Пікірлер
@Bakaly-q6u
@Bakaly-q6u 3 күн бұрын
Asa mbona video aielezei uwalisia 😂😂😂😂mpo gengeni kwenu akija mteja mnaacha kushot mnauza nyanya😂😂😂😅😅😅😅
@KidukaMtoto
@KidukaMtoto 3 күн бұрын
Kaka sikupingi
@KidukaMtoto
@KidukaMtoto 3 күн бұрын
Kaka sikupingi
@MunishiIssa
@MunishiIssa 10 күн бұрын
🔥🔥🔥🦋
@MunishiIssa
@MunishiIssa 10 күн бұрын
❤❤❤🔥🔥🦋
@tilistar
@tilistar 13 күн бұрын
respect saana mabrother💪
@IssahWanyama
@IssahWanyama 13 күн бұрын
🔥🔥🔥 kfsgud Nakukubar xna 🙌🙌🙌
@IbraKadabla-ry8mu
@IbraKadabla-ry8mu 13 күн бұрын
Unyamaa ni mwing chunchu ndo producer Bora na namba moja wa singeri ila wasanii wengi mkiwa na collaboration kubwa kubwa amjawahi kumuamn na kwenda studio nyngn mnaferi ngoma qarii mmeua ila producer kaua saw m cha kumshauri chunchu awe serious na mziki pia apunguz kufanya kaz na mazoea inamshusha Kam producer salout kwenu brown ft kiluza mmeandika saaaan umu
@eaglecyno5056
@eaglecyno5056 13 күн бұрын
Oya sio poa kichupa icho fire 🔥🔥🔥🤝💪🙏🦅
@OfficialbabumusicTz
@OfficialbabumusicTz 13 күн бұрын
beberu umetisha bloo
@AjuayeShedrack
@AjuayeShedrack 13 күн бұрын
Moto wa mti poli huo ukikolea kuzima ni shuhuri
@kamy72
@kamy72 13 күн бұрын
Fundi wangu Beberuu
@faidhawazieni3901
@faidhawazieni3901 13 күн бұрын
👊
@fundiseif1096
@fundiseif1096 13 күн бұрын
Jumba bovu by kapaso bkp vs kiluza fanani 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@clavedaprizemusic9276
@clavedaprizemusic9276 13 күн бұрын
Ujumbe mzuri blood 🔥🔥
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 25 күн бұрын
lyrics Naamka asubuhi namuaga mke wangu Ngoja nikaforce tupate kulaa Napiga msakwi nachukua nguo zanguu Sina buti raba mi zangu ni ndalaa Kutoka kwangu stend parefu Ila ndio kazi ya mguu yangu Mazoea shida faraja yupo likizoo Kiufupi hayo ndio maisha yangu Maeneo ya Chamazi Magengeni Si unajua gari za kugombea Nami nina mia tatu mfukoni Nikampooza konda akapotezeaa Nilipoketi kuna ndugu wa imani Nikatoa salamu safari ikaendelea Ile nataka kushuka kituoonii Kuna dada analia kaibiwaa Msalaa Msalaa msalaa msalaa Msalaa kwangu Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa Jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa Jumba bovu jumba bovu leo Limeniegemea Eeeehh Eeeehh Yako tisa 10 yangu mimi hali tete Sihitaji kuficha napitia changamoto Wasionipenda wanapenda mimi niteseke Sio siri napitia nyingi changamoto Ila sichoki najitahidi pambana Mwili unazidi choka nafsi inakata Sasa kubwa kuliko hii hapa hii Ndio iliyofanya mimi nasota hivi Kuna siku narudi nyumbani nimechoka Sina kitu mkononi mke anafokaa Eti ohh maisha haya nimeshayachoka Nasitaki chochote mi nataka kuondokaa Napigaje goti itakuwaje kama ukondoka Anapandisha sauti eti nimekuchoka Nikainuka kwa asira nikamshika mkono Nisimame akajivuta akaanguka puuh Eeeeeehh Puuhhhh damu tuu Eeeeeehh Puuhhhh damu tuu Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa Jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa Jumba bovu jumba bovu leo Limeniegemea
@kitauloo
@kitauloo 25 күн бұрын
Kapasooooooooo tuondokeeeee budaaaa
@OfficialbabumusicTz
@OfficialbabumusicTz 25 күн бұрын
TEAM nzima ya OFFICIAL BABU MUSIC tumekuwa wa kwanza VIEWS nyimbo ya KAPASO bloo tupo PAMOJA atukupingi wewe familia yetu SINGELI kali
@MeshakKungu
@MeshakKungu 29 күн бұрын
👍👍🔥🔥
@ngonde255
@ngonde255 Ай бұрын
Ngoma Kali mzeee🔥🔥🔥🔥🔥💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚
@YusufuYuzo
@YusufuYuzo Ай бұрын
🎉
@ArcSonda
@ArcSonda Ай бұрын
Ni balaaaaaaaaah
@shatiphashraph
@shatiphashraph Ай бұрын
Kapaso mwanangu wew👊👊🔥🔥
@fundiseif1096
@fundiseif1096 Ай бұрын
Yanga 🔥🔥🔥 kapaso bkp 💪
@vadyMc
@vadyMc Ай бұрын
Kapaso mshua
@GervasMwageni
@GervasMwageni Ай бұрын
Upewe maua yako na viongozi wakuone hapo jangwanii😅😅
@g_macolour
@g_macolour Ай бұрын
😂😂
@ibramamba4081
@ibramamba4081 Ай бұрын
Genius from Tanzania BKP
@beatriceminja2148
@beatriceminja2148 Ай бұрын
Sijawahi elewa singeli, lakin hapa nimebambika for sure
@halimaawadh9001
@halimaawadh9001 2 ай бұрын
@enesimwasalemba1235
@enesimwasalemba1235 2 ай бұрын
Ngoma bomba unatusahaulisha shida
@RehemaJuma-x1q
@RehemaJuma-x1q 2 ай бұрын
Tunamtusi mamba na mto wke tunavuka aiseee😊😊😊hpn chezea
@melacanatz2003
@melacanatz2003 2 ай бұрын
Huu unyama💯
@khalfansaid5962
@khalfansaid5962 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@sandrahfilms
@sandrahfilms 2 ай бұрын
Unyama
@AlabamaMc-
@AlabamaMc- 2 ай бұрын
Nice🎉
@WilfredLego
@WilfredLego 2 ай бұрын
Ninja beberu nakukubali San kapaso genius from Tanzania
@nurdizzotz4437
@nurdizzotz4437 2 ай бұрын
Acha moto uwake
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 2 ай бұрын
j4d sound Beberu kapaso hapa genius from tanzania Adasco m2 mbaaya Nikiwa sina niwe mnyonge yani nikizipata et niwe mpweke Si walikula nikaosha vyombo leo nakata pochi wanatokwa na mate Nikiwa sina niwe mnyonge yani nikizipata et niwe mpweke Si walikula nikaosha vyombo leo nakata pochi wanatokwa na mate We yule demu alonikataa leo hana jeuri Nakunywa bear za bei kali nusu wala sijali Kuna wanangu walonikataa wote wanapita mbali Mwanangu tussle masnich wanafata kivuli Aya sasa tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Wanangu tunywe bear tunywe pombe Tunywe bear tunywe pombe Wanangu tunywe bear tunywe pombe Tunywe bear tunywe pombe Aya sasa jamani pesa yangu jamani hela yangu Ifike muda wa kula unipangie matumizi Ndugu yangu jamani pesa yangu jamani hela yangu Ifike muda wa kula unipangie matumizi Nyi wambea piga picha muende mkaposti(piga picha wewee) We bwana shamba nishaingia namwaga manoti(wewee) Piga picha muende mkaposti(we piga cameraa) We bwana shamba nishaingia namwaga manoti (leo namwaga mihela mihela) Aya sasa tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe Wanangu tunywe bear tunywe pombe Tunywe bear tunywe pombe Wanangu tunywe bear tunywe pombe Tunywe bear tunywe pombe Aiweeeee Kapaso apa genius from Tanzania Aah Temeke mpaka Chamazi mgongoni aii Yani nikicheza unanikandia nisicheze kwanini Baki na kujua kwako unanidai nini Nikicheza nje ya beat nakukera nini Unatoka kwenu mi nyumbani hapa burudani Bibi dada ukienda chini baria unainama Rudi juu kama Kagere unatetema twende Ukienda chini baria unainama Rudi juu kama Mayele unatetema Tetema umepigwa short mwili mzima twende Tetema umepigwa short mwili mzimaaa Tetema umepigwa short mwili mzima twende Tetema umepigwa short mwili mzimaaa Shiiiii beberuu Kapaso apa genius from Tanzania Wanangu wa BKP brand Anaitwa Mwagona we kifundo laki familia 7 boda we juma mahadhi msondo winga ngiri Maulid tamira mao dereva wa mkoa we man fongo de smart adaaa
@D_smarty8
@D_smarty8 2 ай бұрын
Mkn sana kka kz ipo pw sana 💥💥🤛🤛💯💯🔥🔥🔥✔️
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 2 ай бұрын
lyrics /kwa maneno Nishajigawa gawa mbona nishayanawa Yani mtoto wa wa2 nisije kupagawa Uloyafanya sawa nishapotezea Tafuta dereva mwingine kwako nishajivua Moyo moyo moyo moyo mooooyo moyo moyo moyo Ona mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini Mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini iii Ona mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini Mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini iii Mi sijuagi mapenzi yanataka nini Yanawatesa mabosi hadi maskini Kira mtu kwa sasa mtoto wa mjini Watapita navyo vichenchi vyako mfukoni Mwenzenu sitaki tena mapenzi wara ujamaa Ukinishauri kupenda mi nakushangaaa Sitaki tena kupenda nishayakataa Yarininyima amani nikapaukaa Mara ivi mara vile mapenzi ya umamamae Mara iki mara kile Mapenzi rabda badae Ona mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini Mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini iii Ona mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini Mwenzako ugonjwa wa kupenda nitapona lini iii Aya sasa bao bao bao bao bao shiii Ata kama umenijua mi naachaje kujiachia Niache kucheza mziki et kisa umenistukia Unanijua mi naachaje kujiachia Niache kucheza mziki et kisa umenistukia Twende pale nariachia bodi sjalipia kodi Mkande rete vikari nitoe baridi Nariachia bodi sjalipia kodi Kaiza rete vikari nitoe baridii Ooh mi Mwenzenu sipendi tena mabaya ooh Yalinifanya niwe nusu chizi mabaya eeh Mwenzenu sipendi tena mabaya ooh Ooh Mwenzenu sipendi tena mabaya ooh Yalinifanya niwe nusu chizi mabaya eeh Mwenzenu kupenda tenaaah Mmmhh aaaah aaaah mmmh mmh aaah aaah mmmh Aah aah aah aah aah aah aah aah aah aah AHahaha dizele baba
@LaizerSalumu
@LaizerSalumu 2 ай бұрын
🦁👏👏👏👏👏👏💐💐
@SuleSule25
@SuleSule25 2 ай бұрын
Xafi xanaa
@Clack_tz
@Clack_tz 3 ай бұрын
💯💯🔥
@-munishiissa
@-munishiissa 3 ай бұрын
I really like ❤❤❤❤
@-munishiissa
@-munishiissa 3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🎵🎵🎵🎵🎵
@mussateruka
@mussateruka 3 ай бұрын
Some how 😂😂😂❤
@fundiseif1096
@fundiseif1096 3 ай бұрын
Twende ni ngoma kali sana umetisha kapaso bkp 🔥🔥🔥💪
@clavedaprizemusic9276
@clavedaprizemusic9276 3 ай бұрын
Twendeeeeeeeeeeee 🔥🔥💥
@takito_africa
@takito_africa 3 ай бұрын
😊😊