Пікірлер
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz Сағат бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻 MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 16 сағат бұрын
Bado nazisikia sauti changa za GURUMO na John Simon. SIJUI kama ktk guitar ni Abel Baltazar
@rashidmaulid7312
@rashidmaulid7312 18 сағат бұрын
Namsikia Gurumo na John Simon na Mnenge wakiwa wa moto sana
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 күн бұрын
Wimbo huu nakumbuka nbali sana mama alikuwa anabeba redio mgongoni tunakwenda safari❤❤❤🎉🎉🎉
@Sufianihozza
@Sufianihozza 2 күн бұрын
Mumenikumbusha mbali sana
@Sufianihozza
@Sufianihozza 2 күн бұрын
Shukrani ziwafikie waliokuwa waimbaji Asante I saaaana
@jonijomk3107
@jonijomk3107 3 күн бұрын
nyie me sio mmakonde lkn huu wimbo nina istoria nao, nakumbuka nilikua nakula mabanzi na mzee wangu kila siku akirudi ananikuta nammalizia baterry zake kwenye radio kwakusikiliza tape ya huu wimbo nilikua naurudia hata masaa mawili nausikiliza huku nalia😢 hata ninacholilia sikijuwi, niliaza kuipenda melody baadae nikaskia mzee mmoja wakimakonde anamtamfsilia mzee mwenzake maana ya huu wimbo aisee yule ndo aliniliza bora hata nisingekuwepo skuile😢😢😭😭 nilirud nyumbani kwahasira niliwasha radio nikasema sizimi mpaka baterry ziishe nikafumwa tena hata dk10 hazijafika, hiyo siku sasa ndo inanifanya hata leo ninapouskiliza huu wimbo nitokwe tena na👉😥 maana kile kichapo hakikua cha kawaida, baadae mzee akaniuliza kwa ukarimu unaupendea nini huu wimbo? nikamwambia melody na ujumbe, akaniuliza ujumbe we umekijulia wapo kimakonde nikaanza kumtafsilia moja baada ya jingine kulingana na nilivyokalili kutoka kwa yule mzee nandolo alivyokua akimtafsilia mzee mwenzake, siku iyo dingi alinambia kuanzia leo nisipokuwepo ruksa kufungulia radio hata kutwa nzimaa na jioni akatoa maagizo kwa bimkubwa nisiguswe juu ya hili kwamaana aliamini nina kitu ndani yangu😂😂😂😂😂, R.I.P DADY leo nimekukumbuka kupitia huu wimbo ulokufanya skuile uzidi kunipenda😢😢😢😢 na wenzangu wakahisi kua napendelewa bila kujua kua yalianza mateso ya kipigo cha mara kwa mara moaka pale nilipoeleweka.🙏🙏🙏
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz Сағат бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻 MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM
@Michael-ql3ni
@Michael-ql3ni 3 күн бұрын
Frt Godrey Masokola My classmate ulitulia sana kwenye utunzi wa nyimbo hii ya koroho
@PhilidoPhilibertmutalemwa-l4w
@PhilidoPhilibertmutalemwa-l4w 3 күн бұрын
Tuwajibike
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 3 күн бұрын
Nitumie mm bwana
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 3 күн бұрын
Nitumie mm bwana
@MwitaChacha-n5e
@MwitaChacha-n5e 3 күн бұрын
2:18 nitumie mm bwana
@simbasaleh7940
@simbasaleh7940 3 күн бұрын
Za kale ni zahabu
@shamtesultan3209
@shamtesultan3209 3 күн бұрын
Mola awarehemu wazazi wetu waliotangulia mbele za haki na walio hai Mola awape mwisho mwema, amini rabbil laa alamin.
@user-cw2nj4io3v
@user-cw2nj4io3v 4 күн бұрын
Ni miziki yenye mafunzo kweli kweli tofauti na miziki ya Leo!
@lucyjohn7904
@lucyjohn7904 4 күн бұрын
Mungu akupumzishe katika raha yake babangu John Fidelis Anania
@lucyjohn7904
@lucyjohn7904 4 күн бұрын
namkumbuka babangu, Mungu wangu nifariji 😭😭😭😭😭
@AnjelaHermes
@AnjelaHermes 5 күн бұрын
Nàmkumbuka baba yangu mzee agustino hermess amashatangulia mbele za haki mungu naomba nipe faraja kutoka kwako machozi yangu hayakauki kamwe nitakukumbuka daima baba yangu kipenzi
@CalistusTitus-s5o
@CalistusTitus-s5o 5 күн бұрын
Daa nakumbuka mbali sana leo nasikiliza 6/9/2024 wimbo ulitufanya tanzania ya zamani umoja na undugu, mshikamano. Leo upendo umeondoka.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz Сағат бұрын
MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU MPWAPWA-DODOMA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka. Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita. Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu. Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full. Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻 Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻 MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU kzbin.info/www/bejne/qGTKpJmhaN-VerM
@AnnahAloyce
@AnnahAloyce 5 күн бұрын
Love❤❤❤❤❤ much thing cos unanibariki Mungu awabariki wote walio uimbaaa
@Khamis-l4q
@Khamis-l4q 6 күн бұрын
Wao
@Samwelsimo
@Samwelsimo 9 күн бұрын
Wazazi ni.wamuhumu Sana kuliko chochote Duniani
@kennedyodaga
@kennedyodaga 11 күн бұрын
Mungu ailaze roho ya mamaangu mahali pema apumzike kwa amani
@saidihabibu7244
@saidihabibu7244 11 күн бұрын
❤❤❤hapo aliposema nawakumbuka wavianga wote nimemkumbuka marehemu baba yangu apumzike kwa amani huko alipo
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 13 күн бұрын
Enzi zilizovuma majini wa bahari hapo nipo darasa la pili ,ukijiandaa kwenda shule ,unasikia nyimbo za aina hii huko chumbani kwa mama, ndio ipo radio ya band 2 ❤❤ natamani siku zingerudi tukaendelea kusikia nyimbo hizi, nimekumbuka mbali sana,eti nami Leo mzee 😂😂 29.08.24.
@johnkendall8122
@johnkendall8122 9 күн бұрын
Watuwekee ule wimbo wa "Fatuma kwa manenomaneno dada wewe ni mtu hodari sana"
@johnkendall8122
@johnkendall8122 9 күн бұрын
Naule mwingine "Niambiye mpenzi kama umenichoka ili niondoe wasiwasi"
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 13 күн бұрын
Leo tar 29.08.24,bado naendelea kuusikiliza wimbo huu halima,yaani nimemis sana sauti hizi kwa enzi zile za furaha ,tulienjoy sana .natamani siku zirudi zile za miaka ya 70's.
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 14 күн бұрын
2024 STILL 💯🥰🥰
@blandinamollo699
@blandinamollo699 15 күн бұрын
Hii nyimbo imebarikiwa
@MustafaRajabuBigo-sb6gv
@MustafaRajabuBigo-sb6gv 15 күн бұрын
Newest
@zainabunaliaka-ki5kd
@zainabunaliaka-ki5kd 16 күн бұрын
Nashukuru Mungu kwa kuhifadhi wazazi wangu❤❤ pokea salamu zangu kwa furaha
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 17 күн бұрын
Kukayaaaa jamani mtwara.Daaaaaaaaah
@user-ie8om7kh5w
@user-ie8om7kh5w 18 күн бұрын
Nitume mimi bwana nije kwako nikutumikie miaka yangu yote catholic forever what a blessed song
@FrancisNjorogeDesigner
@FrancisNjorogeDesigner 20 күн бұрын
The best
@LeythHaroun
@LeythHaroun 20 күн бұрын
Mimi naitwa ALEX NASOMA ALPHA F3E SCIENCE napenda sana shule na rainbo
@LeythHaroun
@LeythHaroun 20 күн бұрын
Mimi naitwa ALEX NASOMA ALPHA F3 E SCIENCE
@LeythHaroun
@LeythHaroun 20 күн бұрын
Mimi naitwa ALEX NASOMA ALPHA F3E SCIENCE napenda sana shule na rainbow.
@speciozakaloli
@speciozakaloli 22 күн бұрын
Wapumzike Kwa amani
@speciozakaloli
@speciozakaloli 22 күн бұрын
Mmmmm kumbukumbu
@speciozakaloli
@speciozakaloli 22 күн бұрын
Basi tulikuwa tunasikia ujeuri
@speciozakaloli
@speciozakaloli 22 күн бұрын
Asante jamani barikiwa sana maneno ya busara
@ewaterservices402
@ewaterservices402 22 күн бұрын
Zephanih peter makorongo chemba nyimbo hizi ni hazina kubwa kwa vizazi vyote
@AristoteExcuse
@AristoteExcuse 22 күн бұрын
Merci bcp pour ces chansons édifiantes.
@wenceslausrichard7312
@wenceslausrichard7312 22 күн бұрын
Hakika mziki huu unanikumbusha mbali sana
@wenceslausrichard7312
@wenceslausrichard7312 22 күн бұрын
wimbo mzuri sana
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940
@mwanaharakatimukoyaaywahma1940 22 күн бұрын
Wimbo maridhawa kabisa.
@astonoluko6621
@astonoluko6621 23 күн бұрын
Huu wimbo naupenda sana kusikiliza nikiwakumbuka wazazi wangu,huwa unanijaza na huzuni mingi ninapowakumbuka
@kilemilyimo
@kilemilyimo 23 күн бұрын
Yakale Dhahabu. Nakumbuka miaka hiyo tulipata hivi vibao kutoka RTD.
@user-td1qt1ee3e
@user-td1qt1ee3e 23 күн бұрын
Nakumbuka nipo darasa pili
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 25 күн бұрын
Sorry TOGOLANGA
@gladyskaroki3056
@gladyskaroki3056 28 күн бұрын
This song reminds me of our first sister's wedding 1967 was really played was very young and weddings were weddings those days kinanda sahani