Пікірлер
@saidbakari2408
@saidbakari2408 20 сағат бұрын
😂😂😂 HAKUNA CHA MAADILI HAPO MAADILI NI YETU SISI WAAFRIKA SIO YA HUYO YESU YESU MWINGINE NI MIMI HAPA KAMA HAMTAKI MWAMBIENI MUNGU WENU WA WAKOLONI KUWA NATAKA AJE ASEME YEYE MWENYEWE AACHE UJINGA WAKE 😂😂😂😂
@SamBsam-g8x
@SamBsam-g8x 21 сағат бұрын
Nan alishawahi kumwona yesu kwa mocho ya nyama au nan anajua yesu atakuja kwa style gan kwaio acheni maneno ya kukosoa bila kujua ukweli wa mambo kwann tunakuwa wajinga kwa kung'ang'ania iman za wazungu kwann msijiulize picha ya yesu ni ya kizungu waafrica tunatakiwa tubadilike sasa na tuanze kuabudu miungu ya kwetu
@eddanyakunga1883
@eddanyakunga1883 21 сағат бұрын
Kijana,kwa maneno yako haya taftta Mtumishi ukakatubuvinginevyo hauna maisha.
@SerinaAnthony-x4u
@SerinaAnthony-x4u 21 сағат бұрын
Hapa hayupo kwenye upinzani wa dini na dini bali tupo kwenye kurekebish na kukosoa kauli iliyo tamkwa kinyume na imani ya ukristo, hivyo bac nyie waislam ambao mna comment upinzani na mabishano bas tungeomba tuuu mpite njia maana si lazma saaana kudondosha comment hapo.
@RAHIMULEMU
@RAHIMULEMU 22 сағат бұрын
Utume wako amekupa Nan ?
@LovenessAlbert
@LovenessAlbert 22 сағат бұрын
Kwa safari ya dodoma hana mpinzani❤
@KennedyNgusa
@KennedyNgusa Күн бұрын
Hiki kijamaaa goodlave ,selikàli kamata
@DanielKazonzya
@DanielKazonzya Күн бұрын
Wambiye mzee? Maana elimu ya tanzania ni cheti
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA Күн бұрын
YESU c wakudhihakiwa
@ضيفهمحمد-ل2ي
@ضيفهمحمد-ل2ي Күн бұрын
Lkn na ww siyo nabii ivyo ivyo hamjielewi nyie
@LucasSteven-k5o
@LucasSteven-k5o Күн бұрын
Hiyo picha ya actor wa muvi achen kuiweka huyo sio YESU ni binadamu kama binadamu wengine
@BABAZOO-e9k
@BABAZOO-e9k Күн бұрын
Daaah wakristo tunaenda wapiii
@imeldanjewele2065
@imeldanjewele2065 Күн бұрын
Mbona mmekata sauti sasa😞
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 Күн бұрын
Acheni yesu ajiwongeleye muwenyewe 😮ana uhuru wakusema anachokitaka
@emmanuelshilagi3302
@emmanuelshilagi3302 Күн бұрын
Wewe mwambie amtukane Muhamad uwaone WAISLAMU watakavyomlalua
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 Күн бұрын
@emmanuelshilagi3302 kuwani amemtukana yesu? Awo nanyiye mnataka kuwa kama wa isilamu?
@AgnesMussa-t7r
@AgnesMussa-t7r Күн бұрын
Mungu huwa anajitetea mwenyewe hatetewi na mtu maana yeye yuko hai,godlove huko ulikofika mdogo wangu ni mbali sana
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Күн бұрын
Siku nyingine ukiwa unarekodi kipindi Zima Simu
@SokratesStallin
@SokratesStallin Күн бұрын
ACHA WIVU yesu HAJAWAHI KUWEPO mungu muhamad shetani HAJAWAHI KUWEPO NI ZANA ZA WAKOLONI
@simonzakaria4770
@simonzakaria4770 Күн бұрын
Hayupo kwako.sisi kwetu Mungu yupo
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Күн бұрын
Sijajua kitu gani kimetokea kwa kichwa cha habari kama ni kweli basi Godlove ni mpumbavu. Hata hivo na mchungaji anaingia mkenge kwa kutoa siku tatu. Sisi Mungu wetu sio wa malipizi. Yesu huyo huyo anahitaji hata alomuua aingie mbinguni . Ndo maana akasema baba wasamehe kwani hawajuh walitendalo. Kwa hiyo kwa mtu ambaye anamsema vibaya tu sioni haja ya kumrangazia vita, amwombee tu kwa yesu amwokoe.
@JeremiaMwakaboko
@JeremiaMwakaboko Күн бұрын
Mbona ujasema umefikaje apo au unaona chakula kinapotea
@AsinaHussein-x7m
@AsinaHussein-x7m Күн бұрын
Mfikisheni kwenye kituu cha polisi,hapo hakuna mkuu wa poli?
@Augustinokalengela
@Augustinokalengela Күн бұрын
Mtumishi acha makasiliko mbona umeweka picha ya mtu aliyeigiza kuwa ni yesu unaikumbatia naunaamini kwamba ni yesu wakati nimuigizaji tu wala haujawaikulalamika sasa nahili la chief lisikutoe roho sematu njaa inakusumbua unaona waumini wako wata kukimbia wewe ninani mpaka uhukum chief godlove Nimoto una kuunguza polesana Hatawewe tunaweza tusikuone kesho mburu kengewe
@wissemelk
@wissemelk Күн бұрын
Yeye kasema ni yesu kwani kunakosa gani wewe, au ushamba tu mbona nyie mnadanganya wa mumeongea na kumuona mungu nani kawakosoa Tulia brother acha kiki
@MIKISTUDIO-wr6sy
@MIKISTUDIO-wr6sy 2 күн бұрын
Sikiliza vizuri
@MIKISTUDIO-wr6sy
@MIKISTUDIO-wr6sy 2 күн бұрын
Inawezekana hauku muelewa vizuri kwasababu bibiliya inasemayqsu ata wa ambiya nili fika kwako nika kuomba cha kula uka nikataliya na ndyo maana ali sema
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 2 күн бұрын
Yesu Kristo anajipambania. Hahitsji nguvu Zetu. Tumbuke hata mmoja wa watumishi wake alipo mkata sikio mmoja wa waliokuja kumkamata Yesu ili asulubiwe Yesu Kristo alimrudishia sikio lililokatwa. Hao kina Godlive walitabiriwa Makristo wengi. Msiwaamini. Huyo atapigwa na Mungu. Yeyote atakaye mkufuru Roho mtakatifu hatasamehewa. We endelea tu. Lakini huyo anataka tu kuleta taaruki. Lkn sisi sio kama dini nyingine. Yesu wetu anajipambania. Hatuna pressure. Yesu Kristo amekanilika
@thomassompo5375
@thomassompo5375 2 күн бұрын
SASA WEWE UKIKATAA,UNAMJUWA YESU?
@thomassompo5375
@thomassompo5375 2 күн бұрын
POLE SANA MZEE,UO NAO NI UJINGA ,YESU AJAWAU KUWEPO ,NA AYA MINAYO YA ONGEUA KWENYE BIBLIA NI UONGO ,APA UNATAKA USEME NAWATU WAMUCHIKIEYE CHIEF ALAFU UNA DINI,AYA MIMI NAKUPATIYA MUTIANI MDOGO SANISA AMBAYE UKO NI KANISA LA MTU AKUNAGA KANISA LA YESU ,NA AYA UNAOYANGEYA NIKU CHAFUWA JINA LA MTU,BIBLIA NI KITABU CHA WATU WENYE UPEWO MDOGO WA WELEVU
@jkjonathanlabel4498
@jkjonathanlabel4498 2 күн бұрын
Natena mimi nimefuatilia hakusema eti yeye ni Yesu Alitumia neno huenda neno huwenda nikwamba ni kitu ambacho hakina uhakika please twambie mambo mengine Ahsante
@jkjonathanlabel4498
@jkjonathanlabel4498 2 күн бұрын
Kipindi yuko anasaidia yatima na wajane mbona hamujasema leo hii ameongea Yesu mumesimama acheni maneno ya kuungaunga
@woah.africa99
@woah.africa99 2 күн бұрын
Huyu mjinga sana na hiyo picha ndio ya yesu kisha mzungu hv yesu ni.kzungu watu wajinga ww ndio unakufuru mana mzungu unamuita mungu mbwa ww
@jamuuhaman-ed2ij
@jamuuhaman-ed2ij 2 күн бұрын
tafuta hela ww kuwa na uelewa unampa mtu sku zanini yesu muigizaji ama
@MohamedAlly-h4u
@MohamedAlly-h4u 2 күн бұрын
Ushauri huu ni mzuri sana kwenye suala la interview. Wanaofaulu ni wengi lkn idadi inayotakiwa ni ndogo, Je, kwanini wasiwekwe akiba?!
@JasmniAbduli
@JasmniAbduli 2 күн бұрын
yani mnatia aibu huku kwetu makenzi aliua watu wetu mpk xx ivi atujui yu wapi ivi nyinyi amuogopi mungu tumewachoka xx ivi kila mtu aishi na imani yake ila mkae mkitambua dini ya haki katka maisha ya mwanadamu ni islamiki pekee
@JasmniAbduli
@JasmniAbduli 2 күн бұрын
acheni ujinga hata ww unayeongea huna cha imani wala ukiristo ila acha mungu awaonyeshe kuwa yy ni nani ndo muwe na hakili hata uyo mnayemuita papa ndo pepo kubwa acheni ujinga rudini kwa mungu wenu
@JasmniAbduli
@JasmniAbduli 2 күн бұрын
ebu tuache mungu afanye kazi yake ila ki ukweli hii imedhiirisha kuwa dini ya kikirstu ni ya uongo kwa maana mmeshaizalilisha vya kutosha kila anaejisikia anafanya kupitia iyo dini ivo inamaanisha iyo dini sio ya haki ebu jarbu kujieshimu basi tumechoka drama zenu
@hanskidd2290
@hanskidd2290 2 күн бұрын
Mabishana kuhusu stol za watunzi ktok Oxford 🤣🤣🤣🤣 achen upuuzi ban unakazana kpigania mungu je swali ushawai hat kumuona huyo mungu ebu muachen chif wa watu kaongea kulingana na mtazamo wake
@JacksonKachila
@JacksonKachila 2 күн бұрын
Wambie❤
@RhodaLema-z8w
@RhodaLema-z8w 2 күн бұрын
Asante sanah Mjoli wa Mungu Baba muumba wa mbingu na nchi tunakushukuru sana kwa kuonya kukaripia kwa wasiolinda IMANI yetu Ubarikiwe sana
@LawrentKaifa
@LawrentKaifa 2 күн бұрын
Mbona mnawaacha wale vijana 2 wanaichambua vibaya dino pia bilbia na wanasema mungu hayupo
@BlaizerTz-pc5xu
@BlaizerTz-pc5xu 2 күн бұрын
Me ni mkristo ila naenda kwa waislamu maana mnawaaminisha watu ukimpokea yesu umemaliza watu wanakesha kanisani wanakuwa masikini mnawadanganya
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 2 күн бұрын
Mungu adhiakiwi atamjib godlove
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 2 күн бұрын
Uyu mtt ni kichaa ndio mana yupo mungu msemaji wa mwisho
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 күн бұрын
Nabodo wewe yesu wamchongo umezika yesu hakuwahi kuzika wewe je
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy
@KRIPHMWAKILOVOKO-rd7wy 2 күн бұрын
Ani pesa daaaah
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 2 күн бұрын
Watumishi hao niwa wamajoka shetani huyo awe yesu mungu yupo wakilsto tumekuwa watu wakime sana hawa wapumbavu kutuchafuli imani yetu judevi mjinga anasema yesu atambeba kwenye gali lake wakilisto tuwashugulikie wajinga kama hao
@oscanyakunga
@oscanyakunga 2 күн бұрын
Mungu awasamehe wasipotubu watakufa katika kufuru zao wana wanajoka wana waibilisi adui wa haki, umefanya ivyoukijua akuna wakukutingisha lakin ole wako wewe ulie mdogo machoni pako
@ImaniPhilbert
@ImaniPhilbert 2 күн бұрын
Ngoja niwasanuwe kurudi kwa Kristo mala ya2 hatotokea mawinguni kama mlivoaminishwa na viongozi wenu wa dini,,, Kristo atazalia hapa tz watakao amini ni wateule wa mwenyezi Mungu ,, Kristo ni riho ni spirt itamwingia mtu yoyote ila2mtu mweusi kwani hata Yesu alikua mtu mweusi ,kunielea hadi uwe na d2
@HamadiHaruna
@HamadiHaruna 2 күн бұрын
Nabii yusufu
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ Ameeeni Muñgu hafananishwi na Chochote
@salimahussein1267
@salimahussein1267 2 күн бұрын
Aliyejifananisha na Mungu ni nani na Mungu yupi? Nauliza tu
@saidbakari2408
@saidbakari2408 20 сағат бұрын
Mungu wenu wa kwenye vitabu anafanan na mtu maana alisema mwenyewe na tuumbe mtu kwa mfano wetu 😂😂😂 sasa hapo hamuelewi na hako kajamaa kenu kamesema kenyewe
@ProfessionalArtist-fq8wq
@ProfessionalArtist-fq8wq 2 күн бұрын
Mbona husemi na nyie mnaojiita MANABII ni waongo pumbavu zenu wote MOTONI