October 8, 2024
5:14
Ай бұрын
Пікірлер
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS 3 сағат бұрын
Allah akulipe kheri kwa kubainisha kundi hili potofu lililojificha kwa kivuli cha usalafi
@ABDULRAHMANIDAS
@ABDULRAHMANIDAS 3 сағат бұрын
Hoja mpaka waseme mashekh wenu hata kama wapo kwenye makosa kweli nyinyi ni mahizbi
@TalibMuhsin
@TalibMuhsin 20 сағат бұрын
𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐣𝐚𝐦𝐚𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐤𝐨𝐬𝐞𝐚 𝐬𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐧 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐭𝐰𝐚𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐧𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐭𝐰𝐚𝐰𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐳𝐨 𝐦𝐰𝐢𝐬𝐡𝐨 ,𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐰𝐚𝐳𝐢𝐧𝐢𝐟𝐮 𝐰𝐢𝐳𝐢 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧 𝐮𝐤𝐢𝐰𝐚𝐨𝐧 𝐩𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐣𝐞 𝐡𝐮𝐣𝐢𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐦𝐞𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚 ,𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐰𝐚𝐜𝐡𝐚𝐰𝐢 ,𝐭𝐞𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐚 𝐦𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐭𝐮𝐦𝐞 𝐡𝐚𝐣𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐰𝐚𝐭𝐞𝐧𝐠𝐞𝐳 𝐤𝐮𝐧𝐝𝐢 𝐰𝐚𝐣𝐢𝐢𝐭𝐞 𝐬𝐚𝐥𝐚𝐟𝐢 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦 𝐤𝐢𝐩𝐨 𝐤𝐢𝐩𝐞𝐧𝐠𝐞𝐥𝐞 𝐢𝐜𝐡𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐭𝐮𝐤𝐢𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐧𝐚𝐬𝐢𝐬
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 23 сағат бұрын
Jamani Eee kamata huyu muongeaji funga kamba. Hana hatarisha jamii. Anaongea pumba kuhusu sheikh wake wa mchongo Dukturi Islam. Atujui uducturi huo ameupata wapi.
@OthmanMbuguni
@OthmanMbuguni Күн бұрын
😥😥😥
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 Күн бұрын
Umejuaje Kua anafanya riya wakat zambi hayo ni yy na Allah
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 Күн бұрын
Channel ya kiizib hii husuda imeanza na itawamaliza maana imeanza kuwala Mmoja Mmoja msongo wa mawazo unawamaliza
@ALLYMOHAMMED-ge2cs
@ALLYMOHAMMED-ge2cs Күн бұрын
Haya yanajenga nini?
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب Күн бұрын
Ukweli usemwe usemwe tena hakuna kumpaka mtu mafuta
@SuolFat
@SuolFat Күн бұрын
Wazee wa utatu mtakatifu
@NMJAsaid
@NMJAsaid Күн бұрын
Huu ushabiki tu, Allah atayabainisha.
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 2 күн бұрын
🙏
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 2 күн бұрын
Hakuna dini hapa ni majisifu tu na kukashifiana! Mlianza kutukana masheikh wasiokuwa salafi sasa Allah anawapiga laana mtatukanana mpaka mtiwe makaburini!
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 2 күн бұрын
Mumeishiwa hoja za kielimu Sasa mumeanza majungu nawaambia msongo wa mawazo utawamaliza muishe
@AbrahamanSaidi-uf1dw
@AbrahamanSaidi-uf1dw 2 күн бұрын
Upuuzi myupu
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 күн бұрын
،mukiongea nyinyi ni sawa wakiongea waengine upuuzi sijji nan aliowapa ufungua wa haki hawa????
@YasserShaaban-xz3ck
@YasserShaaban-xz3ck 2 күн бұрын
Namuomba Allah ajaalie hii chanel ifungwe harak
@YasserShaaban-xz3ck
@YasserShaaban-xz3ck 2 күн бұрын
Hiii ni chanel ya fitnaaa mnoo
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 2 күн бұрын
Tunasema hizi ni zilipendwa tafuta haki maana mumepinda kila siku munalialia munatafuya huruma ya watu rudini kwenye haki ndilo salama yenu bila hivyo munapotea mdogo mpaka shimoni muangukie huko
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 күн бұрын
Salim hakanyaki farouk Wala hasubutu hatii mkuu wake pale Chawa wa kasim.mafuta
@SuolFat
@SuolFat 2 күн бұрын
Mawahabi sasa wamegeuka mapapa
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 күн бұрын
Ww nenda kwenye comment za yusuphu diwani huku hakukufai mtu wa bidaa
@2km.a579
@2km.a579 2 күн бұрын
Mwenye hii chanel Allah akuongoze. Hamna haja ya kuanzisha moto tena kama waliozungumza mambo haya miaka 2yrs na iliyopita. Watu wako katika kutafuta suluhisho wewe unawasha moto. Isije ikawa sababu ya kukuangamiza nduguwe muislamu.
@SuolFat
@SuolFat 2 күн бұрын
Acha ukweli uchukue nafasi yake
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 күн бұрын
Huuu ndo ukweli
@2km.a579
@2km.a579 2 күн бұрын
Wallahy huu ni umbea mtupu anatoa. Haya ni mambo hayana faida na Daawah kabisa. Ila yakihitajika hapo. Lakini kila wakati naskia ni huyu kafanya yule kafanya...... maadamu halihusiani na daawah achana nalo. Kafundisheni watu daaawah.
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 күн бұрын
Wacha na wao wabainishwe hawa wamaefanya mengi sanna
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 2 күн бұрын
Watu wa Utatu mtakatifu Wana falijiana
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 күн бұрын
We jamaa Allah akuongoze ujue hakki maana umepotea hujui kama umepotea, Sasa Hilo litawadhuru Nini masalafi, ukiwasemea utatu hali ya kuwa hawana Hilo sana sana unajitia raana mwenyewe na mbele ya Allah utakwenda kueleza hizo kejeli zako, ww unadhani utaixhi milele duniani tupo kwenye mtihani kila Jambo linaandikwa Sasa ninyi mnakanusha hakki kwa kudanganywa na mashekh zenu hawoo mtakwenda kuulizwa na mtakataana hizo kejeli zenu, ww unadhani dawa ya ahlsunnah salafi mtaizuru Nini kwa maneno yenu watu wa batwili toka muanze kutuita wahabi wahabi aijatudhuru kitu watu wanaelewa daawa na wanaifata sunnah ninyi bakini na udhalimu wenu wa kushindana na kweli na kugeuza tafsili kwa matakwa yenu kuwazulia waislamu utatu utakufa peke yako huto kuwa na hawoo wanaokufanya kuwakejeli waislamu kuikejeli hakki
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 7 сағат бұрын
​@@AbdulIssa-o7eHII NDIYO HALI YAO HAWA JAMAA ZETU.... ALLAH AWAONGOZE YAANI CJAPATA KUONA WATU WA AJABU KAMA WAO, UNAELEKEZWA KATIKA LILE LILILOTEKELEZWA NA KUFUNZWA NA MTUME WAKO UNAFANYA UADUI??? WALLAH NINYI NI WATU WAKIAJABU SAANA.
@KhamisiabdallahKhamisi
@KhamisiabdallahKhamisi 2 күн бұрын
Kumbe huyu ndiye anaye mfundisha SHAFI ujinga
@AbuuRayyan-j8x
@AbuuRayyan-j8x 2 күн бұрын
Uyo Qassim Mafuta Hawa wengine hajawahi ata kawataja ktk mdomo wake Sasa wanaham awataje tu japo kwa ubaya hahahaha mtazaa mawe mwaka huu.
@ausatmwangi6464
@ausatmwangi6464 2 күн бұрын
Mahizbi na masalafi ni dini gani tuingie pia😂😂
@SaidSeif-d4y
@SaidSeif-d4y 2 күн бұрын
Alfitnatu'ashadduminlqaaatil😮😮😮 ,, wajinga wakubwa . Mnachojuwa ni fitna walfar'qa,, bila shaka ndo masalafi walivyokuwa
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 7 сағат бұрын
ACHA UJINGA JAMAA, KWANI MNAKUAGA NA USHETANI WA AINA GANI MPAKA HUWA MNAKUWA KAMA VICHAA HIVI NA NINYI MWAJINASIBISHA NA UISLAMU??? MBONA HIVYO AN???, HUU NI UJINGA ULIOPINDUKIA BALI NI USHETANI KABISA😢... HIVI WEWE KULINGANIWA KUFUATA NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA NDIYO UWAFANYIE WATU UADUI NA CHUKI KAMA UZIONYESHAZO HAPO??? NA NANI ALIYESEMA KUWA WATU WAKIWA WANAFATA NJIA YA SAWA HAWAWEZI INGILIWA NA FITNA??? WAMEFITINIKA MASWAHABA SEUZE IWE SISI TULIO KATIKA HIZI ZAMA ZA WAOVU??? ACHENI UJINGA WAKIPUMBAVU.
@ramaqaasim239
@ramaqaasim239 2 күн бұрын
Hii clip ni ya mwaka gani???
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 күн бұрын
@@ramaqaasim239 huyu lazima tumuulize mana yeye mambo yaliyopita huko ndio anayaleta sikuhizi,,,, Namuomba atume vitu vya sasa na sio vilivyopita,,,, ili tupate kufaidika zaidi inshaallah
@SuolFat
@SuolFat 2 күн бұрын
Imetoka Jana hio
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 күн бұрын
@@SuolFat asante
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 күн бұрын
​@@KhalfanMassoud Imetoka jana sawa ila hiyo audio sio ya jana😂
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 күн бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x wanazingua kidogo jamaa hawa,,,, Ila sawa,,, mm wakiendelea na tabia ya kuleta mambo ya nyuma kama hivi itakua sina mda nao tena,,, kama anazipata darsa na mawaidha ya sikuhizi nj vyema ayalete hayo,,, ila akifanya hivi sisi tutasema 1. Anataka viewers 2. Mfitinishaji. Allah atujaalie dhana njema kwake na amjalie atusikilize tunapo mpatia mawazo,,,
@SaleheKhamis
@SaleheKhamis 2 күн бұрын
Munakula sum za wanawazuoni sasa sumu zinaenea kwenye miili yenu
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 7 сағат бұрын
YAA'N MTUME ATIWE DOSARI KISHA AJE MTU AJIFANYE YEYE NI A'LIM SAANA KUMSEMA KWA UBAYA KISHA NAWE UNASIMAMA NAYE KUTHIBITISHA SIO??? NAWE WAJIONA UKO SAWA TU??? JINGA MURRAKKABU!!! MMEKALIA UPUMBAVU TU NA USHETANI YAANI HATA KAMA NI KWELI KUWA MTUME ALIKOSEA NAWE WAONA MTU ANAMTWAA'NI HIVI NI KWELI UTASIMAMA NAYE IKIWA WEWE KWELI WAMPENDA MTUME??? UJINGA 🚮🚮🚮
@abouswaleh7375
@abouswaleh7375 7 сағат бұрын
ATI SUMU WEWE WAIJUA SUMU WEWE,,,, 🚮🚮🚮
@SaleheKhamis
@SaleheKhamis 2 күн бұрын
Munakula sum za wanawazuoni sasa sumu zinaenea kwenye miili yenu
@manhutamankuta7366
@manhutamankuta7366 2 күн бұрын
Allama Qaasim ibn maftaa ibn Qaasim Alqurashiy alipata tazkiya kwa sheikh ibn baaz, utheymiin,Albani na muqbil sasa Sidhani kama unamuweza kielimu kuna kitabu alikiandika Sheikh qaasim maftaa ndio kinafundishwa university of madina mnalijua hilo
@SadamSaid-x1q
@SadamSaid-x1q 2 күн бұрын
Maashaa Allaah. Kitabu gani kaka ?
@alminzilmohd9662
@alminzilmohd9662 2 күн бұрын
kitabu kipi mwalimu
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 күн бұрын
Kipi ety?
@Ibnsalim3
@Ibnsalim3 2 күн бұрын
Alamaah tenaa dah!! Kwa kweli nyy mumechupa mipaka
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 күн бұрын
​@@Ibnsalim3 Hahahaha! Usiseme "ninyi" Mtuhumu huyohuyo aliyesema hayo maneno, sio sisi sote!
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty 2 күн бұрын
Nami Naona kusemana hovyo huku mmekalia UZANZIBAR NA UBARA ambao sio ujinga Bali upumbavu mkubwa. Zungumzeni mtu kwa makosa yake ya kidini kakosea wapi na anatakiwa ajirekebishe wapi sio personal attack kila kukicha. Hata mrushaji wa Chanel hii inaonekana anapenda sana umbea.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 күн бұрын
Akhy hizi fitna naona zinafika mbali sana maana saivi masufi wanafurahia wachawi wakina Diwani nao ety wanaposti kwenye page zao za uganga.
@adamaliali2206
@adamaliali2206 2 күн бұрын
Kubali asili yako maalim
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 күн бұрын
Huyu mwenye hii channel majuzi alipost clip kuonesha namna ya kupiga pesa kupitia utube! Naona sasa hivi yeye anaweka post za kuwavutia viewers! Allah atamlipa kutokana na nia yake! Mimi siijui nia yake... ILA ANAKURUPUKA SANA....!!!
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 2 күн бұрын
@@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Anashangaza kidogo huyu,,,, na mm anachonikera zaidi mambo ya nyuma ndio ana upload sikuhizi,,, hii itakua ni fitnah na so hakki,,, namuomba katika masuala hayo ajirekebishe kidogo,,,
@AllyHamran
@AllyHamran 2 күн бұрын
Allah akuhifadhi.
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 2 күн бұрын
MTAHANGAIKA SANA...
@Ally-h9c
@Ally-h9c 3 күн бұрын
Africa mashariki ina mifunguo miwili mmoja ni zanzibar Allah kwa rehma zake hakuichagua zanzibar kuipa neema ya uislamu ili iweze kuifungua Africa mashariki nzima kutokana na kuondoka kwa uisilamu mazima katika hicho kisiwa hakuna tena uisilamu ufunguo huo Allah akawapelekea masimba wa jirani na kwa uwezo. Wake mola wataifungua Afrika mashariki nzima na wazanzibar wataipata neema hiyo kwa mshangao na watamuabudu mola kwa lazima na wataacha ushirikina walio nao kwa lazima In shaaAllah
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 2 күн бұрын
@@Ally-h9c Masimba ndio Wa jirani ndio wepi hao ,?
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 2 күн бұрын
Muongo Mkubwa wewe😂​@@AbAlhuraas
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 2 күн бұрын
@@ibrahimjumaa538 Uongo wangu upi hemu niambie ,Mana Mimi nimemuliz hyo Aliyecoment hapo kuwa Hao Masimba Majirani Ndio wepi ,lkn wee Chaa Ajabu Unaniambia Mim kuwa Muongo?
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x 3 күн бұрын
@AbAlhuraas Ntakayebaini kuwa ana hizo sifa kwa ushahidi basi mimi siwezi kuwa naye... Nawewe unayewatuhumu kwa makosa hayo ya Demokrasia, Dhulma sijui nini hakikisha unaposimama mbele ya mola wako unaweza kujitetea! Lakini Em tuchukulie ni kwel ni watu wa Dhulma.. Je, Ni wote wadhulumaji? Mtu hutolewa katika Sunnah kwa maasia ya kudhulumu kiwanja?... Kama mtu anatolewa katika Sunnah kwa maasia basi hakuna aliyesalimika! All in all hizo tuhuma hakikisha una ushahidi wa kujitetea kwa mola wako... Mimi toka ngundue kuwa hawa mashekh wanazuliana mambo mengi, sichukui chochote mpaka nipate ushahidi mwenyewe... Majuzi tu mmetoka kusema kuwa Mashekh wa masjid omary WAMEWATUMA wanafunzi wakapige kura... Em zingatia neno "WAMEWATUMA"... Mnashindwa kujiongeza kuwa wanafunz wenyew wanaweza kwenda kupiga kura bila ruhusa ya mashekh either kwa ujaahil au tamaa zao binafsi... Lakini haikutosha mkaamua muwahusishe mashekh! Akhy hii safu ya masalafy ina Fitnah kubwa sana baina yao maduaati... Kwo hakikisha kila unachosema kuhusu Sheikh fulani uwe una uhakika 100% ili hata ukisimamishwa na Allah uweze kujitetea! Na sio kusema kuwa NILIMSIKIA ABUU NUAYM akisema... Yakheee Abuu Nuaym Sio Maasuwm! Kaburini utakuwa peke yako! Alhamdulillah mimi Kabla hata ya kuanza kuwatuhumu Maanswar Sunnah Uhizbiyyah, nilipata nafasi ya kuwasiliana na Barahiyani mwenyewe ili njihakikishie juu ya yale yanayosemwa ili nkisimamishwa niweze kujitetea mbele ya Allah!
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 3 күн бұрын
Msimu wa kura ushafika Tutakutana kwenye folen tu mukijificha ficha
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 2 күн бұрын
@@allymbarouk5362 watafuta elimu kwa shetani mumekaa kishetanishetani
@SuolFat
@SuolFat 3 күн бұрын
Muislamu tahdhari na kundi ovu la kiwahabi kundi hili linalingania watu ktk uovu wa hali ya juu kuliko ibilisi
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 күн бұрын
Mm ktk mashekh nawaelewa ni İbn Bachu
@abuumuhammad8714
@abuumuhammad8714 3 күн бұрын
Huyu ni nani?
@nurdinayoub2894
@nurdinayoub2894 3 күн бұрын
Mijitu ya batwili inatabu sana rudi ukasome ewe jaahili usiejielewa
@bashiromary4897
@bashiromary4897 3 күн бұрын
Tahadhari tumeshapewa tuwe na mazingatio
@bashiromary4897
@bashiromary4897 3 күн бұрын
Tusiwasikize mahizbi
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 3 күн бұрын
Kwa issue hii mloweka mada siamini kuwa Sheikh Qassim anaweza kufanya
@Abuu-lr5bz
@Abuu-lr5bz 2 күн бұрын
Na wala kutoamini kwasababu huenda unaitakidi mafuta ni maasumu hawezi kughafilika na kukosea
@MohdIkra-d7s
@MohdIkra-d7s Күн бұрын
Ni mtumi ama mvip
@BilaliIloko
@BilaliIloko 3 күн бұрын
We Shekh nadhani unaongea kishabiki hujaskiliza vizur rududi
@Abdulhamid-w8n
@Abdulhamid-w8n 3 күн бұрын
Wewe siku ile uliuliza suali Masjid Irshaad kwa sheikh Kassim Mafuta na akajibu na akakuambia yeye yupo tayari afanye mubaahalah mbona hukufanya.? لقد ضرك من غرك
@AbulqassimAshirazy-yd7th
@AbulqassimAshirazy-yd7th 3 күн бұрын
Sh wao bin hadi kuhusu kumwita yule kijana Aa'hir bila ya kutoa ushahidi wa uzinifu mbona nyinyi mwamkumbatia. Punguza chuki kijana wafedheheka!. Ni kawaida yoa hawa maswahib wa istridab kulingania kwenye furka tushawazoea.
@nurdinayoub2894
@nurdinayoub2894 3 күн бұрын
جهالة
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 күн бұрын
CHANNEL YA MAHZIB HII , UKIONA JITU LINAMSEMA VIBAYA SHEIKH QASIMU UJUE HILO HIZBIYAH
@YunusMakame-l6n
@YunusMakame-l6n 3 күн бұрын
We Mpuuzi kweli kassim mafuta ni nani mpk asisemwe
@YusufMabuka
@YusufMabuka 3 күн бұрын
Sawa ni mahizibii hao
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 күн бұрын
Dawaa Salafiyya Haina taasubi ,hyo yako wee Ni Taasubi ,Mafuta ni Ullamaa au ,Au ni Mujtahidi , Usalaf upo mbaali na Mafuta ,
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 күн бұрын
Mahizbi ni Wale Sisiemu ,Waliopiga Kura ,Na alianza Abuu Rajab ,Akafuat Muhamad Mafuta ,Tena Ubizbiyya Wa Kufuru ,Uhizbi Wa Democrasia ,Asaiv Mumekuwa Wizi wa Viwnaja Allah atuepushe na Ugonjwa Wa Demeocrasia
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 күн бұрын
Asisemwe yy n Malaika! Shekh ach HAWAA BÜNAGAŞ hii n DİNİ yyte akİKOSEA ktk Dini ANANYOOSHWA
@Daifar100
@Daifar100 3 күн бұрын
Wewe unakataza uhizbi na hapo hapo unaleta uhizbiyya wa pemba na bara Angalia unavyoadhirika maneno ya wavuta bangi ndio unayasema wewe unaejidai mrithi wa abuu muawiyyah Allah akuongoze
@AbAlhuraas
@AbAlhuraas 3 күн бұрын
Kutja pemba. Ni Uhizbiyyaah au hujafahm ni kitu gani Amekusudia ?
@Daifar100
@Daifar100 3 күн бұрын
Eti huyu ndio mrithi wa abuu muawiyyah!!!! Ndugu zetu mmeishiwa mno... Mmekosa mashekhe au???....