NI NANI BAKHILI ? by Ust Swalahudeen Zubeir
23:07
MALEZI BORA,, By Ust Hussain Yahya
7:14
Пікірлер
@AminaIbrahim-qh2gn
@AminaIbrahim-qh2gn 9 сағат бұрын
Allahu Akbar dah..!! Wanawake cc jamani dah..!! Watu wanaogeshwa mafuta
@NiyonizeyeMuhammad
@NiyonizeyeMuhammad Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@NiyonizeyeMuhammad
@NiyonizeyeMuhammad Күн бұрын
Cheikh wang nakupenda kwajil ya allah
@ramadhanihamisi3977
@ramadhanihamisi3977 5 күн бұрын
Muhammad bachu allah akupe afya tele na uzidi kutufunza ili tuiache shirk
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 6 күн бұрын
Huyo Diwani Tapeli na group lake wizi wakubwa wanadanganya watu
@AthumaniBakari-o6r
@AthumaniBakari-o6r 6 күн бұрын
WAJIBUNI WACHOKONOZI WANAO MKEJELI MTU MOHAMMAD SWALALLAH ALAYH WASALAM NA WANADAI UISLAM SIO DINI MBONA HAMU WAJIBU HAO MWAPAMBANA NAWATU AMBAO LAKWENU MOJA
@JumaMussa-g6d
@JumaMussa-g6d 11 күн бұрын
Allah atupe subra Hadi kuondoka hapa ulimwenguni ili tukapate malipo makubwa❤❤❤❤👍
@ChudiOmi
@ChudiOmi 13 күн бұрын
Bachu... kiarabu uko nyuma sana... fata haq acha unaafiq
@lusupi
@lusupi 15 күн бұрын
Baraakallahu fiikum sheikh Muhamad Bachu umejibu kielimu sana Allah amuongoze sheikh mazinge aijue haki na aifate
@Booyah-z2h
@Booyah-z2h 22 күн бұрын
Allah naomba nikue na subra Kwa mitihani nayo pitia
@Pascallusambyacrispin
@Pascallusambyacrispin 24 күн бұрын
Vmt courage sana tena sana,Mungu azidi naku wabariki
@يحيىاحمد-ذ6ث
@يحيىاحمد-ذ6ث 25 күн бұрын
Nyie kweli ni wapumbavu eti maulidi ni bidaa ila taqsiimu tauhiid ni sunna wew sheikh sio huyo Hajj mm tu nakutoa mkojoo
@nacymchomvu1171
@nacymchomvu1171 27 күн бұрын
❤❤❤
@AllyHariri
@AllyHariri 29 күн бұрын
Shukran kwa ukumbusho
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan kwa ukumbusho muhimu sana
@سيوابورندي
@سيوابورندي Ай бұрын
Shukurani
@MohdMaulid-u7v
@MohdMaulid-u7v Ай бұрын
masha allah
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
JAZAK ALLAHU KHAIRAAN KATHIRAAN KWA UKUMBUSHO MUHIMU SANA
@abbakariathumani9141
@abbakariathumani9141 Ай бұрын
Mwenyezi Mungu atupe wepesi wote pia mwenyezi Mungu akuhifadhi shekh wetu
@Athumani-nk8je
@Athumani-nk8je Ай бұрын
Allah akulipie tunaelimika kupitia elimu yako
@ZubeirHamada
@ZubeirHamada Ай бұрын
Mboni huyu Sheikh aliyeanzisha vigawanyo vya Tauhidi hamujawahi kukaa na kusema kwamba kakosea na mukamtoa makosa?
@MohammedMohammed-y8c
@MohammedMohammed-y8c Ай бұрын
Hii ni wazi kuwa hamna la kusema ktk daawa yenye tija kwa watu. Acheni ujinga wa namna hii, mnatupotezea muda na wallahi mnabeba dhima kwa hili na mtaulizwa juu ya hili. Fanyeni daawa zenye tija na km hamuwezi nyamazeni kimya.
@RamadhaniShembilu-l1e
@RamadhaniShembilu-l1e Ай бұрын
Mashaallaah jazaakallaahu khaira
@ShaSha-mf2wf
@ShaSha-mf2wf Ай бұрын
Allah akuhifadhi popote ulipo
@ShaSha-mf2wf
@ShaSha-mf2wf Ай бұрын
Allah akuhifadhi popote ulipo
@NassoroAlly-pp7gr
@NassoroAlly-pp7gr Ай бұрын
Shekhe badala yakufundisha ujiingiza mijadala jiebusheni namijadala
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar Ай бұрын
Mahizib mnavituko
@almasiALMASI-h3x
@almasiALMASI-h3x 25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@shameem99
@shameem99 Ай бұрын
Mashaallah
@bin_imam
@bin_imam Ай бұрын
Mashaaaa Allah 🎉 allah amstiri kidogo changu
@fora2009
@fora2009 Ай бұрын
Mashaallah 😂
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Ай бұрын
MAA SHAA ALLAAH
@SalhaSaid-c4l
@SalhaSaid-c4l Ай бұрын
Allah akuhifadh shkh na akupe ulinzi dunian na huko akher inshallah
@abbakariathumani9141
@abbakariathumani9141 Ай бұрын
Masha Allah
@SanuraNamlola
@SanuraNamlola Ай бұрын
MASHA ALLAH TABARAKAALLAH ♥️♥️♥️♥️
@nurdini-yl5mz
@nurdini-yl5mz Ай бұрын
Maashaallah Allah amhifadhi bint huyu na mabint ote wakiislaam
@SuleimaneMfaume-db2vw
@SuleimaneMfaume-db2vw Ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@MohamediMsumali-m6v
@MohamediMsumali-m6v Ай бұрын
hii Sasa sio did za waislam Kwan sofa hiz no zakijahilia 2:54
@Josephedwardkenesha
@Josephedwardkenesha Ай бұрын
Mimi jose kutoka uganda ndacha mngu amekupa uwezo mkubwa sana nafatilia sana mdahalo
@Josephedwardkenesha
@Josephedwardkenesha Ай бұрын
Data zinalika sana
@Josephedwardkenesha
@Josephedwardkenesha Ай бұрын
Data zangu zinapotea sana
@SelemaniOmari-j7t
@SelemaniOmari-j7t Ай бұрын
Kumbe masalafi wapo sawa
@mbaroukseif3409
@mbaroukseif3409 Ай бұрын
Mashekh vijijini mmekusahau Daawa mnafanya mijini tu. Mfike vijijini pia
@amaniamokachielmorisho1007
@amaniamokachielmorisho1007 2 ай бұрын
Mnifasiriye madjadida niwatu gani? Ni company, mnifasiriye na ma twarika niwatu gani
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
Mshaurini shk kishki skuhizi anapinda na kutoka katika sunnah amekuwa mtu wa kwenda na hawwa za watu, siasa zinekuwa nyingi kuliko sunnah na rafiki anao fanya nao makhurafi wale kina mazinge yeye baada ya kuwanasihi waache bidaah warudi katika sunnah ya mtume anawapenda watu walomzushia Allah na mtume inatakiwa awafikishie wacheni bidaah hawataki akae mbali nao watu wa bidaah ni wabaya sana katika dini ushabiki wangu kwa kishki asikurubiane katika daawa na khurafiij tumeumbwa kupendana kwaajili ya Allah na kuchukiana kwaajili ya Allah, asikurubiane na wazushi mpk warudi katika hakki
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 2 ай бұрын
KIJANA TATIZO LAKO WEWE NI KICHWA MCHUNGA WAFWATA MANENO YA MASHEIKH ZAKO WENYE CUHUKI BINAFSI NA SHEIKH KISHKI. NINI MAANA YA KUPINDA? JEE UNA DALILI KWENYE QUR. AANI NA SUNNAH INAYOSEMA MSIKAE NA MTU FLANI NA KAENI NA MTU FLANI? JEE UNAJUAJE KAMA SHEIKH KISHKI HAMFIKISHII MAZINGE DAWAH NA NASAHA? KAZI YENU NI KUHUKUMU TU WATU. NA KUJIONA NYINYI NDIO MLIO NYOOKA NA WATU WOOTE WAMEPINDA. وجعلنا بعضكم لبغض فتنة اتصبرون؟؟؟
@BuiKishkOnlineTv
@BuiKishkOnlineTv 2 ай бұрын
Watarudi kwa kushushiwa Malaika kutoka Mbinguni sio? Usikute hata ww ulikuw mtu wa Bidaa lkn watu wasunna walivyokaa nawewe ukawa mwanasunna lkn siku zote nyani haoni …le. Asilimia 99 ya watu wa sunna walikuw watu wa bidaa kiasi cha kutukana watu wa sunna lkn watu wa Sunna walikuwa nao mpk Allah akawapa Hidaya, sasa hii daawa uitakayo ni ya NABII gani?
@husseinfarouk1896
@husseinfarouk1896 2 ай бұрын
Waongea na ata haujui maana ya sunnah....nenda kasome ndo uanze ukaongee ....eti wamwita shekh kishki sio msunnah....Shughulika na nafsi yako na Amali zako kaka Wachana na maulamaa ....hauwezi warekebisha na chochote
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@husseinfarouk1896 sunnah ya kuanza kufunga mwanzo na kufungua mwanzo ndo sunnah hyo tuuh wakijuwa ww mbona shubuha zake ni nyingi huuoni hilo, kuna kiindi daawa yake inachanganyika na mubtadi wazushi, sasa ndo misingi ya sunnah hiyo ww ndo unaonekana mgeni na sunnah hujui kitu laiti ungesoma vitabu vya ulamaa wqnazungumzaje kuhusu sunnah na kuhusu bidaah nadhani usingeongea haya. Misingi ya mtu wa sunnah ni kuto changa nyika katika daawa na ahlubidah kwa mujibu ya kauli na vitabu vya ulamaa pili ni kujitenga na bidaah na kukaa nazo mbalil.3 ni kukaa mbali na mzushi kushabiana na mzushi bila shaka na ww utatumbukia na kuiga ahlaki zake tabia zake manake Abdullahy bin masoud swahaba huyu walokuja watu wazushi kutaka mjadala nae akawqqmbia wambieni mimi nipo mbali na wao kwa ile hali ya uzushi wao,sasa dawa yako ikiwa inachanganya na talbis nyingi arafu unadai mtu unae fata sunnah leo upo na mazinge wafanya nae dawwa mara upo na othman malimu au dr sule sasa ww sunnah yako ipo wapi hapo?? Inamana unambanishia kwamba na yeye yupo katika hakki sasa na shekh kishki watu wake wakubwa makhurafi et unafanya dawa na mazinge arafu wadai mtu wa sunnah daawa ipi hiyo miharafa mingi shekh anayofanya mwanzo hapo alianza msimamo nzuri katika sunnah skuhizi ni mtu wa kwenda na hawwa za watu na ukiskiza fatuwa zake nyingi zina siasa ndani yake sasa ndugu najuwa unamapenz na mtu kushinda hakki vumilia ndo dini najuwa wampenda shekh ila uislamu kunasihana mtu anapo poromoka kiitikadi au kiimani lazima um nasihi tuvumiliane.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 ай бұрын
@@BuiKishkOnlineTv daawa ya ahlsunnah ulamaa wameiwekea misingi yake huwezi kunadi mtu wa sunnah, arafu unafanya daawa yako na ahlu bidaah, na misingi ya dawa hii toka wema waliotangulia ni kukaa mbali na watu wa bidah na kujitenga nao katika daawa na kuwa nae Karibu ni ile kumnasihi na kutahadharisha kwa ile bidah yake hataki kaa mbali nae sasa kama kina sufian thauri walikaaa mbali na wazushi na kuwatahadharsha na ndo ulamaa wa ahlsunnah wasemavyo katika vitabu vyao sasa kutangamana na bidah naww kaathiriwa na bidah zao, na anaekwenda na kutangamana nao watu wazushi na ww watakiwa utahadharishwe usipotahadharika ni wanakutia katika wao ndo misingi shekh wangu
@SadyaminahIdy
@SadyaminahIdy 2 ай бұрын
taanga bado wajinga kwa mtu huyu
@AminaIbrahim-qh2gn
@AminaIbrahim-qh2gn 2 ай бұрын
Mashaallah, namkubali sana sheikh kishki Allah akulinde na kila aina ya ubaya
@BakriIssa
@BakriIssa 2 ай бұрын
وا نحواه
@BakriIssa
@BakriIssa 2 ай бұрын
وانحواه
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 2 ай бұрын
Duh mzee umekwama. Watu hawajui Dini yao.Uhakika haswa.N ndio mana hali zao ngumu za maisha
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Ww, una matatzo ya akili ndugu, Kwa iyo hatuwezi kujishughulisha na mambo ya uchumi Hadi watu wafaham dini. Hatuwezi kuelekezana dini sambamba na kujishughulisha na mambo ya uchumi halali wa kiislam? Mbona ww unakua mjinga kias hiki? Hao masheikh wanaokudanganya eti waislam wanatakiwa kujishughulisha na elimu ya Sheria na tauhid peke yke ni wanafiki sana maana wao wanamiliki mataasisi ya kujaza matumbo yao....alafu wanawashambulia masheikh wenzao. Acha umwehu na ujinga
@HemedSerious
@HemedSerious Ай бұрын
Jibu kwanza iyo katiba ni ya kasim Mafuta au kasema uongo sheikh barahiyan?😂😂
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Ай бұрын
@@HemedSerious Katiba ya nin sasa. sisi na katiba wapi na Wapi.?? Kam kuhusu Taasisi hili ni agizo la Serikali la sivyo Unafungiwa Hupasw kujishughulisha Na Dini usiposajili Taasisi yako. Na ndio mana mwanzo Abul fadhwil alipinga jambo la Taasis kwa mujib wa Dini lakin taratbu za Nchi hakuzijua la sivyo unafungiwa kituo chako. Kwa hyo ikabid iandaliwe taasisi ya Uongo kwa ajili ya kutii Weny mamlaka tu basi.Lakin Sio Malengo ya Masalaf na wala hatuish kweny Mifumo ya kitaasisi yaani Uvyama Na uhizbiyyah.
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 2 ай бұрын
Mashaallah sheikh kishki anapendwa hadi na watoto