JE, NI KINA NANI AHLU-SUNNAT WAL JAMAA?
1:19
Пікірлер
@issaissa6711
@issaissa6711 2 күн бұрын
Jazaaq llah kheir sheikh Hemeid
@issaissa6711
@issaissa6711 2 күн бұрын
Jazaaq llah kheir sheikh Kassim
@issaissa6711
@issaissa6711 2 күн бұрын
Jazaaq llah kheir sheikh Kassim...
@issaissa6711
@issaissa6711 2 күн бұрын
Jazaaq llah kheir sheikh Kassim
@Abuufawzana
@Abuufawzana 3 күн бұрын
MaashaAllah ni kweli kabisa shaikh abulfadhwl ALLAH akuhifadhi
@issaissa6711
@issaissa6711 8 күн бұрын
Allah atujaalie imaan ya kweli...
@YusuphSadiki
@YusuphSadiki 14 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@imperfektservantt-e8b
@imperfektservantt-e8b 19 күн бұрын
Mara nyingi huwa nasema lau kama tungelijua neno Salafi maana yake haswaa basi ingebaki vita baina ya salafi na watu wa bidaa ila kutokana na kutojua salafi maana yake ni ipi ama kuijua maana kisha kutoikubali maana hiyo na kuja na maana zetu wenyewe tutegemee hizi rudud zenye maneno ya kudhalilishana ndani kutoisha. Huruma kubwa kwetu sisi tunaotafuta haki kila uchao fulani hafai fulani mtu wa bidaa hujui umshike nani, hao tunaowaona ni wasomi ndio wanaougawa uislamu alioamrisha Allah سبحنه و تعال uwe kitu kimoja, Duat wamekuwa na team ukiwa team fulani hata ukiona haki team hii hukubali, ndio salafi walivyokuwa hivi??
@mohamedally121
@mohamedally121 21 күн бұрын
Hii ni fitna kubwa unaileta, alafu wewe si msomi wewe
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 26 күн бұрын
JAZAKRLLAH KHAILLAH SHEHE KWA UKUMBUSHO
@AthumanAthuman-b6q
@AthumanAthuman-b6q Ай бұрын
Kwani wewe mzungumzaji ninani?
@loqueclips1481
@loqueclips1481 Ай бұрын
Tunamuomba ALLAH mwisho mwema
@MohdIsmail-ud1gl
@MohdIsmail-ud1gl Ай бұрын
NYINYI NI WAPOTOSHAJI NA NI WAFITINISHAJI WA UMMA WA KIISLAM MNAJIFANYA MWAFUATA SUNNA KUMBE NI WALINGANIAJI WA MOTONI WAHUNI WAKUBWA
@kassimabdalla2359
@kassimabdalla2359 Ай бұрын
بارك الله فيك وجزاك الله خيرا يا الشيخ. اللهم إجعلنا حسن الخاتمة.
@aminaosman3315
@aminaosman3315 Ай бұрын
,tofauti yao answari suna wanapenda Mali Sana hawajali Kula haki za mayatima.
@drmahwa8166
@drmahwa8166 Ай бұрын
Mbona masalafina ninapenda fitna?
@AlmannahGroup-ry6zy
@AlmannahGroup-ry6zy Ай бұрын
جزاك الله خيرا
@Ramadhanabdulkarim-y1c
@Ramadhanabdulkarim-y1c Ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخنا الفاضل
@Ramadhanabdulkarim-y1c
@Ramadhanabdulkarim-y1c Ай бұрын
❤❤
@Ramadhanabdulkarim-y1c
@Ramadhanabdulkarim-y1c Ай бұрын
بارك الله فيك يا شيخنا الفاضل ❤
@KatemboJeremica
@KatemboJeremica Ай бұрын
Maa Shaa Allah barakallahu fighan sheikh
@rushu1232
@rushu1232 2 ай бұрын
Nawanaoswali mwatoa kwenye uislamu mbona hamueleweki.
@salumkadewa5102
@salumkadewa5102 2 ай бұрын
Barakallahu fikum
@saidaheri9200
@saidaheri9200 2 ай бұрын
Assalm alaykum warahmatullah wabarakatuh, darsa nyengine tutazipata wapi?
@atharusalafitz
@atharusalafitz 2 ай бұрын
Walaykum salaam warahmatullah wa barakatuh, zipo chini kabisa zimetumwa mwanzo mwanzo.
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 2 ай бұрын
Twahiby shekhe na kuunga mkono aya ipo wazi wasidhihirishe mapambo yao uso bado ni fitna na mapambo kwa mwanamke,ila kuna mijitu enyeww inatafuta uhalali wakutembeza wake zao uchi ndo utakuta wanakanusha aya za mwenyezi mungu,mukadhabuna arafu wanajiita waislamu wao kila kitu ni wapinzani kwa allah, wanakuambia mwanazuoni wengine wanasema hivi wanazuoni ni nani ikithibiti aya za allah wao hujitahidi kwa kiasi chao waweza patia au wakakosea pia ila walosema hadi uso ufunikwe ndo wamepatia na kwa dalili za aya za allah sasa ukiamua mtembeza mkeo kwa ushungi tuu kichwani fanya ww ila hiyo kauli ni dhaifu kabisa sabu uso bado ni fitna kwa mwanamke ishallah
@KASSIMFUNDSIMU
@KASSIMFUNDSIMU 3 ай бұрын
Masha Allah
@user-zg4zj2cf2q
@user-zg4zj2cf2q 3 ай бұрын
Jadhakallah
@user-zg4zj2cf2q
@user-zg4zj2cf2q 3 ай бұрын
Jadhakallah kheir
@HajiDibwa
@HajiDibwa 3 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhil Qassimu mafuta Qassimu
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 ай бұрын
Ma shaa Allah sheikh
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 ай бұрын
BarakAllah fiyk
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot 3 ай бұрын
Shukran
@user-yp6sq9pp2k
@user-yp6sq9pp2k 3 ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh
@twahaayubu8686
@twahaayubu8686 3 ай бұрын
Mi Sijasikia Chochote
@twahaayubu8686
@twahaayubu8686 3 ай бұрын
Mbona Haina Sauti?
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 3 ай бұрын
Ewe Allah mbarik huyu shaikh.....mpe umri mrefu
@twahaayubu8686
@twahaayubu8686 3 ай бұрын
Sijasikia Chochote
@allywaziry6419
@allywaziry6419 3 ай бұрын
Maa Shaa Allah....!!!!!!!!!!!!!
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 3 ай бұрын
Allah akubarik ya shaikh.akulinde ya shaikh
@user-xm3qk3gs7g
@user-xm3qk3gs7g 3 ай бұрын
ongo hiloo bala
@amenakenya7993
@amenakenya7993 3 ай бұрын
Allah akuifadhi shek wetu Allahuma Amiyn
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 ай бұрын
✅✅✅✅✅
@ALIKHAMIS-un4fv
@ALIKHAMIS-un4fv 3 ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh wetu Abuu fadhwil Qasim mafuta
@omarikhalifa9413
@omarikhalifa9413 3 ай бұрын
Allah amuhifadhi shekhe wetu
@icmarealhd6505
@icmarealhd6505 4 ай бұрын
Jazakallah khair
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh kassimu mafuta .nakupenda kwa ajili ya Allah ❤
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh kassimu mafuta .nakupenda kwa ajili ya Allah
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh kassimu mafuta .nakupenda kwa ajili ya Allah ❤
@HajiDibwa
@HajiDibwa 4 ай бұрын
Allah akuhifadhi sheikh kassimu mafuta .nakupenda kwa ajili ya Allah
@user-dn8qm3hf6e
@user-dn8qm3hf6e 4 ай бұрын
Mashallah sheikh
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e 4 ай бұрын
Swali hilo amewahi kuulizwa shekhe Abdulaziz bin baazi kuhusu answari sunna kasikilize vzr fatuwa zake mtandaoni,kuna watu huwabughuzi answari sunna shekhe alikanusha laa wanafata mwendo wa mtume, wanalingania sunna,wanapiga vita bidaa na watu wa bidaa na hukataza shirki na kueneza tawhid wao wanafata mwendo wa salafi wema walotangulia nikatika ahlsuna wali jamaa kwahiyo wala hamtusumbi kitu na hiko chama chenu kilichojikusanya sehemu moja mkajiita masalafi wakati matendo na mambo yenu usalafi uko mbali na nyie