Jinsi ya kupika Njegere.......S01E50
7:35
Jinsi ya Kufunga Shawarma.... S01E46
9:38
Thank You for 500 Subscribers!
0:05
5 жыл бұрын
Пікірлер
@RostaMkombola
@RostaMkombola Күн бұрын
Ahsantee sana dadaa leo nmepika tambi na nyamaa nmependa ni tam sana ahsantee kwa elim yakooo barikiwa sanaaa
@AgnessKatabi
@AgnessKatabi 3 күн бұрын
Nimepata njaa ghafra😅😅😅
@tegemeakyangenyenka6111
@tegemeakyangenyenka6111 5 күн бұрын
Jamani na hizo kucha si uchafu
@HappyChengula-y8c
@HappyChengula-y8c 7 күн бұрын
Hinger sana 0:58
@AnnaThobias-r5u
@AnnaThobias-r5u 10 күн бұрын
Asante unafundisha vinzuri
@OliOrchid
@OliOrchid 10 күн бұрын
Wow so amaizing
@AnjelaMwangombe
@AnjelaMwangombe 12 күн бұрын
Kama sio mdau wa naz jee
@ShamsaFahad-n8v
@ShamsaFahad-n8v 14 күн бұрын
Asanteee
@VivianJuma-o5x
@VivianJuma-o5x 14 күн бұрын
Pishi zuri hongera
@YustaMakau
@YustaMakau 15 күн бұрын
Naitwa yusta makau kutoka dodoma nimefurahi kujifunza pishi lako la dagaa uko vizuri tupo pamoja.
@jellysazaina8491
@jellysazaina8491 17 күн бұрын
Duh cyo kwa sotojo ilo kwwa wali lnanoga mashallah
@aisharichard9254
@aisharichard9254 19 күн бұрын
Samahni kutia mafuta ni lazima
@LatwifahRamadhan
@LatwifahRamadhan 23 күн бұрын
Wooow
@JuliethMkenda
@JuliethMkenda 26 күн бұрын
Kwani lazim kuweka nyanya ya kopo
@HappyBazil
@HappyBazil 28 күн бұрын
Jamn dada nimejaribu kupika nimeweza asante sana
@ShamsiMbago-n2q
@ShamsiMbago-n2q 29 күн бұрын
Kama unaviaz pia unaeka ,,,dada upo 🔥🔥🔥
@MARIAMJUMA-y1m
@MARIAMJUMA-y1m 29 күн бұрын
Hongera jamn yani pixhi lako tamu xana
@MatanoHamadi-m3m
@MatanoHamadi-m3m 29 күн бұрын
Nini hufanya chapati kuwa ngumu , ama kuwa na kama layers 😢
@Nasmasilivanus
@Nasmasilivanus Ай бұрын
Santeee
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Ай бұрын
@jackmlinda4556
@jackmlinda4556 Ай бұрын
Asante,ndo napika hapa kwa kuangalia youtube😂
@AnithaGalla-c9x
@AnithaGalla-c9x Ай бұрын
Dada ake asante nimepika leo chapati ni nzur balaa yaan asant❤
@SharifaHassan-i5p
@SharifaHassan-i5p Ай бұрын
Je kama una Nazi ya kusaga mwenyewe unawekatui tu au
@ReveniceLengaram-m2n
@ReveniceLengaram-m2n Ай бұрын
Kucha sio kwa kupika punguza ku kucha sio afya
@IsaacRwetaka
@IsaacRwetaka Ай бұрын
Who is here in 2024
@estheronyango7593
@estheronyango7593 11 күн бұрын
Mimi😹😹
@FloraSilas-e4h
@FloraSilas-e4h Ай бұрын
Tupo
@zayanamshana268
@zayanamshana268 Ай бұрын
Asante kwa mapishi ila kucha ndefu sipendi.
@HildahBeatus
@HildahBeatus Ай бұрын
Asnte kwa somo
@JaneJimmy-q9w
@JaneJimmy-q9w Ай бұрын
Yan nmependa sana unavyo elekeza ndg yang mpk nmejarib kupika na mm
@WakioMummy-q4e
@WakioMummy-q4e Ай бұрын
Nyanya chungu n nin dada
@THERESIAMBULI-fs4xp
@THERESIAMBULI-fs4xp Ай бұрын
Dada vip kuhusu nazi kukatika wakati umeifunikaa
@DianaLyimo-be7yp
@DianaLyimo-be7yp 2 ай бұрын
Pilipil hujaweka
@nasmachilima9328
@nasmachilima9328 2 ай бұрын
Hongera sana dada🥰
@FATUMASAIDI-b9v
@FATUMASAIDI-b9v 2 ай бұрын
Kupikia moja kw moj kwa nyama je
@Agatha-y8q
@Agatha-y8q 2 ай бұрын
Kisamvu hakifunikwi wakati wa kuchemsha maana kuna aina ya sumu inatakiwa itoke ambayo sio nzuri...
@Isacksaid
@Isacksaid 2 ай бұрын
Ehee
@AgnesMalima-f1q
@AgnesMalima-f1q 2 ай бұрын
❤Ahsante
@ShehuTawfiq
@ShehuTawfiq 2 ай бұрын
Hivi virungo hivyo naweza kuvipata Uganda, yaani natamani nimpikie mamangu kwenye birthday yake
@mgtanzania9834
@mgtanzania9834 3 ай бұрын
Dada jamn nakupenda bire
@BonfilsJacques
@BonfilsJacques 3 ай бұрын
😍😍✊
@HyasinthaMosha
@HyasinthaMosha 3 ай бұрын
Nimependa Huna mambo mengi
@AbrahamuFelix-d8z
@AbrahamuFelix-d8z 3 ай бұрын
Pish zuri sana dada
@BeatriceIsame
@BeatriceIsame 3 ай бұрын
Mbona ww huchemshi mafuta? au cio lazima
@SarahMeshack-ih9mu
@SarahMeshack-ih9mu 3 ай бұрын
Nimeelewa❤ ahsante dada weka na ka pilipili
@jacklinejuma-bo7zj
@jacklinejuma-bo7zj 3 ай бұрын
Mbona maini hayachemshwagi lol yanakua magum
@SamwelMisungwi
@SamwelMisungwi 3 ай бұрын
Nataka nije kula kwako tafadhali
@Bintimrembo-y1v
@Bintimrembo-y1v 3 ай бұрын
I like this method
@IamNyobanda
@IamNyobanda 3 ай бұрын
Watching i like coconut rice. It looks nice and delicious. Am new in your channel ❤❤
@JackssAmos
@JackssAmos 3 ай бұрын
Tafadhali hiyo kiungo umesemq inaitwa maji mbn sjawai iona
@JanethLyimo-y2h
@JanethLyimo-y2h 3 ай бұрын
Ukichangany na mayai je itakuw nzuri au