Oh asante sana chombo cha Bwana haya ndio mafundisho yatakiwavyo nyakati hizi za mwisho! Halleluya !! Yesu yu mlangoni saa imekaribia tumpokee Bwana harusi wetu!
@kilumiletvonline20012 күн бұрын
Waoo hongera kwao
@NuruniTv2 күн бұрын
Amina🤝🤝
@naomimgumba41262 күн бұрын
Congratulation
@NuruniTv2 күн бұрын
Thank you✅🙏
@naomimgumba412611 күн бұрын
MUNGU awabariki watumishi
@MissGee-ro6ej25 күн бұрын
Huu wimbo ameimba nani
@user-me1fp5fi8r25 күн бұрын
Glory be to God Amen 🙏🙏🙏
@user-kb8tj3qt9b27 күн бұрын
My girl sing it everyday..
@UpendoChurch-u6cАй бұрын
Waliokufa ambao Ni wenye dhambi Je watasalia kufa au watafufuka wateseke Na wegine?
@user-rd9ij7ce7vАй бұрын
🎉❤❤
@elishampoki8751Ай бұрын
Thiki kuu ni gathabu ya Mungu,
@elishampoki8751Ай бұрын
Ukiona wanatangaza amani nchi zinazopigna. Vita zimepatanishiwa Hapo ndipo Roho mtakatifu Atampisha mpinga kristo yeye mpinga kristo Atajifunua , na kuutawa ulimwengu,
@felsonsanga8502Ай бұрын
Sijamuelewa
@sakinaamundala5253Ай бұрын
Mungu akubariki kwahiyo mafundisho
@hekimamsanza82312 ай бұрын
Amina
@ShuhudiaHillary2 ай бұрын
Nawapenda nimemisi yeriko
@mrrukundoamonjunior2 ай бұрын
🙏🙏🙏
@adelinamdyanga10792 ай бұрын
I
@robertswai29622 ай бұрын
Watakaobakiii hakutokuwa na tobaaa?????
@NuruniTv2 ай бұрын
Hakuna toba tena wala wala sehemu ya kuabudu Mungu wa kweli tena.
@silasnatir79152 сағат бұрын
@@NuruniTvkumbuka pia mtumishi wakristo watapitia mateso kitabu cha ufunuo 13:7-10
@user-xt9qp2bu2p3 ай бұрын
MUNGU akubaliki baba
@frankokatindasa63384 ай бұрын
Wap apo
@NuruniTv4 ай бұрын
SIGRID
@frankokatindasa63384 ай бұрын
@@NuruniTv aha kazi njema sana
@sylvieomary72944 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@NuruniTv4 ай бұрын
Amina Mungu akubariki sana
@OliveKamathe-sx1ym4 ай бұрын
Asante sana Yesu Wangu Mungu wa Huruma🙏
@user-ux8li4ey9v4 ай бұрын
sema baba yesu ni Mungu
@NuruniTv4 ай бұрын
Amina
@JacoboTanju-mm5tr4 ай бұрын
Yuko vizuri sana huyu mwamba
@NuruniTv4 ай бұрын
Hakika
@frankokatindasa63385 ай бұрын
Barikiwe mno
@AlexAlex-kf1eg5 ай бұрын
Mungu awatunze 🙏
@henrickmangililwe91375 ай бұрын
Hongera sanaa
@NuruniTv5 ай бұрын
Amen
@PaulosaimonWamlyoma5 ай бұрын
Ameni Ameni
@NuruniTv5 ай бұрын
Amen Amen 🙏 🤝
@frankokatindasa63385 ай бұрын
Hallelujah
@vaileth.yohananyaluke66806 ай бұрын
Injili hii nikubwa kiliko Mungu akubariki baba yangu.
@Eunice...6806 ай бұрын
Niguse Bwana
@NuruniTv6 ай бұрын
Amen na iwe kama unavyoomba📖
@kilumiletvonline20016 ай бұрын
Safii❤
@EmmanuelMwakyando6 ай бұрын
Pamoja sana bibi chala
@hekimamsanza82317 ай бұрын
Amina Amina Mungu akutie nguvu aendelee kukuinua zaidi na zaidi
@neylerGervasy-gq4eq7 ай бұрын
Ameni,,Mungu azid kumwinuwa kupitia unyenyekevu na utii wake