Пікірлер
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 3 минут бұрын
Mchambuz hii redio kwa sasa ni ambangile
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 4 минут бұрын
Mohamed Abrahaman anatufaa sanaa
@edwardmbonika5102
@edwardmbonika5102 8 минут бұрын
Manula we nenda ukiendagaa
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 17 минут бұрын
Huyo nasri muongo.. abuya ni winga ya kushoto hata kenya anachezaga hivyo. Japo namba 10 anaweza kuicheza
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 55 минут бұрын
Coastal ni wasenge tamaa mbona mamnyeto mlikopwa mbwa nyie na mpaka Leo hamjalipwa fara hawa mashoga sana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 3 сағат бұрын
😂😂😂kitawakuta
@taucdulle7460
@taucdulle7460 7 сағат бұрын
Anajikanyagaaa😂😂😂daaah Na baada iyo pesa kuingia hawakujibu walikaa kimya😂😂waache kumjandamiza mtoto wa wa watu
@taucdulle7460
@taucdulle7460 7 сағат бұрын
Yani uyu jamaaa ni muongooo😂😂😂
@danielmsoma4741
@danielmsoma4741 8 сағат бұрын
HAYAWAHUSU
@robertedward1992
@robertedward1992 10 сағат бұрын
Hapo ndio mtajuwa hao wanaowashawishi kma hamuijui Simba.
@vascombembela3632
@vascombembela3632 10 сағат бұрын
Mbona maelezo ya mwanzo na Leo yanakinzana kabisa? Mwanzo walisema club haijalipwa pesa yote, Leo wanasema mchezaji alisema hajalipwa pesa yote !ajabu sana yaani hata ukimsikiliza msemaji unaona Tu kwamba kuna mahali wamejichanganya ngoja tusubiri tuone Nani mkweli?
@iampantah9284
@iampantah9284 10 сағат бұрын
😂😂😂 pacome, aziz, muda na max ni below 30 yrs, huyu mchambuz anamaliza mshahar wa boss tu
@ahmedalsaadi7108
@ahmedalsaadi7108 9 сағат бұрын
Wote hao hawajafika 30
@AshimuMuhammad
@AshimuMuhammad Сағат бұрын
We muongo ndugu
@iddiramadhan
@iddiramadhan 11 сағат бұрын
Achani zenu tamaa mbaya munoooo
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 11 сағат бұрын
Eti mudathiri umri umeenda
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 11 сағат бұрын
Tamaa ni mbaya chamoto mtakiona
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 12 сағат бұрын
Mkude?.
@DM_15
@DM_15 12 сағат бұрын
Tamaa mbaya cost union kucheleweshwa kwa hela siku 9 mna zingua dirisha lilikua halijafunguliwa, nb mwamnyeto walikaa mwaka mzima wakalipwa inamaana mwamnyeto hakua wamaana kwao? Waache sarakasi
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 12 сағат бұрын
Mwamba kabisa uy price ki pakamwe😂😂😂😂😂
@drallan6879
@drallan6879 13 сағат бұрын
manula aachwe alituhujumu no wonder hatupo champion league
@GabrielMkuki
@GabrielMkuki 13 сағат бұрын
Viongozi wa tff ndo walioanzisha maana ndo wanataka kumuuza
@hamisijuma5010
@hamisijuma5010 13 сағат бұрын
Cost wanajikanyaga
@tempochoir
@tempochoir 13 сағат бұрын
Coastal acheni janja janja ....soka letu halipo huko kwa sasa ..
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 13 сағат бұрын
Coastal hamna viongozi.. Mpira wa miguu ukiwa timu kubwa lazima ufuate sheria siyo uswahili uswahili.. Mnaidumaza timu kwa hizo akili zenu za ubabe wa kimbumbumbu
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 13 сағат бұрын
Coastal mmefanya uhuni na mmeponzwa na tamaa. Mlipokubaliana na Simba hamkuwa na deal la Belgium
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 13 сағат бұрын
Hilo dili la ubelgiji ni uongo uhakika ni Haowanaojiita Wabelgiji ni Yanga walimshawishi mchezaji ..ndio maana walikuwa wameamua kumtema Gift Fred ila mambo yamekuwa magumu wanataka wamrudishe Fred
@mwanangusana
@mwanangusana 12 сағат бұрын
​@@nkoydavid9658😂😂😂😂 yanga hawana shida na lawii .... Pambaneni na hali zenu 😂😂😂 ... Yanga imevuka kwenye hatua za hovyooo😂😂😂
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 11 сағат бұрын
Huna akili usajili wa ndani utafananisha lawi na nani kwa beki?​@@mwanangusana
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 13 сағат бұрын
Tff hawana budi kwa simba kuna sheria inatumika inaitwa BUSARA wataitumia kuinyonga coastal Union
@monelayongola419
@monelayongola419 30 минут бұрын
Nyie ndio mnawarubuni Watu , HAKUNA Cha busara Bali Kuna utaratibu na kanuni. Tatizo lenu mnawasikiliza COASTAL UNION pekee na hata Hawa wachambuzi wanafeli. Nilazima ubalansi stori kwa KUHOJI pande zote. UKWELI nikua , Simba walishamalizana na kukamilisha kila kitu. PESA ukiicheleweshwa kidogo, HURUHUSIWI KUVUNJA mkataba. INATAKIWA kumkumbusha mnunuzi na kumpa siku 10 ukisubiria Na ndio Simba walitakiwa kulipa pesa, Mwisho tarehe 31/06/2024 Ila walichelewa na hatimaye wakakamilisha tarehe 08/07/2024. LAWI Ni Mali halali ya Simba. Sio kwa busara Bali kwa kanuni na Sheria. Kukawiza pesa hakuwapi uhalali Coastal kuvunja mkataba. Walitakiwa kuwaandikia Simba barua na kuituma kwa email. COASTAL hawakufanya hayo. Na Simba hawakuzidisha siku 10 Tena . AHSANTE
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 13 сағат бұрын
Mtaongea mengi
@user-tm3wk7qt4h
@user-tm3wk7qt4h 14 сағат бұрын
Kimenuka
@williamkajala8005
@williamkajala8005 14 сағат бұрын
Subilieni Iwanyeshee, Simmeyataka?
@DanielChaula
@DanielChaula 22 сағат бұрын
Urefu nikitu Bora pia Ako nacho
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Күн бұрын
Wachambuzi... bado mtaielewa tu YANGA... Kwani Yanga ilipata shidaa wakati wa lipoumia wachezaji wake.ndiyo maana ya usajili huo
@alexanderfute4559
@alexanderfute4559 Күн бұрын
Ikumbukwe haya ni mapemdekezo ya kocha na ndio alimhitaji
@ZakariaWitala
@ZakariaWitala Күн бұрын
Inshallah mwaka huu tunaweza kuchukua ubingwa
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 Күн бұрын
Yanga msimu huu anachukua Makombe yote ya Ndani. CAF champions league Yanga anacheza Nusu finali. Keep in mind this, you will remember.
@dr.edmundbmgeni486
@dr.edmundbmgeni486 Күн бұрын
Naamini benchi la ufundi la Yanga wako very strategic. Wachambuzi chungeni maneno yenu. Siku Moja mnaweza jikuta mnatamani kuacha uchambuzi. Mtamwelewa tu Gamond, just wait.
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 Күн бұрын
Shabalala naye ana makosa mengi sana,asi sifiwe sana,shabalala amehusika naye kwenye kujifunga mara nyingi pia
@tempochoir
@tempochoir Күн бұрын
Na kwa nini Simba walisajili ASANTE KWASI?!
@tempochoir
@tempochoir Күн бұрын
Geoff upo sahihi sana...Kapombe ni longtime sana kwenye MAJERAHA...wengine hapo wameanza uchambuzi juzi...akumbuke kwa nini Simba walisajili Zana Colibali...??!
@ladislausmakarious2023
@ladislausmakarious2023 Күн бұрын
Jfdd 18:42 😊ds
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Күн бұрын
Hili lichama kiburi sana
@user-qi3wv8sf5j
@user-qi3wv8sf5j Күн бұрын
Sio KWELI,duke ni winga WEWE wa pande zote,Sifa yake KUBWA ni pumzi na kukaba
@yohanamabula7088
@yohanamabula7088 Күн бұрын
Alikamwe limemugusa maana wanajua wanachokifanya na makolo walifubgwa kwa sababu ya maduka . Master yuko sahihi
@saidsalum6101
@saidsalum6101 Күн бұрын
Inshaallah mungu isaidie simba
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Күн бұрын
Mwili jumba akili kisoda😂😂😂😂
@RashidiNyinza
@RashidiNyinza Күн бұрын
😢uyu nasri wachezaj wa yanga wote anawatilia mashaka sjajua kwann atuambie labda alitaka yanga anamsajili nan
@kolosii4351
@kolosii4351 Күн бұрын
Kuelewa huhitaji Ds 2. Hapo funguo alishatia sahihi yanga mapema.
@worldherotv
@worldherotv Күн бұрын
Wachambuzi wa kisasa hawana mambo ya namba ten sijui six tena
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 Күн бұрын
NASRI sometimes unazingua uyo Kacheza winga
@proisolution7166
@proisolution7166 Күн бұрын
hapa nani yupo sahihi tatizo ya hawa waandishi wengi wenye upenzi na simba walizoea short cut za friends of simba,ndiyo utasikia wanaongelea uchawi,bahasha,kwa kuwa historia ina wahukumu.hapo kuna mwanadada alianzisha mchango wa mzawa kisa eti mayele,lkn enzi za akina bocco na kagere uzawa hatujawi kuusikia,lkn enzi za msuva na ngoma uzawa ulianza.
@rebmannminja3671
@rebmannminja3671 Күн бұрын
Chama in Young Africans! Why not?
@brownmasai774
@brownmasai774 Күн бұрын
Brother Kamwe, inasemekana kuwa ktk mambo yaliyomfanya Nabii Issa ibin Mariam amchaguwe Yuda Iskariot kuwa mmoja wa wafuasi wake ni pamoja na nidhamu yake Yuda. Imasemekana hata mkoba wa fedha za matumizi yao slikabidhiwa Yuda. Lakini tazama alichokifanya Yuda dhidi ya Nabii lilipofikia suala la utajiri binafsi!!!