Hakuna mafanikio bila maumivu solution ni kuchutama tuumize kichwa tuache kutegea
@TobiasAlexander-o2t2 сағат бұрын
Akiingia CCM akili zake zote zinakufa.
@richardcastromzena51363 сағат бұрын
Fikra tunduizi
@shyfettymtunda46194 сағат бұрын
Kwahiyo wanda na tononoka zina maana moja,sio?
@jacksonngusi41224 сағат бұрын
Huko nyuma walikua wanasema maliza haraka ili waongee utumbo wao
@davidnhamanilo638920 сағат бұрын
Huyu kijana ni tunu ya taifa... Serikali imupe nyenzo zaidi Ili aje asaidie taifa kwa upana zaidi
@KijanaMsemakweli21 сағат бұрын
Nimeelewa speech yake haswa kwenye statement yake ya mwisho kwamba "tutakuwa wajinga haswa zukidhania paka waweza kujifunga kengele"
@pitabarnaba678721 сағат бұрын
Wewe ni fundi kaka
@goodlucktarimo6170Күн бұрын
Harariii
@LuckySanga-t5hКүн бұрын
TUNAOMBA UTUANDALIE KAMUSI YA MANENO HAYA KIJUNGU JIKO MSALAGAMBO MTULINGA MAKADALA TAJAMALA CHONDA NA KIBURUTI CHATA NA TAMBO MKETO MAAMUMA
@juniorgodfrey1527Күн бұрын
FAKIRI WA MAFAKIRA
@dicksonmajaliwa127Күн бұрын
Hakika unahaki ya kupewa ubarozi wa kiswahili mungu akujalie zaidi hekima na busara ulio nao azidi kukuongoza ili usje ukakengeuka kwa kulewa sifa
@Akili9-h3kКүн бұрын
Kitabu tunakipateje?
@YusuphlalusaКүн бұрын
😂
@nathanpallangyo5244Күн бұрын
YOU ARE THE ONE OF MOST BIG LEADER IN THE WORLD, AFRICA AND TANZANIA MY BEAUTIFUL COUNTRY
@nathanpallangyo5244Күн бұрын
KUNA KUSUDI LA MUNGU KUBWA NDANI MUNGU AKUJALIE KULIFIKIA NA KULITENDA
@marandoruzali19462 күн бұрын
Nakukubali sana
@LemiMgaya2 күн бұрын
Mfano wa kuigwa na hazina ya taifa hakika tunaitaji waafrka wengi Kama wewe
@chiefnorbertkangalu14032 күн бұрын
Hv hao wanaoptapta huko nyuma hawawez kukaa na kutulia kucklza hotuba? Wanaleta usumbufu sana kwa watazamaji... wape salam mzee wa Bakita ila leo hujacheka kle kcheko chako😊
@EliudiJastini2 күн бұрын
Nakukubali sana joramu napenda kukusikiliza ukiongea maneno ya wazee wetu wazamani 🙏
@charlzmboya2 күн бұрын
NAMKUBALI SANA HUYU KIJANA MWENZANGU ...NATAMANI SANA HUYU GINEUS AJIUNGE NA CHADEMA ATAPATA SAPOTI KUBWA SANA KULIKO KUISHIA KULE CCM...
@johannesjoseph74962 күн бұрын
Ulumbwi adi huku kwenye english
@papafikiri2 күн бұрын
Ni Magufulification sio magulification.
@johannesjoseph74962 күн бұрын
Kichwa safi hiki
@saidkajagale37162 күн бұрын
Anatondoa utondozi Kwa uketo
@franklechipya68282 күн бұрын
Napataje vitabu vyako nipo Dodoma
@basilhongoa67283 күн бұрын
Huyu anauelewa mkubwa na brain 🧠 yake iko na fikira chanya, vijana umetuheshimisha
@elifariji3 күн бұрын
DearJoram, I had a chance to listen to one of your speeches at Nkuruma Hall, University of Dar es Salaam. I was highly inspired, the way you addressed and contained the audience. Though it was a short speech, I'm sure they have learned something. All the best Joram. I'm sure you're amongst our future leaders.
@jamesbillochamgiu85233 күн бұрын
Asante, Professor PLO Lumumba I confirm you're inspiring many on my wall page.
@LizaniaGerson3 күн бұрын
Hongera sana joram
@lwanzalionay80783 күн бұрын
Hii ni saada na sudi kumsikiliza huyu mtu mwenye fikra tunduizi mlumbi Joram Nkumbi
@ntegrity2773 күн бұрын
Tumia kiingereza kama msomi, tumia lugha ya dunia sio kiswahili lugha ya kienyeji
@colmanmfoyi28053 күн бұрын
Kwan kufahafu English ndio kuwa msom😂😂 fikra finyu
@BULLETGUNTRADERS2 күн бұрын
Pumbavu. Kingereza ni lugha kama lugha nyingine ya mawasiliano. Mubashara kwa kingereza nin ninj? Tazam french,china,Russia, Spain, Italy,arab wanatumia lugha zao mara nyingine hata wakiwa nchi zingine isipikuw ambassadors (balozi)ktk nchi husika. English itatumika mahal itakapotakiwa kam ni kweny vikao vys kimataifa vya maamuz na kimkakati. Ongeza matumizi ya akili zaid ktk nyakat hiz
@TM.Sullusi2 күн бұрын
Halafu ndo unajiona msomi😂😂😂, kwani hiyo hadhira hapo haielewi anachozungumza? Hata hicho kiingereza unachotaka amekizungumza pia, kama kweli Umesikiliza Hadi mwisho😂😂
@aronathanas49972 күн бұрын
Ndipo utajua ukoloni umewatawala. Kwahiyo kiingereza ndiyo usomi? Acheni ujinga na kiingereza chenu. Kiswahili ni lugha ya Africa na ni lugha ya dunia. Hivyo kiingereza siyo suluhu ya fikra tunduizi
@jactonmoris30342 күн бұрын
Acha ujinga
@juliusosoroomwoyo88483 күн бұрын
Banae, ninakuhusudu sana Najua Mola atanipa abra ya kukutana nawe unipe mbaraka kakangu. Unaniaminisha kwamba kuwa Kuna wachache ambao wanaamini kuhusu ili suala la uanamajumui. Rabaka akubarikie sana
@ElizabethMelaisho3 күн бұрын
NI MSIMU MPYA!
@hosenisamweli55003 күн бұрын
Barikiwa Sana Joram Mlumbi
@fatmamsindi46123 күн бұрын
Hongera sana son, nice speech
@kinanaissango34924 күн бұрын
Smart speech
@Danielchikusela4 күн бұрын
Kak naomba namba yako please
@jamesbillochamgiu85234 күн бұрын
Learn Swahili like me.
@ladslausnkanabo49914 күн бұрын
Tutaongea sana ila hayo únayoongea ni kubadili mitazamo kulingana na Dunia inapoelekea mf wasomi wa Kenya ni tofauti na wasomi wetu? Wa Tanzania kwani wamejenga ujasiri wa kwenda popote Duniani kufanya kazi au biashara kwa kuwa Serilikari yao haina ajira za kutokutosha . Ila tz wasomi wengi ni waoga sana mda mwingi anatem bea na vyeti na ukiangalia mazingira ya kufanyia kazi ni mazuri kikubwa kujitambua ma uthubutu
@rumdeesonsoa18114 күн бұрын
Wanaogopa kwenda nje maana hawajui Kiingereza
@afyayakoelimika3 күн бұрын
Kiingereza ni usenge tu, kinafaida gani kwako@@rumdeesonsoa1811
@athanaskalihamwe30463 күн бұрын
I once had my boss when working with UNICEF, he once said to us that, who cares about English, what matters is content and confidence. Ni baada ya wengi kuwa wanaogopa kuomba nafasi za kufanya kazi nje. Those who were inspired are now working in different countries. Kiingereza ni lugha tu wandugu.
@rumdeesonsoa18113 күн бұрын
@athanaskalihamwe3046 Not knowing English makes people less confident especially for Tanzanians. I witness that all the time. Wakiona mzungu anaongea Kiingereza pekee wanajaribu kumuavoid. Utawezaje kuanzisha mazungumzo na mtu ambae hujui lugha yake na ukizingatia conversations bring opportunities? Kujifunza lugha zaidi ya moja ni jambo la muhimu. Nimeshuhudia vijana wengi wamepata fursa mbali mbali kwenye nchi za wazungu just by starting conversations with them in English. Ukikutana na mzungu mtaani ataanzaje kukwambia kuna fursa fulani inapatikana Uingereza, Canada au Marekani ikiwa hujui Kiingereza?
@MhinaLwassaКүн бұрын
Tanzania! Majina tu degrees. Hata huku mashulen ukiwasikiliza walimu wenyewe wa kiingereza utalia machozi. Less than you can imagine. Hopeless. Tumajinadi kiswahili! Unahusianaje na jumuiya ya kimataifa na hujui lugha Yao.? We lie to ourselves. Hata tukiwa wajuzi wa lugha yetu, are we sure tuna Kila kinachotakiwa kukifanya kiswahili chetu kituweke kwenye uwanja wa kimataifa wa kiumchumi, kiteknolojia na kisiasa?
@ElishaMkumbwa-h6r4 күн бұрын
Smart Guy
@joramunkumbi4 күн бұрын
Mambo 8 ya Kuzingatia 1. Kila mwanadamu lazima aamue kama atatembea katika nuru ya utu na uungwana kujitolea Maisha yake yawe Msaada kwa wengine ama atatembea katika giza totoro la ubinafsi na uharibifu kuumiza wengine. 2. Sayansi huchunguza, dini hutafsiri. Sayansi humpa mwanadamu maarifa, ambayo ni nguvu; dini humpa mwanadamu hekima, ambayo ni utulivu na nidhamu binafsi. Sayansi hushughulika zaidi na ukweli unaoonekana; dini hushughulika zaidi na maadili. Vyote viwili si mahasimu. 3. Ni lazima tutumie muda kwa ubunifu, tukitambua kuwa kila wakati ni mwafaka wa kufanya lililo sahihi. 4. Hakuna jambo la kusikitisha zaidi kuliko kumpata mwanadamu aliyekwama katika matope marefu ya maisha bila kuwa na upana wa uhai. 5. Mali imekusudiwa kuhudumia uhai na roho za Watu na haijalishi ni kiasi tunaipa mali heshima na hata kuisujudia, mali yenyewe Binafsi si uhai. Mali ni sehemu ya ardhi ambayo mwanadamu hutembea juu yake. Kosa la msingi ni kutumia Mali kutoa Uhai wa Wengine na hata kuumiza wanyonge. Kosa hili litakuwa na Adhabu kali kihama. Maana Maskini ni Mashaidi wa Mungu wanahukumu Kila siku mwenendo wa matajiri. 6. Kazi ya elimu ni kumfundisha mtu kufikiri kwa kina na kumpa fikra tunduizi. Fikra tunduizi pamoja na tabia njema hiyo ndiyo shabaha kuu ya elimu ya kweli. 7. Huenda sisi sote hapa tumefika kwa kupanda meli tofauti, lakini sasa huko tunakoelekea lazima tuwe ndani ya mashua moja ya utu na uungwana. 8. Kazi yoyote inayoinua utu wa mwanadamu ina heshima na umuhimu, na inapaswa kufanywa kwa umakini na ubora wa hali ya juu. Kazi njema ni Ibada Mungu anaipenda hiyo.
@isaacthomas78884 күн бұрын
Nakukubali br
@DismasKaitanga4 күн бұрын
Toka nmeanza kikufatiliaa napata experience tofauti kuhusu ya maisha kuna point niliipata kwenye speech zako kuwa ""mtu hutakiwi kuishi kama mnyama l,kula na kulala"" imenifanya nitafute maarifa huku nikitafuta ugali.......thanks BRO
@MathewIgulu3 күн бұрын
U-joramisho Wa kiswahili...
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA4 күн бұрын
the start is now
@davidmjatta84134 күн бұрын
Urumbi kila pahala barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
@syliviabebwa67084 күн бұрын
Nahitaji kitabu?
@syliviabebwa67084 күн бұрын
It’s important for everyone to listen and understand what is spoken in this video. VERY IMPORTANT 😊
@mudrickabdallah72516 күн бұрын
And I'm gonna ask you to bless me one day inshaallah
@mudrickabdallah72516 күн бұрын
Damn😮
@bulayaconfidential72126 күн бұрын
Nilipokuona kwenye yale mafurushi ya kijani ma vyura wa manjano na machawa bora kuliko akina mwijaku&baba Levo hapo ndio niliamini kuwa sina haja ya kuamini mtu mwenye vinasaba vya kijani, mlumbi ulizingua sana hata vitabu vyako naviona sawa na vya yeriko Nyerere ofa ofa na havina ushawishi kisa kuwa muunga juhudi 😢😢😢
@toughffulintime65347 күн бұрын
Heshima kubwa kwako ndugu,hekima Iliyotukuka hii juu yako