Hii stori niliwahi kuisikia tena mwisho ataitwa mchawi
@HappyShirima-rb1jx2 сағат бұрын
Siyo kila mfungwa ana hatia jmn dah
@user-vd2zg1fe5g5 сағат бұрын
Mmmh nadhani kuna namna hapo siyo bure,labda Edgar alishatembea na huyo binti,sasa akaamua kumpotezea hivyo
@abdulabasi33336 сағат бұрын
Wajamen huku Mwanza hatuwapati kabisa tangu wiki jana
@user-vt1qw4lo9i6 сағат бұрын
Mimi mwenyewe nimeshawahi kusingiziwa kama hivyo pole Mungu amesha kuvusha.
@johnenos2337 сағат бұрын
Mbona Chuchu hans yupo karibu na masha love?
@hadija_makange8 сағат бұрын
Daaah 🥹🥹nimeumia sana wallahy
@KingRaja-fy9gh14 сағат бұрын
Bado hatuja lala taj
@MsAggie514 сағат бұрын
Sisi kizazi hiki tunajifanya wasomi na wa kisasa kiasi cha kutosikia tukionywa haya ndo matokea yake. Labda wangemwambia Edgar kuna laana kwa mkewe labda angetafuta ufumbuzi
@claramboya201815 сағат бұрын
Saa nyingine tujifuze kutii kauli za wazazi wetu😢pole sana teacher eddiga
@iantussa906417 сағат бұрын
Duh!
@jumapiliissa483518 сағат бұрын
Aisee pole sana eddiga watu wajifunze kauli za wazazi nimuhimu kuzifata ili kulinda amani yako
@MsAggie515 сағат бұрын
Tukisoma hatuamini tunayoambiwa na wazazi. Hilo ndo tatizo.
@jamesmrina151018 сағат бұрын
Mbona simulizi ya saa nne ma nusu haipo huku na ile simulizi ya saa tano kamili
@zayabdala-ky9dg4 сағат бұрын
Kumbe Kuna zingine
@IbrahimMohamed-eq4ek18 сағат бұрын
💯💯💯
@user-lc2zy8ej6p18 сағат бұрын
jamn simba tunaumia sn
@user-lc2zy8ej6p18 сағат бұрын
Apolsn
@zayabdala-ky9dg19 сағат бұрын
Nimewahi Leo nipeni maua yangu 😅🎉
@arnoldkimario280818 сағат бұрын
Mpaka muda huu saa3 uko peke yako.
@zayabdala-ky9dg4 сағат бұрын
Walikuwa bz na sikukuu
@StanleyMiyeji-ys1wm22 сағат бұрын
Balozi wa mloda Nawapata vzr kutoka zanzibar
@nolimittvonline6822Күн бұрын
Mimi sina rafiki na siwezi kuwa na rafiki tutaongea tuu na mtu yeyote ila mambo yangu nimejifunza kuyamaliza mwenyewe na sali sanaa na muomba Mungu Anilindie ndoa yangu bc
@IbrahimMohamed-eq4ekКүн бұрын
💯💯
@IbrahimMohamed-eq4ekКүн бұрын
💯💯
@ChadoGangstarКүн бұрын
*Noma sanaaa*
@jedidahbintidaudi8241Күн бұрын
hii kama imerudiwa vle..
@user-di8gb4ex6wКүн бұрын
Da Vero tabora redio haishiki jaman
@nolimittvonline6822Күн бұрын
Roho yangu ningemchukua hyu bint kimya kimya mpka hospital apo nishaongea na docta wangu hyo mimba inatolewa ikiisha apo na mpandisha gali akafie kwao na sm na mnyanganya
@nolimittvonline68222 күн бұрын
Ndugu wa mume Mungu hawalehem kwakweli wanaalibu sanaa ndoa zawatu
@MatiasLimbo-bs4ur2 күн бұрын
Nakubali
@wemaMichael-fr4th2 күн бұрын
Vero acha kututania hiii simulizi ulishawahi kuisimulia kitambo kidogo sow usitufanye wajinga basi
@sylviakitalika97192 күн бұрын
Hata mimi nimesema hivyo, lakini hii ipo tofauti kidogo