Пікірлер
@farashuuabdallah-t1z
@farashuuabdallah-t1z 4 күн бұрын
Una kauli mavi japo unauongea ukweli
@ZachariahLukuba
@ZachariahLukuba 10 күн бұрын
Nyumbaa nzuriii cnaa
@MAGARITanzania
@MAGARITanzania 26 күн бұрын
Ipo hii??
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q Ай бұрын
Hapo panajaa maji angalia ukutani maji yalikofikia
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Anayeuza apo itakuwa kafilisika sana maskini sana sehem potential ya kuuza mamilioni ata 100 anatupa kwa 25m sijawahi kuona maajabu
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Ай бұрын
Lazima kuna cutch
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
@ au majiniii uchawii haelewiii kaamua kuuza tu oyaaa msinunue ilo eneo wateja mmesikia
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani Ай бұрын
Sasa si ununue?we unamshauri mtu anauza chake kwa bei rahisi unataka kujua yanayomsibu?yaani wabongo sisi sijui tumerogwa? Kama mtu anauza kwa furaha au kwa huzuni. Ama anauza kabanwa na shida hiyo yote inakuhiusu nini Cha muhimu ni kununua biashara iishe.
@bupehippolite7
@bupehippolite7 Ай бұрын
No yako
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Kimbiji ni kijijini huko hakuna ata barabara ya lami
@andrewfernandess8898
@andrewfernandess8898 Ай бұрын
Basihaya inajulikana kwa mafuriko
@andrewfernandess8898
@andrewfernandess8898 Ай бұрын
Maji msimu wa mvua
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Kimbijiiii ni kijijini barabara ya lami imeishia cheka
@HemedyLukindo-y9h
@HemedyLukindo-y9h Ай бұрын
Pesa nyingi kuliko thaman ya nyumba
@godloverashid1699
@godloverashid1699 Ай бұрын
Bado Iko sakon naihitaji
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Nyumba ya milioni 290 pesa zote hizo alafu chooo cha kuchuchumaaaa na ni kichafuuuu kwelikweliiiii kama cha bar
@Princeking-t4f
@Princeking-t4f Ай бұрын
Mbona public toilet ya chini?
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk Ай бұрын
Nyumba ina mikopoooooo hiyo nani anunue?
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Ай бұрын
Hujaambiwa ununue wewe,hata kama ina mkopo anauza ili alipe mkopo awe free,shida nini??
@hamadiluhizo-zs3iy
@hamadiluhizo-zs3iy Ай бұрын
Kwanini iuzwe hiyo Nyumba?
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Ай бұрын
Ina mhogolo ama maana ck iz mmmm
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 Ай бұрын
Kaka habari za asubuhi tafadhali naomba kujua kama hiyo nyumba bado hipo sokoni shukran
@BakaryYusuph-t9x
@BakaryYusuph-t9x Ай бұрын
gharama kubwa tofauti na nyumba mzee...
@sheikhalumbalambaka6213
@sheikhalumbalambaka6213 2 ай бұрын
Bado zipo inaonyesha za muda sana
@fatimajuma3330
@fatimajuma3330 2 ай бұрын
Hiyo ni nyumba ama ni shule maana dar
@RamlaChiza
@RamlaChiza 2 ай бұрын
Inauzwa na furniture????
@FarhiaAbubakar-f9b
@FarhiaAbubakar-f9b 3 ай бұрын
Wapi
@hajisuleiman5985
@hajisuleiman5985 3 ай бұрын
Lipo
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 3 ай бұрын
Salasala ndio wapi mkuranga au wapi
@SelinaMarco-n7z
@SelinaMarco-n7z 4 ай бұрын
Bado kipo hicho kiwanja
@HajiJuma-d5q
@HajiJuma-d5q 4 ай бұрын
Mm n azitaka kwa kweli nipo tayari kama hazina mgogoro
@GodwinMwakibinga
@GodwinMwakibinga 4 ай бұрын
Naomba namba za kuwasiliana nanyi
@bonifaceakyoo1180
@bonifaceakyoo1180 4 ай бұрын
Hii si ndio île nyumba ya konde boy??
@mukhsintwaha5909
@mukhsintwaha5909 4 ай бұрын
Bado vpo kiongoz?
@kagombaEnok
@kagombaEnok 4 ай бұрын
Nyumba nzuriiii sana
@abdallahmbonabona8860
@abdallahmbonabona8860 4 ай бұрын
Kwa sasa Nazani ndio hio nyumba Harmonize anaeshi hapo
@filskischannel9737
@filskischannel9737 4 ай бұрын
Mbona kama konde village ivyo...sijaelewa
@bijo916
@bijo916 4 ай бұрын
Dada vipi vya karibu na bahari jee
@bijo916
@bijo916 4 ай бұрын
Vya karibu na bahari jee
@viatorykashabizi2538
@viatorykashabizi2538 5 ай бұрын
Supper environment !
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 5 ай бұрын
Tafadhali nakuomba kuhuliza kama bado hipo sokoni mimi nipo Amsterdam Netherlands
@IddyAthuman-f3k
@IddyAthuman-f3k 5 ай бұрын
Mbona inafanana na Nyumba ya HARMONIZE
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 5 ай бұрын
Sio Cha urithi kweli ? Sababu ni shamba!
@allexmbayayee5346
@allexmbayayee5346 5 ай бұрын
Nambie ya cm naomba
@ZenaZena-vx2ee
@ZenaZena-vx2ee 5 ай бұрын
Bado vp
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 6 ай бұрын
Harmo
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 6 ай бұрын
Inatisha bro kuwa nyumba ya mbele sio sehemu ya hii deal...how come
@miriamahmadi1356
@miriamahmadi1356 6 ай бұрын
Tuma number ya watsap
@ZenaZena-vx2ee
@ZenaZena-vx2ee 6 ай бұрын
Wapnapo
@dullayomwinyi3359
@dullayomwinyi3359 6 ай бұрын
Ni la kifahari kweli nakubali
@YussuphMohammed-bm8jz
@YussuphMohammed-bm8jz 6 ай бұрын
Yakawaida saana
@YussuphMohammed-bm8jz
@YussuphMohammed-bm8jz 6 ай бұрын
Konde gang verag
@sospetershijah5619
@sospetershijah5619 7 ай бұрын
Baadae mmakonde ndio akawa amehamia hapa sio?
@sharifsaidshoka8684
@sharifsaidshoka8684 7 ай бұрын
Kk hii nyumba bado ipo
@sharifsaidshoka8684
@sharifsaidshoka8684 7 ай бұрын
Tunataka maasiliano ili tupate hii apartment