Masha Allah sheikh mselem nampenda sana kwaajili ya Allah natamani nimuone sikumoja japo nimshike mkono. Allah amuhifadhi sana Maalim huyu.🙏🏼
@AmanaHussein5 сағат бұрын
Subhanallah
@sama-_836816 сағат бұрын
Sheikh nakupenda sanaaaaa kwa ajili ya Allah Lakini badilisha basi msimamo wa mwezi msimamo wa mwezi mmoja dunia nzima SIO WA SAWA maana hata umbile la dunia linakataa
@selemaniselemani59116 сағат бұрын
Al hamdu Lillah Ila tunatomba darsa ya Aya ya 6 mpaka 11
@hamiduOmar-s2z18 сағат бұрын
Jazaka llah khairan
@korogwetanga81019 сағат бұрын
Allahumma Aamiin yaa rabbi
@IsaMadaya-y8qКүн бұрын
Masha,alla
@mussakatawila9408Күн бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh! Allah akuhifadhi Duniani na Akhera na atujaalie mwisho mwema na atupe wasikilizaji mazingatio ya haya mawaidhwa.
@ibradibango4744Күн бұрын
Allah ajaliye yote unayofundisha ikae moyoni mwetu sote tunayekusikiliza na atujaliye tuifanyie kazi
@ummymuya.2060Күн бұрын
Ameen
@innocentndikumana8928Күн бұрын
mashallah sheikh napenda darasa zako sana Allah akupe heri nyingi ❤️❤️
@ummymuya.2060Күн бұрын
Ameen
@alisaleh5863Күн бұрын
ALLAH AKUONGEZEE ELIMU NA HEKMA, ILI TUZIZIDI KUNUFAIKA NA WW, ALLAH AKULINDE NA KILA AINA YA HASAD.
@SultanVilla-hi9os2 күн бұрын
Shukuran nimesikiliza nikiwa kimbiji Dar es salaam Ahsante 15/7/24
@anwarabdallah70952 күн бұрын
Maasha Allah shk mselem twabaan twaiib Allah Akujalie umri mrefu Ameen
@imsimk.khamis5742 күн бұрын
Shukran jazakallah kheiri shekhe wetu Mselemu. Hakika darsa lako ni fundisho kubwa kwa jamii yetu ya Kizanzibari iliokwisha potea. Kwa Siasa Chafu, Dhulma, ugumu wa maisha na kukosa misingi mizuri ya kidini kama tulivokulia cc ktk miaka ya 70s na 80s. Lkn nakunasihi Shekhe wetu kama utasoma msg. Usiwe Mkali sana au Kubeza beza watu wanaotaka kujuwa zaidi au kuuliza masuala. Wahu wanaokuja kuku sikiliza wanataka kuelewa. Kwassbabu ndio wanajifunza. Kuna wakati watu huuliza masuali kama unavosema ya Ajabu ajabu. Lkn ndio uwezo wake huyo mtu wa kutunga hilo suali na kuuliza hivo kiajabu ajabu. Sasa wewe wape majibu ya upole usiwabeze. Mbona mashekhe wetu munakosea kwenye Elmu ya Psycology 🤔🤔🤔
@SimbandumweAmissi-hd3vv2 күн бұрын
Asww nikweli
@ummymuya.20602 күн бұрын
Masha Allah Sheikh, Allah akuongezee uzidi kutupatia na sisi. Ameen!🤲
@bakariweko39582 күн бұрын
Ameen
@bakariweko39582 күн бұрын
Ameen
@Abdallahsbora-so2yg2 күн бұрын
Ninapomsikiliza shekh mselem na nikifutilia maneno anayowafahamisha watu namazingira yanavyoonesha wengi hawamuelewi mbona hayaonekani mabadiliko wakati maneno haya yanataka tuwena dira
@anwarabdallah70953 күн бұрын
Maasha Allah shk mselem Allah akujazi umri Ameen
@jumagora34623 күн бұрын
Inshaallah tutapata wepes
@halimamfaume19253 күн бұрын
MashaAllah
@ummukamillah3 күн бұрын
Amiin Yaa Rabb
@baderal_ofi18043 күн бұрын
🕌🤲🤲🤲🤝
@mussakatawila94083 күн бұрын
Allah akuhifadhi Duniani na Akhera na ukupe Afya njema na umri wenye baraka tele na atujaalie waislam mazingatio ktk maarisho ya na makatazo ni atupe Hidaya Aamin.
@harithmohd63183 күн бұрын
Mashaallah sheikh mselem bin ali nakupenda kwa ajili ya Allah nina ombi kwako Allah atakapo nirudisha nikiwa mzim na nikiwa hai inshaallah uje unifungish ndoa yangu inshaallah
@anwarabdallah70955 күн бұрын
Maasha Allah shk mselem Allah akujazi umri Ameen
@anwarabdallah70957 күн бұрын
Maasha Allah shk mselem Allah akujazi umri twabaan
@mussakatawila94087 күн бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh Mselem! Allah akuhifadhi Duniani na Akhera.
@zanlec73579 күн бұрын
Masha Allah. Ni jambo jema Sana Allah akulipeni khery. Aamin. J TV naomba tuwekeeni history ya Sheikh Said Bin Nyange
@user-kl8pf5cc7b9 күн бұрын
Allah ampe umri mkubwa shekh msellem bin Ally ampe afya njema aamin
@dallatode82959 күн бұрын
Ma Sha Allah
@CLEVERBOY004-cr5cc10 күн бұрын
Allah awape subra Wana family na sote waislam kwa ujumla kwa msiba mizito wa sheikh said bin nyange
@CLEVERBOY004-cr5cc10 күн бұрын
Allah amjalie kaburi yake iwe na nour alaa nour
@mussakatawila940810 күн бұрын
Jazaakallah Khairan Sheikh Mselem! Allah akuhifadhi Duniani na Akhera na atujaalie mwisho mwema.Aamin
@UstadhiRai10 күн бұрын
Taybu taybu 🎉❤❤
@user-fv5og6ng1p10 күн бұрын
Khutuba ime iweza masha alla uko vizuri shekhe
@faidamuhamed301110 күн бұрын
taqaddassa izzatahu wa jalaaluh Allah!
@OmarAlly-iz8ot11 күн бұрын
Maashaa Allaah ufafanuzi mzuri sana
@NassoroMwamtuya11 күн бұрын
Allah akupe mazuri kwa mapenzi yake
@Kimanga_Official11 күн бұрын
Mashaallah
@HABIBHABIB-bt8dp11 күн бұрын
Allah akuzidishie kheir na undelete e kuelimisha umma