RAHA YA NGOMA KIUNO...
3:00
21 күн бұрын
Пікірлер
@ulimwenguwasanaa6097
@ulimwenguwasanaa6097 7 сағат бұрын
kazi nzuri Sana
@ngaiobedi8387
@ngaiobedi8387 9 сағат бұрын
Uko vizuri mama. Ubarikiwe sana uendelee kukuza kipaji chako utafika mbali
@wennybarny168
@wennybarny168 9 күн бұрын
Nachojua huko Marekani huwa hawataki mtu mweusi afanikiwe Wakiona mtu mweusi kafika juu mbali sana kimafanikio hawapendi Huwa wanmtafutia mtu sababu, kosa la uongo wanambambikizia Hata kama mtu ana kosa fulani dogo basi ndo wataongezea mengine Watahakikisha wanammaliza hadi aishe apotelee kabisa kwenye ramani Michael Jackson, R. Kelly ni baadhi ya mifano tulioyoiona wazi kabisa
@wennybarny168
@wennybarny168 9 күн бұрын
Sean inatamkwa Shon
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 13 күн бұрын
Malipoo apaa apaa
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 13 күн бұрын
Malipoo apaa apaa
@HassanSaid-e1w
@HassanSaid-e1w 13 күн бұрын
Wachaa na yy akabanduliwee
@Halima-m2y
@Halima-m2y 13 күн бұрын
😭😭😭😭😭 dunia hii waallah sijui tutaenda kujibu ninii
@hakikahoman615
@hakikahoman615 14 күн бұрын
innalilah wainnaillah rajiun
@hakikahoman615
@hakikahoman615 14 күн бұрын
innalilah wainnaillah rajiun
@RoseMallya-dd6uu
@RoseMallya-dd6uu 16 күн бұрын
Mwandishi,inasemekana alikuwa anajiuza,pia kahaba. Jibu.hata kama alikua anajiuza na kahaba, HAKUPASWA KUFANYIWA IVO.! Hilo ndilo jibu Lake.ila mwandishi akaandika alichotaka!!. Mnahukumu bila kufatilia!
@MichaelAndrea-n2o
@MichaelAndrea-n2o 17 күн бұрын
Ahukumiwe kifo hiyo.😂😂
@ChristopherNamorukionga
@ChristopherNamorukionga 17 күн бұрын
Uyu achomwe na chuma ya mivereji hiwekwe Kwa Moto usunduliwe vizuri aizi kautamu yenye alimpa barna boy na Justin Bieber,na kajinga kengine aliwai sema atakua tajiri nambari moja duniani hop mnamjua kashuka Kwa ndege nikama ametiliwa chuma ya kutu kwenye nyashh😂
@khadijaacute
@khadijaacute 15 күн бұрын
heheheheheeee nyash na nyashiiiioooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 18 күн бұрын
Kwanza na yye ashugurikiwe afirwe tu
@HarunaOmari32
@HarunaOmari32 18 күн бұрын
Acha wa mfundishe shetan uyoo
@MwitaTv
@MwitaTv 18 күн бұрын
Baba hayo ulio yaongea mnayatekeleza Nchi gani, maana Tanzania hamuyafanyi mzee
@badarahmed1861
@badarahmed1861 19 күн бұрын
Hata simhurumii
@BimKubwa-p9k
@BimKubwa-p9k 19 күн бұрын
Huyu hafai hata kukaa kwenyee Jamiii ni mnyamaaa kuliko mny amaa😊
@MjumbeNuuh
@MjumbeNuuh 19 күн бұрын
Nayeye atashughulikiwa kama yeye alivyoshughulika wenzie
@GjoeKenya
@GjoeKenya 19 күн бұрын
What a you guys talking about manze me nadai real videos c una tuekea ma pic hapa saka vida
@norobo205
@norobo205 19 күн бұрын
Apelekwe Guantanamo akateswe
@MadukenyaKangero
@MadukenyaKangero 19 күн бұрын
Wacha washenentwe sitamaa ya pes
@MatalumaMauzo
@MatalumaMauzo 19 күн бұрын
Jaman wazungu hawapendi mastaa weus ikumbukwe Rkell na yeye alipelekwa jela kwa kuzushiwa ujinga Wana zofisha wasanii wenye mziki kuwa ondoa kabisa angalien musije mkadanganywa kina d m x na wengine wako wap mtanikumbuka wakimgeukia msanii mwingine mweus ndo mtaamin ninacho kisema wazungu wanaonekana kuanda mda maalum wa kukamata msanii mmoja mmoja tena mweusi anae milki utajili ili kuwaangamiza hivi malekan niyakusuasua kufanya uchunguz juu ya tatizo mnadanganywa na mitandao halaf mna kubali kweli niga nigiza nene mfano tz Kuna kiwanda cha cm Kama malekan Wana kiwanda cha kutengeneza cm unafikili wanashinda kuzea cm kuufanya uongo kuwa ukweli 2muche watu weuc tujitambue nihayot kwa mjanja Kama Mimi atanielewa kwa mjinga Kama mabebel hatanielewa usichanganye chuki ya yule unae mchukia na hili la kimataifa
@IssaBacar-i2i
@IssaBacar-i2i 21 күн бұрын
Huyo anyongwe tu na hata ikiwezekana achomwe moto ili lisiwepo hata kaburi lake kwani litasumbua watu wenye akili timamu kila pale wakilitazama hilo kaburi na kuhadisia bora tu achomwe.
@DubaiDxb-k7y
@DubaiDxb-k7y 17 күн бұрын
acha ukoloni mamboleo
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 21 күн бұрын
Shujji Naiti!
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 21 күн бұрын
Mwanzo awache jele na yeye apakwe mate si amepaka wenzie mafuta kama tadin tudan
@badarahmed1861
@badarahmed1861 19 күн бұрын
😂😂😂😅😅😅
@nassorali1034
@nassorali1034 21 күн бұрын
Achomwe shindano tu mshenzi wa dunia nzima
@ManoAnsso-f7c
@ManoAnsso-f7c 21 күн бұрын
Diddy Master Wote Amepita Nao Yani P Diddy Ametisha
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 21 күн бұрын
Ndo akili imerudi
@anselmoonolius
@anselmoonolius 26 күн бұрын
Ndo maana hamna Akili na uzee wote huo Bado NI machinga ulikua wap ujanani?
@AbubakaryOmary-m6l
@AbubakaryOmary-m6l 26 күн бұрын
Mmelipwa Tsh ngapi..
@MmohamediSaidi
@MmohamediSaidi 26 күн бұрын
Juzi tu mumesahau machingi mulikuwa munalia k koo
@LameckNgwandu
@LameckNgwandu 26 күн бұрын
Wewe ni tahira tena ni zero brain kauze mitumba watu wanapoteza ndugu zao wewe unaropoka UPUMBAVU .atakuongea halijui masikini wewe utakufa masikini RAIS RAIS unamali wewe au malala hoi
@GloryCharles-q3b
@GloryCharles-q3b 26 күн бұрын
Wamelipwa😂😂😂😂
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 26 күн бұрын
Machinga sio wazee
@hamisidale2704
@hamisidale2704 26 күн бұрын
Acha kujipendekeza familia zinalia awana baba,babu Mume mjomba au shemeji! Siri itafichuka siku moja watch out!!
@DavidKagulu
@DavidKagulu 28 күн бұрын
Watekaji wanazuia watu kuandamana
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 Ай бұрын
Ukiwa kiongozi jitahidi sana kutotumia kila taarifa unazopewa na wasaidizi wako kwa pupa bila kuzichakata kwa busara zaidi kabla ya kufanya maamuzi.Sababu,wapo watakaokuletea taarifa za uongo ili ukurupuke kuamua kisha watimize lengo lao la kukuondoa kwenye msimamo wako mzuri wa kutetea na kuisaidia jamii unayoitumikia kwa sababu ya wivu.
@giftysumay
@giftysumay Ай бұрын
Safi sana wakizingua piga chuma
@musamaganiko8999
@musamaganiko8999 Ай бұрын
Kosa1 hufuta mema1000
@vickylayda6336
@vickylayda6336 Ай бұрын
Unababaisha toast maelezo
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid Ай бұрын
Apo kweli kabisa mueshmiwa
@AridiSaid-b9k
@AridiSaid-b9k Ай бұрын
Tufanye kazi ila yetumacho kuona masikio kusikia
@RizikiMlela
@RizikiMlela Ай бұрын
Weweunaoa afande utapataunyumbakweri ukiomba unyumba anakwambia amechoka arikuwa nakikao kwaniniusitafute kamchepuko ambako kakobizenawewe
@ChingaPambakalii
@ChingaPambakalii Ай бұрын
Tunanyimwa sana mtu unakaa had miez sita hupew alaf mke haumwi inauma sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 Ай бұрын
Well said Wazazi wa mtt wawajibishwe, kuachana kunaleta mambo mengi sana mtu anakuwa na mtt au wtt yeye mzazi hawajibiki anategemea dada bibi au shangazi awasomeshe nk hii si haki Sheria iangaliwe upya kwa kweli
@andreabasso253gmail
@andreabasso253gmail Ай бұрын
Soft ware vs hard ware
@AtanasKalega
@AtanasKalega Ай бұрын
Wabunge wengine mko wapi mbona mambo ya msingi kama haya mbona hamuwi pamoja?
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Ай бұрын
Kwa kweli umeongea jambo mheshimiwa
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 Ай бұрын
Huyu anatakiwa afukuzwe kazi kabisa hafai kabisa