Пікірлер
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 2 сағат бұрын
Sema brother ❤
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 3 сағат бұрын
Hongera sana My Wazir,fanyeni mpango wa kutanua njia pale Kiwalani maana hakuna segemu ya watembea kwa miguu wala waendesha baiskeli.Mfano kwa Binti Mussa,Bombom,Yombo
@georgewilliam6001
@georgewilliam6001 10 сағат бұрын
Na Jana wamekamata mbegu feki zaidi ya Tani moja...kumbe ni ya kweli
@dismasmtui729
@dismasmtui729 13 сағат бұрын
May peace not be upon you!
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 14 сағат бұрын
Nimependa iyo😂😂
@AmonSamsn
@AmonSamsn 16 сағат бұрын
Jamani pole sana ila serikali naona ingekazia xana Xperia za barabarani ili kuokuoa maixha ya abiria❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@augustinemukandara9341
@augustinemukandara9341 22 сағат бұрын
Chama cha majambazi!!! Wamekuwa wezi sugu kiasi cha kujiibia wenyewe
@BristinaMmassy
@BristinaMmassy 22 сағат бұрын
Amenunaaa😂😂
@MussaNgosi-tk6cu
@MussaNgosi-tk6cu Күн бұрын
Kamaninyi munaibiana yvamavingine mutavifanyaje
@erickmtega726
@erickmtega726 Күн бұрын
Ingekua chadema hapo ungeona mabomu ya machozi
@JohnMagudi
@JohnMagudi Күн бұрын
Kama imekuwa hivi kwenu wenyewe itakuwaje kwa mpinzqni?
@georgemahenge
@georgemahenge Күн бұрын
Mtoto wa panya nimwizi tu.
@kingngojea
@kingngojea Күн бұрын
Huuuuuuuuu oooooooo
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Күн бұрын
Jamani njoonihuku wezi wamejiibia
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Күн бұрын
Mungu anaibua uovu.wenu je.chedema mnawatukana kwanini nakuwadhalau kenge nyie nachama chenu chawanyanganyi
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Күн бұрын
MWIZI KAIBIA MWIZI. KUMEKUCHA.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b Күн бұрын
Chezea ccm wewe ccm ina wenyewe ,kura haiamui nani apewe uongozi HAYO NDIO MANENO YA NAPE NNAUYE ,SASA MUNAANZA KUGOMBANA WEWNYEWE KWA WENYEWE ,,MAJIZI YANAIBIYANA BONGE LA MOVIE
@MatumlaMatumla
@MatumlaMatumla Күн бұрын
Wote rangi moja
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf Күн бұрын
Sasa wewe umechoka nini kuibiwa wakati wewe ni mwizi pia haMa ccm
@healingclinic698
@healingclinic698 Күн бұрын
Haya tunayoaoona ndio yapo mpaka ngazi ya Urais tutajua tu ngoja paendeleeee kunyeesha Samia unakazi kubwa ukipita ukawa Rais labda Mungu aliekuumba awe amekufa
@HappyGondola-gs8cg
@HappyGondola-gs8cg Күн бұрын
kumbe wizi upo
@FRPBYPASSTZ
@FRPBYPASSTZ Күн бұрын
Mnatakiwa kujiajili kwenye ufugaji hayo mambo magumu vijana wenzangu
@FRPBYPASSTZ
@FRPBYPASSTZ Күн бұрын
Kumeanza kuchangamka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 Күн бұрын
Ngoja na mm nicoment Leo ..Ivi kimeumana maana yake nn?😂😂😂😂
@Hemedmikole-r9e
@Hemedmikole-r9e Күн бұрын
Wenyewe kwa wenyewe wanagombana duuh atuna viongoz tz
@HajjHajj-he6ey
@HajjHajj-he6ey Күн бұрын
Tafuteni watu wa wilaya nyengine wasimamie
@AmosKayega
@AmosKayega Күн бұрын
Ukiona chama hawa gombani juwa ni chama mfu
@AmosKayega
@AmosKayega Күн бұрын
Kama huwajuwi CCM utashangilia wakigombana kula za maoni ukifika uchaguzi wote kijani mtangoja sana embe chini yamnazi CCM oyeee
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Күн бұрын
Mwaka huu kiboko 2024 2025 kazi mbichi Tanzania imekuwa hali tete Mungu tunaomba Amani tu Tanzania
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Күн бұрын
Niñui wenyewe mnafañyiana chokochoko. Mnaibia wenyewe leo mnaona wapinzani wanaweza kuhusika.
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 Күн бұрын
Onjirinjingila Onjiringilae😀😀😀😀 Mwizi anamwibia mwizi mwenzie😀😀😀
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz Күн бұрын
Kweli mwizi kaibia mwizi mwenzie
@lovemagunda8583
@lovemagunda8583 3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@hassanalikombozanzibar1192
@hassanalikombozanzibar1192 Күн бұрын
Mumesikia maneno hayoo!??
@GilbertNhigula
@GilbertNhigula Күн бұрын
Wameleta Picha Mbaya Sana Ndani ya Chama Chetu ! Chama ni Kimoja !, . Wizi wa Kura wa Nini ?,
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Күн бұрын
CCM bila wizi kura!!. Wamezoea. Wenyewe kwa wenyewe wanaìbiana. Hapo hawajaiba za wapinzani.
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Күн бұрын
Duuuuh kumeanza kuchangamka ushindi wa lazima mwaka huu ngoja tuone Mm langu jicho🙄
@Mosesndahani
@Mosesndahani 2 күн бұрын
Mwizi kajiibia
@AllanLyombile
@AllanLyombile 2 күн бұрын
Mama Samia hiki ndio chama chako sijuwi tukupe hongera au pole? Taifa tunaloliandaa litakuwa la ajabu sana.
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 2 күн бұрын
Chama oyeeeeeeee
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Күн бұрын
CCM OYEEE! KUMEKUCHAAA
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 күн бұрын
Kitoeni madarakani mmeona wenyewae
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 күн бұрын
Chama cha ovyo
@Frank-b2d6u
@Frank-b2d6u 2 күн бұрын
Wezi mnaibiana mnlaana
@festokemibala5832
@festokemibala5832 2 күн бұрын
Uhujumu na hii ni baada ya kubainika upungufu ktk kuandikisha wspiga kura. Kama nakala zipo bandikeni upya na kama mlifoji hapo ndipo mtihani ulipo
@JosephzakayoPius
@JosephzakayoPius 2 күн бұрын
Yani sas hiv tu tunaona mnavyo ibiana kwani hatuon acheni uwongo hasa wewe unae ongea ni muongo ccm mnaibiana wenyewe😢
@SwaleheLiyoba
@SwaleheLiyoba 2 күн бұрын
Ukombozi unakuja wameaanza kupigana wenyewe
@usafiaps318
@usafiaps318 2 күн бұрын
CCM Mnatia Aibu.Kumbe Hamuwafanyiii Wapinzani!!!!!
@danielkanso
@danielkanso 2 күн бұрын
Mhhh mwenyewe nilisema kuwa jinsi mambo yanavyoenda na aina ya watu tulionao mhhh watatafunana wenyewe kabla ya upinzani kuwa vuruga zaidi
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Күн бұрын
MIRADI NI KODI ZA WANANCHI
@MsukumaBodaboda
@MsukumaBodaboda 2 күн бұрын
Njooni mjifunze korogwe tanga
@samwelclement8108
@samwelclement8108 2 күн бұрын
Hayaaaa kashindanen. Wenyew. Si hamtak. Ushimdan
@noelmakere1381
@noelmakere1381 2 күн бұрын
Wapumbavu ninyi ccm Mwogopeni Mungu
@samwelclement8108
@samwelclement8108 2 күн бұрын
Safiiiiiiii
@samwelclement8108
@samwelclement8108 2 күн бұрын
Kama nyie wenyewe. Mnaibiana. Je. Kwa wapinzan. Tusemeje uaneni. Tu