Пікірлер
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 14 сағат бұрын
Oruma ni mchambuzi lkn anajipambanua kuwa yeye ni SHABIKI WA YANGA PURE kbs,, bora aache tu kuiongelea simba . Sasa aibu juu yake , simba wamecheza na yanga hizo goli nane ameziona? Aacha uchambuzi wa kishabiki
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 4 күн бұрын
Huruma zile 8 zikuapi??? Ulisema Simba itafungwa 8-0 ,acha chuki na simba
@user-rq4fq4pw4y
@user-rq4fq4pw4y 6 күн бұрын
Oruma ni mchambuzi wa ovyo sana
@christophermpogole4944
@christophermpogole4944 6 күн бұрын
Huyu Oruma ni mchambuzi au ni shabiki wa Utopolo, mbona anaonge kishabiki sana na matokeo yakiwa tofauti aendelee na msimamo huohuo!😊
@IbraMwakipesile
@IbraMwakipesile 13 күн бұрын
We kaaa kwa kutulia maana Simba ni miamba
@nicholouskihombo1507
@nicholouskihombo1507 13 күн бұрын
Jamaa kila anachosemaga hakitokei, so haitatokea Yanga kushinda 8, ila Yanga atashinda,
@patricknkinga7720
@patricknkinga7720 13 күн бұрын
Simba itawashangaza
@abdallahshariff6555
@abdallahshariff6555 13 күн бұрын
Oruma hakuna siku ataona ubara wa Simba
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 6 күн бұрын
Nilicho gundua huyu jamaa msema kweli kama unakumbuka alishasema yanga sana ukimtazama kishabik utamchukia
@rosemahushi
@rosemahushi 13 күн бұрын
Hauna jipya
@malackwilliam1723
@malackwilliam1723 13 күн бұрын
Tatizo makolo wakiambiwa ukweli wanapanic, anyway the day is comming
@rufinermwamdanga4946
@rufinermwamdanga4946 14 күн бұрын
hana lolote
@jumashedafa
@jumashedafa 14 күн бұрын
Mokwena pale msimu hamaliz labda abadil mbinu zake za uchezaji kutokan na mchezo
@selemonsalvatory4414
@selemonsalvatory4414 14 күн бұрын
Huyu jamaa kwa kuongea hajambo hata msimu uliopita alituaminisha hvohvo sasa hachelewagi kuumbuka na uzur wake hata aibu hanaga
@proisolution7166
@proisolution7166 15 күн бұрын
WEWE ORUMA MAWAZO FINYU,USIHUKUMU WACHEZAJI WA NDANI KWA MTU AMBAYE NI MIMBIZI BUT ALSO MBONA HATUJAWAHI KUMSIKIA HUYO KIBU BT ALWAYS CRITICISM SI AONGEE YEYE? TATIZO NINYI WENNGI MNAKUWA SEHEMU YA USAJILI WA SIMBA.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 15 күн бұрын
NABI HIYO TIMU YAKE ANAWIKI NAYO 2 AU 3 SASA AMEIJENGA SAA NGAPI?ACHENI MANENO MENGI.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 15 күн бұрын
NYIE SIMBA ITAWASHANGAZA SANA.
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 13 күн бұрын
Haina cha kushangaza aiseee
@user-cl4dx3kc6k
@user-cl4dx3kc6k 12 күн бұрын
Inashangaz nn kwa kujificha mnavyo cheza
@user-ce3tx7mr8v
@user-ce3tx7mr8v 16 күн бұрын
AHOUA NI MTU ANAKUTANA NA NANI???
@EustakiMandela
@EustakiMandela 16 күн бұрын
😂😂🎉
@namtingakassim5529
@namtingakassim5529 17 күн бұрын
Kwani kibu anauhimu gani piga chini simba acheni kulea ujinga
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 17 күн бұрын
Au tuseme ushabiki unakusumbua
@carrenbenson2111
@carrenbenson2111 17 күн бұрын
Jezi ya yanga nzuri achen wivu
@godsoonmlay587
@godsoonmlay587 17 күн бұрын
Jezi mbovu kilichokufanya uone nzuri ni hiyo rangi ya vitenge
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 17 күн бұрын
Huyu kibu Mimi simuelewi kabisa mpira wake ni wa kawaida kabisa