Wow! What an incredible performance of Ni Wewe Pekee by Viking. The energy, passion, and connection to the audience were absolutely breathtaking. Truly a masterpiece that touches the soul-well done!
@ahmed5912221 күн бұрын
Rest in peace King
@rehemamahendeka-rm2ek23 күн бұрын
Yaaani hakika"ya kale ni dhahabu",nimemkumbuka patna wng Siri Mkongopele(Mkumba),hatari tupu.
@RyanMbage23 күн бұрын
Reminds me of my two late brothers
@Pastoryeri-u7u24 күн бұрын
My love for this music have no match
@DominickKubo24 күн бұрын
Inanikumbusha marehemu baba mzee Kubo alikua anaupenda sana huu wimbo
@robertmbelwa162226 күн бұрын
great song for us who are far away from our loved one
@walterodhiambo310826 күн бұрын
Nostalgia
@mahyorokalokola401228 күн бұрын
Shabaan Dede kwenye ubora wake. Hapo alikuwa anawapiga vijembe Juwata Jazz ambao walitaka kumrudisha tena baada ya kumfukuza na kumnyang'anya sare za bendi yao hadharani akakimbilia Mlimani Park.
@SimonZani-z6z29 күн бұрын
S
@joycekitundu9335Ай бұрын
The best song ever ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@IddaItuga-o9dАй бұрын
Nakumbuka mbali sana
@IbrahimuAhamediАй бұрын
You.listen.for.free.no.charge
@hamisikipita7946Ай бұрын
Na kwenye hvyoo vipande vipande vya wanamuziki wanapiga ktk uwanja hapo ni jamhuri stadium dodoma
@shabanimakambo8959Ай бұрын
Sendema
@ابنعثمنАй бұрын
4:38
@ongoradhiangАй бұрын
Reminds of my late parents. While growing up in Kisumu Kenya
@EMMANUELGOGADEАй бұрын
Daaah nakumbuka mbali sana mpenz luta cha zaman, zahabu Wimborne mzr sana tupo pamoja 2024
@ShukuruTamla-lp6tmАй бұрын
Nakumbuka narudi toka shule ya msingi minazimirefu ukonga naelekea nyumbani ilala mtaa wa bukoba. Mfukoni sina hata shilingi moja baada kulipa nauli ya mabasi ya UDA.
@fadhilimohamedi833Ай бұрын
Kwenye hili songi mpiga gitaa apewe mau yake
@EmanuelMuna-w2q2 ай бұрын
R.I.P King Kikii. Poleni sana wanafamilia ya King Kikii, ambaye ni mwanamuziki nguli na mkongwe sana hapa nchini Tanzania. Miziki ya King Kikii itaendelea kuishi milele na daima.
@DesyNdolezi2 ай бұрын
RIP
@wilsonmalias31222 ай бұрын
RIP mzee wangu king kiki ulituburudisha vizuri sana
@patrickmwangi-b8v2 ай бұрын
Very nice vocals and arrangements
@AthumaniPonda2 ай бұрын
Kasheba bado tunakumbuka
@OthmanuBwete2 ай бұрын
Nakumbuka pele urafiki Niko mdogo
@CSYA-fh7kf2 ай бұрын
Merci Alain kombo y’a Chez biso uva mosala kitoko.
@CSYA-fh7kf2 ай бұрын
Tu fais notre fierté Maestro. Uva a un ambassadeur dans la musique mondiale.
@CSYA-fh7kf2 ай бұрын
Dekula collègue Shuni Kalu
@JusthaRevelian-kb5zc2 ай бұрын
So nice song
@SolomonMahlambi2 ай бұрын
Wonderful
@ngairasunday26512 ай бұрын
These golden oldies are just so authentic & real.I like this song especially how it transits from the begining to the end.Nice classic
@keterwilly53072 ай бұрын
Muziku wa hadhuhuri muziki taratibu in kbc radio taifa in kenya.very nice music
@IddyMkanula3 ай бұрын
Bwisi baa
@IddyMkanula3 ай бұрын
Wapi zamani chini ya mti
@NuruSalehe-d3b3 ай бұрын
Nakumbuka mwaka 1982 nikiwa darasa la tatu kitambo sana kipindi kilikua mchana mwema
@saymonipatrick3 ай бұрын
wakati huu hautoludi tena
@BashulileKangere3 ай бұрын
Beu'beu kwe benembuga
@christinainnocent31843 ай бұрын
Yes that was in Dar es salaam Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 back in 1980s to 1990s at Wapiwapi bar they use to perform every weekend. Ohh that was the never miss dancing days. Wale wazee wenzangu mnakumbuka teremuka teremuka chekechaaa💃💃🕴️🕴️🕴️
@tigiyamhulilo143 ай бұрын
Hahaaaa zilipendwa mkono juu😅😅😅
@BICCOPROTAS3 ай бұрын
Shegy alinifundisha kuimba tukiwa kimara mwisho mpaka leo ñaomba namkumbuka shegy