Namna ya kutoa pesa kwenye k-pad ya kikuu kwenda akaunti ya simu
@hightoptech3219 Жыл бұрын
hamna io option. chendacho kwa mganga.
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
unaweza kununua kitu changine lakini huwezi kurudisha pesa kwa matumizi ya nje ya mtandao@@hightoptech3219
@aishakhalfan2760 Жыл бұрын
Ukitaka kuchagua kitu icho icho ila rangi tofaut unafanyaje?
@hightoptech3219 Жыл бұрын
unachagua rangi moja halaf unachagua "add to cart" badala ya "Buy" halaf utarudi tena kuchagua nyengine na ukimaliza una Buy vyote kwa pamoja
@aishakhalfan2760 Жыл бұрын
@@hightoptech3219 asante sana
@hamisaabdul8348 Жыл бұрын
Ulipokea baada ya muda gani?
@hightoptech3219 Жыл бұрын
wiki tatu.
@sophiamaziku26262 жыл бұрын
Good
@mosesjangala4602 жыл бұрын
Naweza pata namba yako
@hightoptech3219 Жыл бұрын
0778888378
@RafikimediaTZ2 жыл бұрын
Pamoja sana. Umepata like na Subscriber yangu.
@benardben92362 жыл бұрын
Nisaidie tafathali kwasababu hiezi fanya kazi bila hio password ama hio scanner
@ZanzibarOrchestra2 жыл бұрын
weka 1-9
@benardben92362 жыл бұрын
Yangu nimesahao password na qr naeza saidikaje
@ZanzibarOrchestra2 жыл бұрын
reset ingiza pini kwenye kitundu iliyoandikwa "reset" itakuwa km mpya.
@donatisimeo25392 жыл бұрын
Iko vizuri
@bahatiluck86402 жыл бұрын
Asante, ila nawezajekujua kuwa ni i7 ina core mbili na processor's 4 au zaidi
@mkumbwajulius13312 жыл бұрын
Hakuna sauti
@naimuothman34932 жыл бұрын
Vip naweza kujua ni ipi apple oriji ya aliexpress
@Danisharain78692 жыл бұрын
How do I check the tracking when it's already in Tanzania but did not yet receive it
@zainabramadhani872 жыл бұрын
Me nikitak kuagiza kun sehm inaandik card number sas sijajua niandike namba gn
@yohanabwanahana10253 жыл бұрын
Je nikinunua wanaleta mpaka nilipo au hawaleti
@rachelgamaya69653 жыл бұрын
Naomba kujua apo kwenye anuani ya mtaan unaandika nn maan ndo pamenishinda
@isayamsalika30843 жыл бұрын
Kiongozi mi naomba kujua Kama unataka kuchukua mzigo wa jumla inakuaje maana Kuna jeans kwetu Zina 25 ila wao wanauza Hadi 50 elf hapo napo vipi maana mi mwenyewe mtumiaji wa mnada huu ila Hilo linanichanganya kwani nataka za biashara sio za kuvaa mimi hebu nisaidie Kwa hilo
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
tafuta store nyengine yenye bei rahisi zaidi lakini bei zao hazina mapatano kwa sababu ni system ndio inakuhudumia. labda wawe wameset bei tofauti nkwa mujibu wa idadi .
@NicksonJohn-w7f4 ай бұрын
@@ZanzibarOrchestra hi
@ALLINONE-us6tj3 жыл бұрын
Umefanya jambo zuli sana kwenye hii video
@laylatmapishi23143 жыл бұрын
Kaka naomba namba yako mimi sija elewa vizuri
@nckmwack3 жыл бұрын
Wanachelewesha baadhi ya bidhaa hadi mwezi mzima
@rajabumbendenga54803 жыл бұрын
Pesa yangu wamenirejeshea ila nashangaa KPay haitaki kununua kingine nawapigia wahusika wanazingua tu
@hightoptech3219 Жыл бұрын
unaweza kununua tena kwa K-pay inakubidi wakati wa malipo uchague K-pay badala ya kuchagua namba yako kama ulivyofanya mwanzo.
@rajabumbendenga54803 жыл бұрын
Namba yako tafadhari chief
@joskimmaro15563 жыл бұрын
Tupe somo kamili la processor mkuu
@joskimmaro15563 жыл бұрын
Safi sana bro ni somo nililokuwa nalitafuta sana
@asneyalfa3303 жыл бұрын
good better and best
@mand60293 жыл бұрын
nashukuru kaka kwa hii video clip
@itiskajjimk62593 жыл бұрын
Ukinunua kitu kikawa kibovu unarudisha nawana pokes vzuri Ila app yao inakitu kinaita k pay ambapo hela hurejeshwa humo mye saivi mwezi umekatika nikiwa nafatilia
@itiskajjimk62593 жыл бұрын
Kikuu huwa hawarudish hela kpay Yao hakuna namna ya kutoa pesa wanasumbua sana
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
Unaweza kununua kitu chengine sio kutoa
@mamyhassbeauty89813 жыл бұрын
Sas km huna iyo poster
@hightoptech3219 Жыл бұрын
ni vyema ufungue sanduku la poster inakuwa rahisi hasa kwa bei ya usafirishaji. vyenginevyo unaweza kujikuta unalazimika kutumia kampuni za usafiri wa gharama kubwa kama DHL.
@othmanhassan25423 жыл бұрын
like brother
@mohdabdallah17683 жыл бұрын
Na kwa mfano ukisitisha muamala je pesa itarud au
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
inarudi k-pay utaweza kununua kitu chengine lakini sio kuitoa tena kwaiyo kuwa makini kabla ya kuziruhusu pesa zako.
@mohdabdallah17683 жыл бұрын
Sasa mbona mim kwangu hakuna truck nifanyaj
@mohdabdallah17683 жыл бұрын
Mfano inachukua mida gani hadi kimfikia mlengwa
@ZanzibarOrchestra10 ай бұрын
wastani ni wiki mbili mpaka tatu.
@evancedesdery2203 жыл бұрын
Kwenye k pay unweza kuipat ela yako??
@hemedhassan11773 жыл бұрын
Sas ukitaka kuwapigia unawapigia kwa namba gani
@ZanzibarOrchestra Жыл бұрын
kuna ma agent wao katika kila mkoa kama issue yako ni ya kuchukuwa au usafirishaji wa mzigo kama ni kuhusiana na mzigo wenyewe unachat na seller moja kwa moja kwenye app
@ZANZICTSOLUTIONS24 жыл бұрын
Nakukubali bro
@ZanzibarOrchestra4 жыл бұрын
back again
@kevlinboliva58384 жыл бұрын
Huwezi kulipa kwa m-pesa au tigo pesa
@bataboytv22584 жыл бұрын
Unaweza kutoa pesa kutoka k pay
@ZanzibarOrchestra10 ай бұрын
Huwezi unachoweza kufanya ni kuzitumia kununua tu. kwaiyo kama huna uhakika km pesa zako zote unataka kununua usizitie humo maana hazirudi tena in cash.
@BenLeeBl4 жыл бұрын
Siwez subscribe wala kulike coz haijanisaidia.umeishia njiani .eleza mzigo ukifika unafikia wap na naupataje na wew ulivo nunua imechukua mda gani kuwa muwazi tujue wote
@domiepisezini72993 жыл бұрын
apo unAANDika posta code yako uliyopo muda uwa waandika kwenye iyo bidhaa a