59438 ай бұрын
Itaishi milele
@Jamessefania-n5z8 ай бұрын
Jamani 2024 nipo hapa kwa msela jela❤❤❤
@HUZZAMSUZNAKISIMBA9 ай бұрын
NATANGAZA EP YANGU AFTER RAMADAN LKAREEM 🌙🕌 2024 MY PIANO 🎹 EP b i n s i m b a s u l t a n Track list: 1. My piano 2. Nanenepa 3. Maumivu 4. Shime 5. Solemba 6. Nyang'a Nyang'a Under #akhenatontz BONGO FLEVA LET'S GO 🚀
@florahkimbage95719 ай бұрын
Sauti ya Bushoke👏👏👏👏 Msela yupo nje sasa!!!!
@MozaZubery-rv1xo9 ай бұрын
2024😂😂🎉
@TheFutureTanzania10 ай бұрын
Watched Today 05.03. 2024
@reginathadeo48010 ай бұрын
Hii nyimbo 😩😩leo nimeipata nilipokua mdogo nilikua naipenda sana
@eliaschema33510 ай бұрын
best song of all time
@jamkan0910 ай бұрын
thamani yako BUSHOKE zaidi ya madini........
@omaryaman131211 ай бұрын
daaaah....hii nyimbo aiseee jamaa aliiweza saana, nakumbuka nilikua naacha kusoma usiku had niisikilize hii clouds fm diva alikua hakosi kuiweka hii daaah....
@sergiohalhakeem118 ай бұрын
😂😂😂story yako ni mimi mtupu yaan
@ramadhani-khamisi13411 ай бұрын
historical song
@georgemshumbusi109911 ай бұрын
The best song ya Bushoke kwangu ndo hii, its 2023 lakin naposikiliza napata taste ile ile as if it was released yesterday 🎉❤
@jofreychristian Жыл бұрын
bushoke takes us back 😍😍
@legawayz6093 Жыл бұрын
Legend is legend over 👏👏🎶🔥🔥🔥🔥
@gbbuku4714 Жыл бұрын
My brother all the time👏👏👏👏
@ossipparsalaw-cx3jp Жыл бұрын
💥💥💥💥
@ossipparsalaw-cx3jp Жыл бұрын
Remix iwe na Hamonize panoga zaidi
@Shokolokobango9385 Жыл бұрын
Real bongo flvour
@regalopresent1037 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Jay_reelx Жыл бұрын
BUSHOKE AKIIMBA GOSPEL FLAN YA KINA WALTER AU AMPATE S2KIZZY APEWE AFRO BEAT AU LATIN BEAT (ZOUK) ANAUWEZO KULIZA WATOTO WAZURI😂❤❤❤❤❤❤❤ ANA SAUTI NZURI NA UANDISHI PIA. ..... CHEMISTRY 🧪⚗️🎉🎉🎉🎉
@lucaskashangaki7986 Жыл бұрын
Hawa ndio wandewa wenyewe sasa😂😂
@josphatchome3123 Жыл бұрын
nice legendary chemistry we need to c more this.
@johnmugabo4959 Жыл бұрын
Hii nyimbo inanifanya nikuone wewe ndio msaani bora