Пікірлер
@faresisaid
@faresisaid 5 күн бұрын
Nmewapenda sana kwaya iko vizuri mnajua sanaaana! Vyombo vinapigwa kitaalam na waimbaji wananibariki sana. Mungu awainue zaid ya hapo mlipo
@annamalolela654
@annamalolela654 10 күн бұрын
May Good bless you guys amen ❤❤❤❤❤❤
@mosesit649
@mosesit649 29 күн бұрын
Mwl. Fadhiri chibago Barikiwa sana nakukumbuka sana, mwaka 2011 preform one makuru education centre
@JanethJob
@JanethJob Ай бұрын
🎉 2:08
@LameckWilliam-t5s
@LameckWilliam-t5s Ай бұрын
Mbalikiwe sana watumishi wa Mungu ❤❤❤
@bahatijeremiah2081
@bahatijeremiah2081 Ай бұрын
Lovely Song. Keep going
@sophiadaud2360
@sophiadaud2360 2 ай бұрын
Nawapenda sana
@johnlemomo3474
@johnlemomo3474 2 ай бұрын
Hallelujah! What a song...UMERUDISHA FURAHA MOYONI...
@asifiwemasudya2731
@asifiwemasudya2731 3 ай бұрын
Wimbo wenye ushindi ndani yake, Mungu awabariki sana
@JoshuaDaudi-h5s
@JoshuaDaudi-h5s 4 ай бұрын
Mungu awajalie maisha malefu katika kumtumikia katika uimbaji. By Dcn.Joshua from Mara-Musoma
@UWAMSHOKWAYAPCGT-ILALABWE
@UWAMSHOKWAYAPCGT-ILALABWE 4 ай бұрын
Mbalikiwe sana
@EgraMataya-xb5zw
@EgraMataya-xb5zw 5 ай бұрын
Ndugu jipe moyo bwan bado yupo nawe 🫂🫂
@EgraMataya-xb5zw
@EgraMataya-xb5zw 5 ай бұрын
Umerudisha furaha moyoni 💥💥💥💚💚
@NsajigwaRichardMwafumbila
@NsajigwaRichardMwafumbila 5 ай бұрын
EL Shadai, nawapenda sana.
@benjaminimtafya8707
@benjaminimtafya8707 7 ай бұрын
Amen Mungu awabariki Sana WATUMISHI wanakwaya wote wa El shadai
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Amina mtu wa Mungu
@gloriakawago6223
@gloriakawago6223 7 ай бұрын
Nataman hata kulia ❤❤ hakika amepiga ngurumo mshindo mkubwa HATA SASA ni EBENEZER
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Usiyazuie machozi,Ukisikia Kulia Lia tu,MUNGU atayaona machozi Yako.Ubarikiwe sana Kwa comment
@malifedhamachimu4882
@malifedhamachimu4882 7 ай бұрын
Afu jamaa kapoa no mbwebwee dah ukibarikiwa sauti bana
@malifedhamachimu4882
@malifedhamachimu4882 7 ай бұрын
Naaamh majambo Mungu anapendaa haya dah Mungu aendelee kuwatumiaa
@barackchilangwa3714
@barackchilangwa3714 7 ай бұрын
Good vocal mdogowangu, God bless you.
@barackchilangwa3714
@barackchilangwa3714 7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@NathanMwakyusa
@NathanMwakyusa 7 ай бұрын
Mmetisha
@ngoyshekina4175
@ngoyshekina4175 8 ай бұрын
Tokoss
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Tokoss
@nicolousmwakalengela2258
@nicolousmwakalengela2258 8 ай бұрын
Kazi Nzuri watumishi
@RemigiusMngande
@RemigiusMngande 9 ай бұрын
Ebeneza hats Sasa umetusaidia huwa nabarikiwa sana na huduma yanu mungu awabark sana
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Amina,Asante Kwa comment.Mungu akubariki sana
@Miraclegospeldancers
@Miraclegospeldancers 9 ай бұрын
Ujumbe mzur san mungu ambariki mtunzi💥
@Miraclegospeldancers
@Miraclegospeldancers 9 ай бұрын
❤🎶🎼
@andrewmasingoti1206
@andrewmasingoti1206 9 ай бұрын
Daa God bless your job ,amina amina asante sana bro chibago
@SamuelYekonia-h5j
@SamuelYekonia-h5j 9 ай бұрын
Yesu nakupenda ❤
@Miraclegospeldancers
@Miraclegospeldancers 10 ай бұрын
Mungu awabariki katika kila jambo jema mtakalo panga kulifanya👏
@magdalenajuma5923
@magdalenajuma5923 11 ай бұрын
Hakika Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi na zaidi
@ngoyshekina4175
@ngoyshekina4175 11 ай бұрын
Tokosss
@MussaWebilo
@MussaWebilo 11 ай бұрын
mungu azidi kuwatangulia mnatubariki kwa kweli✋
@nyemochalagwa2014
@nyemochalagwa2014 11 ай бұрын
Glory to our almighty God❤
@princeally2723
@princeally2723 11 ай бұрын
Amen
@PeterEliabi-zh6yb
@PeterEliabi-zh6yb Жыл бұрын
Elshadai kwa Tanzania mnahesabika sana na mmevuma sana heshima kwenu na mafundi wa kuimba elshadai nahitaji sana kujifunza kutoka kwenu
@ezekielmakililo
@ezekielmakililo 6 ай бұрын
Karibu sana Mtu wa Mungu
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Amina,Barikiwa sana Mtu wa Mungu na karibu sana ELSD
@ImmaMuhando
@ImmaMuhando Жыл бұрын
One love elishadai
@annamagawa3995
@annamagawa3995 Жыл бұрын
Amen
@HawaPaulo-bs8kg
@HawaPaulo-bs8kg Жыл бұрын
Mkopow
@JosephTangazo-l9o
@JosephTangazo-l9o Жыл бұрын
Mko vizuri sana
@elizabethelikana-yi2qb
@elizabethelikana-yi2qb Жыл бұрын
Mungu atukuzwe ❤
@marymessay2768
@marymessay2768 Жыл бұрын
Mbarikiwe hakika Yesu amerudisha furaha moyoni
@Zaxfei
@Zaxfei Жыл бұрын
Fadhili chibago one of the most annointed man of God. You might have forgotten but you were the first to lead me to Jesus I respect you my brother ❤
@remigiusymngande2137
@remigiusymngande2137 Жыл бұрын
Hakika wewe ni ebeneza
@elshaddaichoirdodoma4164
@elshaddaichoirdodoma4164 6 ай бұрын
Amina
@kamlabsurgical3097
@kamlabsurgical3097 Жыл бұрын
NAUPENDA SANA HUU WIMBO SIJUI MTINZI WA HUU WIMBO ANAJUA AMETUHUBIRI. FADHIRI MUNGU AKUBARIKI MIMI ARON MWAKAPAKULA M/KITI PARADISE CHOIR MBEYA
@kalobeflix
@kalobeflix Жыл бұрын
One among the Best Choir in Town.....Mungu awabariki sana
@heriethchisawilo9630
@heriethchisawilo9630 Жыл бұрын
I love El Shaddai so much
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@fedricksteven1412
@fedricksteven1412 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana. Tunaponywa na nyimbo zenu.
@mosesmanyiga1021
@mosesmanyiga1021 Жыл бұрын
Nawapenda sana, wimbo mauricio sana!,May God bless you
@emmanuelmakonde1353
@emmanuelmakonde1353 Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana