Ziara ya Mazingira Kaskazin A
46:35
Пікірлер
@LutenTz
@LutenTz 3 күн бұрын
Yaani we jamaa nakukubali sn kichwa chako kimetulia mungu akupe wepesi kwenye mambo yko
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 4 күн бұрын
Mpk ikulu
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 4 күн бұрын
Tunaipendq act
@abdallahibrahim280
@abdallahibrahim280 9 күн бұрын
Nakikubali sana hiki chama, kina viongozi wastaarabu sio kama chadema ❤❤
@SabahHassan-z7d
@SabahHassan-z7d 13 күн бұрын
Hawi Rais maisha
@aminimushi6945
@aminimushi6945 11 күн бұрын
Nani atakuwa Raid kama siyo yeye?hujui Mungu ndiye mpangaji. Was yote?
@hidayamassa203
@hidayamassa203 13 күн бұрын
Hongera rais wetu wa znz ujae
@harithmohd6318
@harithmohd6318 19 күн бұрын
Mashaallah OMO uyo rais wa chama cha wanasheria anae maliza mda wake kijogoo anafaa kuwa rais sasa inshaallah
@HassanMchoro
@HassanMchoro 19 күн бұрын
Masha allah ❤❤❤❤
@harithmohd6318
@harithmohd6318 24 күн бұрын
Big up rais 2025 inshaallah
@untouchableenglishcentre1402
@untouchableenglishcentre1402 24 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@seifmohd5357
@seifmohd5357 Ай бұрын
Well done
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Nice ❤
@kidubakar-eg8zn
@kidubakar-eg8zn Ай бұрын
👏👏👏👏❤
@TahirAli-i9o
@TahirAli-i9o Ай бұрын
Tiriritirii act tiririrrrr
@DulaRashid-r5z
@DulaRashid-r5z Ай бұрын
Pamoja sana tunawapata vizur kutoka dodoma by mpemba wa konde
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Watoeni Wazanzibar usingizini naona wengine wamelala uzingizi mzito .
@MohdRash.
@MohdRash. Ай бұрын
Saf omo
@JumabakarJuma
@JumabakarJuma Ай бұрын
Tukopamoja Kwa omo
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y Ай бұрын
Sisi wanachama kutoka donge tunaangalia live mkutano tuko pamoja na omo
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Hii nyimbo ya mwanzo ninnaipenda sana vijana gani hawa walioimba
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
May Allah akuhifadhi Mh OMO akupe nguvu uweze kutuvusha tuipate zanzibar yetu Allahumma ameen Allahumma ameen
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u Ай бұрын
Pemba hakuna kulala CCM msijidanganye
@EmmanuelMpali
@EmmanuelMpali Ай бұрын
Ama kweli pemba mm nawakubali ninyi ni mashujaa wa demokrasia
@SabihaMbarouk
@SabihaMbarouk Ай бұрын
act wazalendo naipenda hakun kukata tamaa ❤❤❤❤
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Hivi visiwa vingepata watu wenye maono katika kuongoza tungekuwa mbali kimaendeleo lakini vimekosa watu wa aina hiyo.
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys Ай бұрын
Mm kusema ukweli tangiya kuzaliwa kwangu hadi leyo naona ipo ccm ktk madaraka feki lkn sioni maendeleyo yoyote isipokuwa njaa tupu lkn pia maneno yawo hayaja nishawishi ila hii ect yavutiya sana mashallah
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 Ай бұрын
ujingaujinga sasabasi umoja ni. nguvu. kwa kweli. naungana na act. 100% kwakweli machozi hunimiminika. kwa kuwa siku zote tunashinfa ila. washenzi hawa wanalolijuwa ni kutunyanyasa
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 Ай бұрын
ujingaujinga sasabasi umoja ni. nguvu. kwa kweli. naungana na act. 100%
@mozakhamis7253
@mozakhamis7253 Ай бұрын
mmm mpandani mwezangu. pole kwa kazi mzito. nakukubuka baba yakomaalim omar masudi akitupinga bakora tikingombaniya chips za bimoza za shelisheli pole sana mungu atakusimamiya.
@feiz3180
@feiz3180 Ай бұрын
Hiyo bandari ni njama ya kumpa Bopar(mfadhili wao) njia ya ulaji.
@MkashaShaame
@MkashaShaame Ай бұрын
Acha tuone
@MkashaShaame
@MkashaShaame Ай бұрын
Hayo usemayo ndio maneno ya mtu anae tarajia kuomba urais,hmhmhm yaguju
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Wewe unataka aseme atakwenda kufanya wizi na dhulma kwa anaowaongoza au unataka aseme nini?.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Ай бұрын
Huyu jamaa anaongea maneno mazito sana ukiyatia akilini au na wewe shamte ni mwizi nini katika hao wezi anaowazungumzia OMO.
@MkashaShaame
@MkashaShaame Ай бұрын
Juzi mulitwambia neema ya Burney Leo kisiwa Cha ma 2:52:31 brid ,muongo na mjinga mkubwa wee
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Ай бұрын
Bandari ya maana ,moja WETE na moja MKOANI zitachangia sana maendeleo ya Pemba,laa ikiwa haiwezekani,basi ijengwe moja ya kiwango huko WESHA.
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Tume kuelewa muheshmiwa asie fahamu labda kiziwi 😊
@salyali7807
@salyali7807 Ай бұрын
Mh OMO this was very powerful speech ❤
@Aisha-lj8bu
@Aisha-lj8bu Ай бұрын
Mambo motooo
@SuleimanMuhamed-it8bj
@SuleimanMuhamed-it8bj Ай бұрын
Mashallah ,Allah Akupe maisha marefu ndugu othman rais mteule wa wazanzibar
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman Ай бұрын
Omo hupendezi kukaa na kufanya kazi na miccm mijizi midhwalimu
@MuhammedSayd-r6p
@MuhammedSayd-r6p Ай бұрын
Allah atuongoze uje uwe raisi wetu inshaallah
@MuhammedSayd-r6p
@MuhammedSayd-r6p Ай бұрын
Allah atuongoze uje uwe raisi wetu inshaallah
@MuhammedSayd-r6p
@MuhammedSayd-r6p Ай бұрын
Allah akuongoze uje uwe raisi wetu inshallah
@khamisjuma2947
@khamisjuma2947 Ай бұрын
Wameshaanza
@allyabdallah1776
@allyabdallah1776 2 ай бұрын
SAFI SANA ACT WAZALENDO
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 2 ай бұрын
Kweli omo
@ShauriAli-o5y
@ShauriAli-o5y 2 ай бұрын
Omo jamani tutetee zanzibar imekwisha tunakutegemea ww tu ndio wakuiokoa
@HassanMchoro
@HassanMchoro 2 ай бұрын
Masha allah jaman hichi Chama nakipenda sanaaa sherehee zao so za kihun wala matus mungu akibariki
@kassimdiscover7730
@kassimdiscover7730 2 ай бұрын
Nimependa Sana Kwa ACT walichokifanya,hongereni sana,ningetaman angekuwepo Al Marhum Maalim Seif Sharif Allah amrehem Ila kwa maoenzi yake hatuna budi,ABabu Duni Ahsante Sana kwa maisha yako
@salyali7807
@salyali7807 2 ай бұрын
Camera man unatutoa raha ndani kuna nyimbo nyengine na wewe unaweka nyengine
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 ай бұрын
SHARIA YA SIKU MBILI ZANZIBAR SHARIA YA ZAPARTHEID Makaburu wa Chama Cha Dutch Reformed Church ya Afrika Kusini walianzisha Sharia ya Ubaguzi ukiitwa APARTHEID. ✝️ Watanzania walikatazwa kwenda Afrika ya Kusini. Lakini Hizbu Mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi) walianzisha Sharia Mbaya Zaidi kuliko APARTHEID. Kwa sababu zinalenga Ubaguzi wa Ukabila na Umajimbo baada ya Kifo cha Rais Abeid Karume aliyetaka Mamlaka Kamili ya Nchi ya Zanzibar. Juma Duni aliulani sana Ubaguzi huo na kuipa jina la ZAPARTHEID kwenye Kitabu chake kujibu Kitabu cha Mapuri kilichochomwa hadharani Zanzibar. Uchaguzi wa Siku Mbili kwa Zanzibar lakini Siku Moja kwa Tanganyika ni Ubaguzi wa ZAPARTHEID na ILANI ya Mkatoliki Nyerere kulazimisha Ukoloni Zanzibar. ✝️