Walaykum msalam warahamatullah wabarakatuh shukran shrkhe kutujuza. Mungu akulipe
@fatimahsoppah62322 күн бұрын
Na jee kama hakutoa kitu ila ulimfichia aibu ukasema alilipa ili ndoa ipite...jee hapo pana ndoa sheikh
@kautharjay5868Ай бұрын
shukran Allah atufanyie wepes
@user-rq3mj2mz7kАй бұрын
Mmh!kuna viraa hatukatai lakini hiyo hati iliyoandikiwa hiyo mas haf ni kati ya hati zipi katika hivo viraa? Muitazame vizuri hiyo mas haf, kosa ya hiyo mashaf imeandikwa kwa hati ya lahaja ya kimoroco na wala si kwa hati ya warsh. Niwaombe t na nyie mukarejee vizuri aina za viraa na khatwi zake halafu muje mutuelimishe tena.
@AbJsmАй бұрын
Talaka Sio TAMKO - Talaka Haiwi Kwa TAMKO Sawa Ukitamtamkia Mara Moja au Mara Mia
Maswahaba walisoma Quran iliyoandikwa kwa hatyi ya wapi? na kwa nini tusifuate hiyo?, mnatuchanganya na usomi wenu, maana ukijiuliza maswali mengi hauingii akilini
@mwanamkemuislamutv9369Ай бұрын
Tatizo elimu..mtu akielimika basi hawi na mshangao kama huu.
@DR.SAIFILLAH.53632 ай бұрын
Shukran
@samirhumud74082 ай бұрын
Wew soma dini mbona misahafu hiyo ipo kibao nchi tofauti ,imeandikwa kwa kiraa cha Arshi.Tatizo tz tunasoma misahafu ya aina 1 tu
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Ni bora iondolewe kuliko kuwepo
@hawakiza60672 ай бұрын
Bora waweke. Ilio zoeleka
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@@hawakiza6067 kabisa maneno yako
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Inayo makosa Kwa sababu misahafu yote ina juzuu 30 mbona huo una juzuu 60
@samirhumud74082 ай бұрын
Soma dini acha kukurupuka.Hamna kosa 60 ni hizb na wala si juzuu.Juzuu 1 ina hizbu 2.
@mwanamkemuislamutv93692 ай бұрын
Ikiwa unajuzuu sitini hebu twambie ni juzuu ipi na ipi imeongezeka na sura zipi zimeongezeka ndani ya hizo juzuu 30 nyengine??
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@@mwanamkemuislamutv9369 tuwa ulize wao walio sema ina juzuu 60
@abdullahjuma39262 ай бұрын
Maalim hio lengo kubwa ni kizazi kijacho ili kianze kujikonfuse wenyewe kwa wenyewe ili lengo Lau la kuchafua lifanikiwe. Jiulize mbona lugha Yao haina vitu kama hivo?
@mohdkhatib2232 ай бұрын
Kukomfyuz vipi wakati hivyo visomo vipo tangu enzi za mtume saw
@samirhumud74082 ай бұрын
Kwani kuna kizazi hawaruhusiwi kusoma ?
@ShaomoShahomi2 ай бұрын
Shukuran
@SUZANASUZANA-ku3jk2 ай бұрын
Shukran sheh ubarikiwe
@abdulazizal-mazroui33632 ай бұрын
Masha allah
@user-dn3jh6oz8s2 ай бұрын
Masha Allah Allah akuhifadhi
@marobaraka2 ай бұрын
kzbin.info4ernUyYydaY?si=BupQ_9Z3WrkhYjRt
@aliali-gw5pq3 ай бұрын
Mm nataka nikukumbushe mtume alimtuma MUADH Yemen peke yake (AHAD) kwenda kufundisha tawhid swala na zakaat, nyinyi khawariji riwaya AHAD hamzikubali ktk mas'ala ya tawhid na swala vp apo?
@adamcity94412 ай бұрын
Muadh alikuwa kiongozi wa msafara hakuwa peke yake.
@mariammaulidlimo93323 ай бұрын
Shukrani kwa ilim
@user-we4ko2zf8w3 ай бұрын
Shk nimekufam natuko pamoja
@selemankishema57803 ай бұрын
We mpumbavu? unafundisha na unatafsiri hizo khadithi unavyotaka wewe na masheikh wako
@mwanamkemuislamutv93693 ай бұрын
Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizi tayari. (Qaaf:18)
@user-yp4pq2lo4b2 ай бұрын
Muislam anatakiwa kuwa na adabu wewe unamuita mpumbavu adabu huna wewe na adabu ni chombo cha kuweka elimu kama huna adabu kila siku utasoma na elimu yako haitokaa kwasababu chombo chako kinavuja
@suleymanseif9723 ай бұрын
Mashallah Allah akulipe kheri
@TabithaBeqaa3 ай бұрын
Takbir
@EshaAli-ts1xg29 күн бұрын
Allahu akbar
@SleepyMakeup-yu4mz3 ай бұрын
Shukran nmeelew
@user-ju4ef5pj8z3 ай бұрын
Maashaallah shekhe pokea zawadi yako🌹
@nchandzessaid6803 ай бұрын
MASHALLAH Shkuran MUNGU hakujalia khre n ss tujifize zaid INSHAALLAH 🤲🤲
@user-pp3vo8rw5j3 ай бұрын
Asante sana allaha akupe wepesi wakutufunza zaidi inshallah
@ZaharaJama-cn7kp3 ай бұрын
Shukran sana allah akujalie kwa mafundisho haya
@RiddleGenious3 ай бұрын
JAZAKALLAH KHARYAN
@user-ng5dr7mn1d4 ай бұрын
asnte mkuu upo nchi gani ww umepotea
@suleimanzahor68784 ай бұрын
Mashaallah ya shekhe
@MohamefMullah4 ай бұрын
Sheikhe kunyenyua mikono kuweka kifuani kuachia mikono sio faradhi wala sunna kwa hivyo hakukuwa na haja ya mtume kumfundisha aliekosea kuswali, kosa lake swala yake haikuwa na utulivu, lakini tunakushukuru kwa kutuelimisha
@seifseif244 ай бұрын
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Mashaallah lakin kunakitu sijakifahamu hapo ulisoma hadithi y mwanzo kuwa aliwekwa sawa swahaba kwenye kufunga kwake mikono uje wakushoto halafu juu yke wakulia aweke juu y kifua chake kimtazamo huyo swahaba kapewa elimu hapo au sio kuwa kufunga mikono ipo kwenye swala naam au sio La pili: Ulisoma hadithi kuwa mtu aliredeshwa n mtume kwenye swala yke kuwa hakuswali unavyo stahiki au sio hasa kama ww unaweza kuswali kama ulivyo Sema ivyo hadithi maana hapo sijasikia idhkari z rukuu wala sujuud wala tashahudi na ww je unaswali hivyo basi kitahidi kuzifatilia kiundani hadithi Jazakallahu kher
@user-cs7ew2bx6b4 ай бұрын
Kama huna talaka mbili bila ya sababu
@user-ue7oj5xr8e5 ай бұрын
aslm alykm,nami pia nimeskia wingi wake ni siku 60 uchache wake ni siku 40 na ndo nnnavyo fanya je nilifanya makosa tunaomba utufafanulie shekhe hapo
@faroukalmaamary94425 ай бұрын
Assallam Alaykum Shekh,Samahani mbona mm nimesikia mwisho wake ni siku 60 baada ya hapo hiyo ni damu itakuwa ni damu ya ugonjwa ss hapo kama sijaelewa naomba unieleweshe
@mwanamkemuislamutv93695 ай бұрын
Ipo kauli ya baadhi ya madhehebu kama madhehebu ya shafi na maalik wanasema mwisho wake ni siku sitini, ila wingi wa wanachuoni wa shafi wanasema ni arbaini, na hii kauli ya 40 ni ya ibadhi na madhehebu ya hanafiya na hanaabila. Kwa hiyo kauli zote zipo utaangalia fiqhi ya madhebu yako unaweza ukafuata. Allah ndio mjuzi zaidi.
@S.SWarfa5 ай бұрын
Ma Sha Allah akuzidishie Allah elimu yenye manufaa kwa uma wa kiislamu.
@MohamefMullah5 ай бұрын
Talaka 3 za pamoja kuna medheikhe wengi na wanavyuoni wengi hawakubaliani nalo na katika wasiokubaliana na talaka 3 kuwa ni 3 ,mmoja wapo ni sheikhe Nurdeen kishki nae ana mchango mkubwa juu ya kadhia hii,kama masheikhe mulitakiwa mutowe ilimu kwa wana ndoa waache mchezo huu huu aliozungumza Saiydina Omar wa kuacha talaka 3 kwa pamoja na sio kwenda kinyume na sunna ya mtume maana talaka tatu zimeanza wakati wa saydina Omar Tufuate Quraan na sunna Talaka anazozitambua M,mungu ni Talaka 3 rejeea moja baada ya nyengine na ndio utazikuta ndani ya Quraan tuguate sunna
@ABUUALLY-tv8rl3 ай бұрын
Sheikh nurdeen kishki yeye sio mwanachuoni Bali yeye ni mlinganiaji na kama ipoo hiyoo kauli ulioisema wewe basi kauli hiyoo Haina nguvu ,Kwa sababu mtume s.a.w amesema mambo matatu ukweli wake huwa ni ukweli na uwongo wake hua ni ukweli akataka talaka ,ndoa na kumrejea mwanamke ,kwahiyoo unaposema umemuacha MKE talaka tatu basi hpo hakuna uwongo ndani yake mazali umetamka mwenyewe Kwa ulimi wako ,
@EricabrunaSousayaorrou2 ай бұрын
Yaorrou
@MohamefMullah5 ай бұрын
Hakuna kukubaliana kitu ambacho mtume hakufanya,talaka tatu kwa pamoja ndani ya Quraan hakuna wala hadithi ya mtume pia hakuna,talaka tatu ni rai ya saydina Omar baada ya kuonq watu wanachezea talaka,lakini enzi ya mtume hakukua na talaka 3 wala wakati wa saydina Abuubakar sasa tuache sunna ya mtume tuchukuwe fikra za Saydina Omar masheikhe kuweni wakweli jee ndani ya Quraani ni sura gani aya gani imetaja talaka 3 au hadith ya mtume hata dhaifu ndoa ni ibada ndoa imeingia katika hukmu za dini mtume ameondoka dini imekamilika,,sass wstuambia juhudi na maarifa ya wanavyuoni,mwanachuoni mkubwa ni mtume,Kisa kifupi,kuna swahaba jina nimelisahau alimuacha mke wake talaka 3 baadae huyu swahaba akaenda kwa mtume huku akilalamika akimwambia nimemuacha mke wangu talaka 3 mtume wala hajamuuliza maswali mengi,bali alimwambia jee bado unampenda,akamwambia ikiwa bado unampenda unaweza kumrejeea na akamwamnia hata ingekuwa ni talaka 100 ingehesabika moja,
@user-yn9dr7tm9y6 ай бұрын
Maashallah
@user-cy1od5xr8x6 ай бұрын
Nawapenda sana IBADH wanatahadhari sana katka mambo ya dini kuliko dhehebu lolote duniani kwa utafiti wangu
@mohamedaley56326 ай бұрын
Mashaallah... barakallah fiykum shekh na ostadh wngu shaaban albatwashy