Tunawasubiri october tuje tuwapeleka mpera mpera,act ndo baba lao
@NassoroHaji-i8kКүн бұрын
Hamna lolote hapo tushapigwa za chini basi
@husseynomar95233 күн бұрын
😂😂😂
@talibsaid80964 күн бұрын
Hawakujenga lakini wamejengua
@ShaabanSimai4 күн бұрын
Kila kiongozi aliepita alifanya Kwa nafasi yake .
@R10_Rajab4 күн бұрын
Gonzalezzzz nice bro
@MakameNgwali4 күн бұрын
Ahasante Sana endelea kuendeleza maendeleo
@jumamambo74714 күн бұрын
Good mungu ambariki doctor mwinyi insha-alah
@RaiyanFaki4 күн бұрын
Good
@voptvtz92264 күн бұрын
Thanks
@BakariKhamis-l9d5 күн бұрын
Allah akubariki rais wetu piga kazi usiyumbishwe
@SabihaSuleiman-m1x7 күн бұрын
Ccm❤
@khamisjuma29477 күн бұрын
Sio kwao hatuna kwetu mtu anaitwa pembe akina pembe ni mafia na mkuranga
@kitomondo7 күн бұрын
Angekwea G5. Hiyo ndege ipo local sana.
@RaiyanFaki8 күн бұрын
❤❤❤
@HvhVvb-k3i8 күн бұрын
Huu mkutano hauna Salama katika taifa hili
@SaidHamad-j2i9 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮 cmm
@RoseRobert-qd6ip9 күн бұрын
Jamani nko zanzibar wana pi mwenzangu ila vikao ninanipita ,ningekuja
@firdaus742810 күн бұрын
MashaAllah hongera Rais Doctor Hussein Mwinyi 👏👏
@BakariMakame-j5f10 күн бұрын
Mpe salamu raisi mwinyi tunataka kuubadilisha mji mkongwe uitwe mji kasoro fly over kwani huku kwerekwe tunasema sasa mji kamili una kila ki2 fly over ipo soko lipo gorofa zipo ofisi za kijamii zipo maleria masiliano shule zote zipo polis wapo fire wapo wateja wa unga ndo usiseme
@kamishanamustafa665211 күн бұрын
hanaidhu uyo
@franccoz9411 күн бұрын
SISI SIMBA HATUMUTAKI MCHEZAJI KIKI KILA SKUU
@hassanmfaume452210 күн бұрын
Wewe siyo Simba bali utopolo kwani shabiki yeyote wa Soka anatamani mchezaji kariba ya Fei Toto ni mchezaji mzuri sana kuwahi kutokea namfananisha na Ramadhan Lenny ,nico Njohole ,Hussein Marsha nk
@SalimAbdallah-mi1wc11 күн бұрын
Nuru ya Wanzazibar
@HidayaHashim-g3w11 күн бұрын
mkemwenzamkemwenza hata afanye jema ni mbaya tu
@Mkenya_25511 күн бұрын
Asant baba
@abdallahselemani642312 күн бұрын
Na wambia ndugu zangu wa pemba tuache siasa hakuna upinzani tanzania chama kimoja tu !!! Vengine ni matawi ya chama tawala ? We jiulize makamu wa kwanza wa raisi analindwa nani? Askari wanaomlinda wa chama gani ? Mshahara anaopokea unatoka serikali gani? Nyumba anayoishi kapewa na nani? Na gari je kapewa la serikali gani!? Tafakari ndugu!! Amkeni
@mustafa-wh8gi12 күн бұрын
Mijinoyo cha vutu la bibi yako akinya
@utaani112 күн бұрын
Mbona Pemba hamujengi barabara?
@khamisjuma294712 күн бұрын
Ndio hio isojitambua
@ShauriAli-o5y12 күн бұрын
Utabakuivoivo mazuri ni act
@habibhamed158712 күн бұрын
Huyu babu Bora msenge kuliko Huyu akili zake
@SuleimanAli-di3kk12 күн бұрын
Lakini mbona surazao wapemba zinaonesha njaa kali nawakitupigia simu wanalalamika hali ngumu njaa nyingi vipi mkuu kuusu hilo au watakula magorofa ???
@muhammednassor356912 күн бұрын
U big up
@salehkhamis-ob8ln12 күн бұрын
2025❤❤❤
@Kassim-c3i12 күн бұрын
Mazurui akija ccm nae atakuwa hajuwi maana ya kuwa na nchi kwa hilo si rahic anajuwa tukiwa na mamlaka yetu hivyo ulivyo vitaja na vidogo sana sameni mujuwe singapore imaeendeleaje?
@ummuraw637212 күн бұрын
ACT KUNA WATENDAJI KAZI UTALIA SANA TI NA MAZRUI
@MohdiAlii13 күн бұрын
Kwaio kumbe kuna wazanzibari nawapemba
@SalhaMwalim-s2g13 күн бұрын
Ww njino tafuta kali ufanye
@muhammadmuhammad504313 күн бұрын
Maji Yapo au Nimatangi Tuu..😂😂😂😂😂😂
@omarabdallah957613 күн бұрын
Jenga maisha ya watu kiuchumi ajue angalau anapotoka asubuhi anapokwenda akirudi aone mfuko wake ukoje lkn pia aweze kujinasibu na utaifa wake sio tu kutupambiya mapambiyo ambayo ni wajibu kama serikali kayafanya hayo bila ya kujisifiya kwenye majukwaa
@abdultour164713 күн бұрын
Sahau bro
@ayuburajabsilima584013 күн бұрын
Hongera sana raisi wetu
@KibaSazaf13 күн бұрын
Kwan wapemba sio wazanzibar
@mbwanahussein9813 күн бұрын
Akili za walibiya NIKAMA zahawa ndugu nzetu
@suhailmasoud789113 күн бұрын
mamlaka kamili ya Zanzibar acha njaa
@maisarirajab484613 күн бұрын
Na njaa pia imeengezeka
@w405813 күн бұрын
Tena ndio wapitao wakiomba
@MshamAli-o4e13 күн бұрын
Mitao Tena upumbavu wenu tuendelee na ufisadi wenu nchi inanuka njaa Kila Kona znz tunataka uhuru wa nchi yetu ss sio wakaazi mkaazi mwinyi na nyinyi
@isaliisu340813 күн бұрын
Raisi yupi kadu hapo pana maraisi wa2
@mwanangusana12 күн бұрын
Kamdomo kamdomo ndugu yangu ....
@OmerSuley-gl7go13 күн бұрын
Dr Mwinyi sisi Wazanzibari tuliowengi tunaamini katika Zanzibar yenye mamlaka kamili ambayo ndio itatupatia maendeleo ya kweli ❤
@BakaryOmally13 күн бұрын
Omer mamlaka kamili labda mumshauri aanzie wapi au mukutane nae huku km mnapiga zogo tu ila usisahau mamlaka kamili ni yale yamungu dunia nimapito acha na ghururi za dunia
@OmerSuley-gl7go13 күн бұрын
@BakaryOmally Wewe utapita na Mwinyi atapita pia hata Zanzibar itapita pia ila itapita ikiwa Zanzibar ni taifa huru lenye mamlaka kamili hili suala ni lazima People's Power will talk