MashaAllah ...vijana wetu..nawanaosem waislamu tunafanya usalili kutumwa wtt mtandaoni hujielewi maana apo ni maadili hawajatumwa ovyo
@FatmaHabibu-y5i8 күн бұрын
Subhanallah
@BabuAli-w8p9 күн бұрын
Ndio nini hicho mnawafundisha watoto wakiislam
@BabuAli-w8p9 күн бұрын
Wanga nyinyi mwawaharibu hawo watoto hio sio sheria ya din mtakwenda uliziwa nyinyi mlio wasimamia watoto hawo na kuhukumiwa vikal mno
@HassanMwakamili-j8d10 күн бұрын
Upuzi
@HadiyaMassud11 күн бұрын
Upuzi tu simpeliki mwangu Sukli kama hiyo
@MariamuAshrafu12 күн бұрын
❤❤❤❤mashallwa
@FatumaJuma-b2g14 күн бұрын
Masha Allah 🎉🎉hongeleni walimu na wazazi
@mwajinachallo447115 күн бұрын
Mashaalah❤🎉
@OmanBahla-ow8px15 күн бұрын
Mashaalh wanetu Allah awakuze
@HalimaJira15 күн бұрын
Subhana allah
@HalimaJira15 күн бұрын
Huu niupumbazu kabisa sasa hii ni kuharibu dini ju dini hairuhusu nyimbo....subuhana Allah
@AishaAweebwa-e4g15 күн бұрын
Mashallah
@HoaKinea15 күн бұрын
Mashallah Mashallah hongera sana
@Evodiangalimwa16 күн бұрын
Da nimependa hio shule🎉🎉🎉
@MtenderwaMkomwa-x6t18 күн бұрын
2:08
@KhamisHaji-pw4jo22 күн бұрын
Mnachangia ubakaji thicz not tilent ,,,,,acheni kuafundisha ujinga
@FarhaniSelemaniRamadhani22 күн бұрын
Allah awatangulie kwa kila hatua🎉🎉🎉
@AidatAmadi25 күн бұрын
Inalilah waina Lilah lajiuni uu n musiba watoto wa kike mbele ya wanaume
@clever789228 күн бұрын
Nimependa 🥰😍👌👌
@AmenaMm-r5t28 күн бұрын
Wap ii ngom nimeipenda ip vzr mashaallah
@AliAbdallah-v1j28 күн бұрын
kikwel naskitika cn hasa kila ii video inapo angaliwa na umma ukasifia makosa yafanywayo hapo iv tuna kwenda wap jaman nini tuna tarajia kwa allah ah wazazi wa watoto hawa wako wap au nao wamekubikwa na giza ah inauma cn
@Abdibeli29 күн бұрын
Mashallah
@AliAbdallah-v1j29 күн бұрын
hakuna kipaji ni makosa makubwa sana watoto wana kata viuno subbahanallah alaf mna wita wachawi wale walo kosoa hiari zenu
@SalmaOmar-s9t29 күн бұрын
❤❤mashaallah
@mussasaidhamad1891Ай бұрын
yaani hapo unatengeneza wasanii tu jaman fini gani hiii
@AmbilikikeMageremwasapileАй бұрын
Upuzi hawa ni wa dini gani mwanzo
@MachanoZАй бұрын
Matokeo mitihani kidstucha Saba skuli ya hamidiamer
@ZanzidreampicturesАй бұрын
@@MachanoZ kist.ac.tz/bmz/result/std7-2024
@JabirHaji-vj2nfАй бұрын
Unadhani kuna matokeo mazuri hapa sahauni
@እረህመት-ዘ5ተАй бұрын
Enalilhe wenalilhy rajeun musek???
@AshaKukana-d5wАй бұрын
Si vizuri msichana kucheza mbele wavulana wakiona😮😮😮
@hamisimwagarashi9501Ай бұрын
Msio na tanamaduni waacheni walo nazo wazidumishe...pili acheni kuchukua jukumu la MUNGU lakuhukumu kila mtakacho kiona...tuombeaneni mwisho mwema sote maaana hata wewe na wanao hamuujui mwisho wenu utakuaje.
@ZanzidreampicturesАй бұрын
@@hamisimwagarashi9501 Perfect
@NajmaAbdallah-k4hАй бұрын
Hakuna kazi nzuri hapo mutajuta huko mbeleni watoto wenu wakiwa wanamuziki bora Innalillah wainnailaihi rajiuon
@KarimFadhil-z1lАй бұрын
Kwaharka utaona kma ni uzuri lakin kwa jicho la kchamungu nmtihan mkubwa kwa sabab nyimbo hziongoz kwenye uchmung znaishia watkuwa sanii aibu ktoka
@SalomeMwadongoАй бұрын
Mko vizuri wototo ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@shamissuleyman4894Ай бұрын
Kuna wt wanajisahau kusudio lakuumbwa sisi binaadamu na majini badalayake wanaabudu tamaduni Allah awaongoe.
@AyshaHamis-qw3gi29 күн бұрын
Mm sizipend hizi tamadun na ndio masomo ya sasa shuleni aki ..mm hapan hizi
@MaryamKhamisi-d7fАй бұрын
Wachach ndio tutaelew hiii culture
@Mkenya_255Ай бұрын
❤
@RahemaOmanАй бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@RahemaOmanАй бұрын
IyonI komolo
@KanungoNdileАй бұрын
Kikwetu kitamu wallahi
@saidaahmedshapi7783Ай бұрын
Ache I kutusi watoto be proud of your culture and tradition, wacha asili I mtu wa. Watoto mashalla ❤
@MinskBelarus-il2tlАй бұрын
Inna lillahi wainna ilaihi rajiuun
@HamidaKassim-r7wАй бұрын
Mashalaaa Allah awaongoze zaid
@WaNuHu-h6lАй бұрын
I don't understand this language but the voice is beautiful ❤
@ABSHEE-m3r12 күн бұрын
They are celebrating their school
@AjrasMobile-q8jАй бұрын
Nmewapenda wtt❤
@AzizihFarijalaАй бұрын
Nyie mmeambiwa kuwa ni shughuli ya kiislam au mmeona watu wamevaa kanzu. mkajua shughuli ya kiislam lah hao kuvaa kanzu ni utamaduni wao kama waturuki hawavai kanzu wanaosema dini ni Imani SI kanzu.si kila anayevaa kanzu muislam lah ukienda Bukoba kanzu huko vijijini ni vazi la wazee bila kujari dini