KZ
bin
Негізгі бет
Қазірдің өзінде танымал
Тікелей эфир
Ұнаған бейнелер
Қайтадан қараңыз
Жазылымдар
Кіру
Тіркелу
Ең жақсы KZbin
Фильм және анимация
Автокөліктер мен көлік құралдары
Музыка
Үй жануарлары мен аңдар
Спорт
Ойындар
Комедия
Ойын-сауық
Тәжірибелік нұсқаулар және стиль
Ғылым және технология
Жазылу
EAGT CHEMCHEM TV
Karibu katika KZbin Channel rasmi ya kanisa la E.A.G.T Chemchem. Lengo letu ni kulihubiri neno la Mungu, kufikisha shuhuda za matendo makuu ya Yesu Kristo, habari na matukio mbalimbali yanayojiri ndani ya Kanisa la E.A.G.T kwa njia ya mtandao.
Kanisa la E.A.G.T Chemchem lipo chini ya Mch. Ask. EMMANUEL KABESE
Kanisa lipo katika kata ya Olasiti, Jijini Arusha. Ukifika Olasiti kibao cha shule utaona bango kubwa linaloelekeza Kanisa lilipo.
Mungu Akubariki endelea kutazama Mahubiri, Shuhuda, Mikutano ya Injili n.k.
20:18
Sifa Na Kuabudu Part 1
Күн бұрын
9:51
SHUHUDIA ROHO MTAKATIFU ASHUKA KATIKA IBADA YA KUABUDU EAGT CHEMCHEM
Ай бұрын
9:25
IBADA YA SIFA EAGT CHEMCHEM
Ай бұрын
2:36
Harambee
2 ай бұрын
2:49
MUNGU HATUMII MTU MZEMBE
2 ай бұрын
15:53
VITA DHIDI YA ROHO YA UZEMBE [PART ONE]
2 ай бұрын
3:20
ROHO YA UZEMBE NA INAVYO KATIZA MAONO YA WATU
2 ай бұрын
2:16
Je, Unakimbiaje mbio za Imani..?? part 4
3 ай бұрын
9:49
Je, Unakimbiaje mbio za Imani..?? part 3
3 ай бұрын
5:28
Je, Unakimbiaje mbio za Imani..?? part 2
3 ай бұрын
5:16
Je, unakimbiaje Mbio za Imani..?? Part 1
3 ай бұрын
10:32
Giza la Msalaba .... ✝️
3 ай бұрын
24:09
Yuko wapi ndugu yako?. Sikiliza majibu ya Kaini juu ya Habili Ndugu yake...part 2
3 ай бұрын
5:23
Yuko wapi Ndugu yako?.....😔
4 ай бұрын
26:58
Yuko wapi ndugu yako?,,,Sikiliza majibu ya kaini juu ya ndugu yake Habili. kuna kitu utajifunza.
4 ай бұрын
1:24
Waimbaji tupunguze kucheza tuongeze ujumbe #eagtchemchemtv#eagt#gospel#neno
5 ай бұрын
26:07
Hakikisha mwaka 2024 haupotezi chochote. fwatilia hili somo uimarike na usipoteze chochote. part 1
6 ай бұрын
17:33
KUMSHUKURU MUNGU NI MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YAKO YOTE. (USIACHE).
6 ай бұрын
5:44
Praise and worship Session, karibuni saaana eagtchemchen
7 ай бұрын
3:21
Ibada ya Sifa na Kuabudu.... karibuni saana #eagtchemchem
7 ай бұрын
6:33
Worshipping And Praising GOD is our daily responsibility ✝️
8 ай бұрын
13:07
Ibada ya Sifa ilivyofana EAGT Chemchem 🙌
9 ай бұрын
15:01
Jenga upya mambo yanayobomoka.....
10 ай бұрын
3:22
Nguvu ya Shukrani itokayo Hemani mwa Mungu... session 1
10 ай бұрын
19:49
KUSIFU NA KUABUDU 16 Julai 2023 EAGT CHEMCHEM
11 ай бұрын
20:39
Anajua atakalolifanya juu yako.
Жыл бұрын
5:07
Sauti ya MSALABA kwa Mtakatifu, part 2
Жыл бұрын
9:39
Part 1: Sauti ya MSALABA kwa Mtakatifu
Жыл бұрын
5:27
Roho mtakatifu alivyoshuka wakati wa Kuabudu
Жыл бұрын
Пікірлер
@upendomartin5627
11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GraceJohn-cb9kj
22 күн бұрын
Nahitajii maombii
@jerryjohn3232
25 күн бұрын
Nawafuatilia sana 👏👏👏
@SimeoniMafuru
28 күн бұрын
Hakika huyu baba ni mtume wa mungu
@Sindato-xy3xu
Ай бұрын
Amen watumishi wa mungu awabariki
@fidensianalufundisa5062
Ай бұрын
Ameen mtumish nilikuona kwa mchungaji elia Timothy ubarikiwe sanaa
@AmusedCoffeePot-vt6df
Ай бұрын
Baba mungu azidi kukupa mafunuo🙏🙏
@upendomartin5627
2 ай бұрын
Asante sana ndugu zangu watoto wa kaka mkubwa.Muinuliwe zaidi
@user-yj5cz3cx1p
2 ай бұрын
May the mighty God remember, the efforts made in building the house to gather and rescue people's soul
@user-wu4nu7ub6q
3 ай бұрын
Amen baba, Mungu wako atusaidie nashiye🙏🙏
@barikimollel
3 ай бұрын
Mungu nipe hatua moja zaidi
@naitovuakimollel6859
3 ай бұрын
Baba yetu Mungu akubariki mno umekuwa mwl mzuri sana kwangu.
@zawadicompany1622
3 ай бұрын
Mungu akubariki Mchungaji kwa kutufungua ufahamu wetu ❤
@elluminathabei5050
3 ай бұрын
Mungu tusaidie tusikombie mikono mitupu
@estersteven5914
3 ай бұрын
Barikiwa sana mtumish was mungu umetuguza wengi
@user-dz3rl1ki6u
3 ай бұрын
Kazuri ila kafupi
@JacobChibelenje
3 ай бұрын
Asante kwa ujumbe
@elluminathabei5050
3 ай бұрын
Glory to God
@user-zo3es3zz5q
3 ай бұрын
Ubarikiwe Baba kwa ujumbe mzuri
@user-nm2jz9ww4q
3 ай бұрын
Salamu.baba.nimekufata.sana...apa.congo..muji..lumbu.mbashi
@zawadicompany1622
3 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji na Neema yake isipungue juu yako
@joshuaerasto8677
4 ай бұрын
Tunashukuru sana kutukumbusha ndugu zetu wako wapi
@user-wf5vr3ir5y
4 ай бұрын
Glory to God 🙏🙏🙏🙏
@barikimollel
4 ай бұрын
Barikiwa sanaa Baba yangu najivunia sana kuwa na baba wewe
@user-le7mk5mx4x
4 ай бұрын
Aamina
@upendomartin5627
4 ай бұрын
⭐⭐⭐⭐
@user-ek2ok9ro6h
5 ай бұрын
Hogoreni watumish wa mungu kwa kazi kubwa mnayoifa ya kuwafu disha watu kumjua mungu mbarikiwe sana
@epunguson123
5 ай бұрын
Mungu akubariki Baba askofu wangu.
@claudetadamiani9158
5 ай бұрын
Asante baba kwa ujumbe mzue
@user-vl8gr5uc4t
5 ай бұрын
God bless you Rev mwizarubi
@FelisonSanga-wc8wc
5 ай бұрын
Ameni amen
@felsonsanga8502
5 ай бұрын
Amen
@rosacondrad
6 ай бұрын
I'm so proud to have God in my life sita poteza chochote this year in jesus name 🙇🙏
@rosacondrad
6 ай бұрын
May God bless you my DAD I'm so proud to have you in my life I will never four gate you every step in my life 🙇
@user-zo3es3zz5q
6 ай бұрын
Nimebarikiwa na ujumbe huu Sana.
@elluminathabei5050
6 ай бұрын
Amen, sitapoteza chochote 2024 kwa Jina la Yesu
@user-zo3es3zz5q
6 ай бұрын
Nimebarikiwa na mafundisho .
@claudetadamiani9158
6 ай бұрын
Mungu akubariki sana baba
@user-wf5vr3ir5y
6 ай бұрын
Aminaa Baba Mungu akutunze
@elluminathabei5050
6 ай бұрын
Ameen, Ubarikiwe Baba askofu
@benjaminbasil-lg7jx
6 ай бұрын
Nimebarikiwa sana ibada na ya sifa.Mungu awabariki wanapraise.
@barikimollel
7 ай бұрын
That's awesome so nice
@Fadhiliarassa
7 ай бұрын
Waao best praise 🙌🙌 another level nimebarikiwaaa🎉
@marthamsoloka6381
7 ай бұрын
Da emmy
@benjaminbasil-lg7jx
7 ай бұрын
Nimebarikiwa na uimbaji wa sifa, hongereni sana
@veronicalaizer3940
7 ай бұрын
Asante sana 🙏 Yesu kukubali sifa zetu kua kama harufu ya manukato mbele zako
@Sindato-xy3xu
8 ай бұрын
Amen sana mtumishi wa mungu abariki
@Sindato-xy3xu
8 ай бұрын
Amen sana mtumishi wa mungu abariki
@Sindato-xy3xu
8 ай бұрын
Amen sana watumishi wa mungu mbarikiwe sana
@user-fb5do6tp1o
9 ай бұрын
Nimeabarikiwa sana na mafundisho amen kutoka Kenya