Пікірлер
@fareedelewa2553
@fareedelewa2553 40 минут бұрын
Safi sana, hii ni kubwa sana... Hongera sana RPC Dodoma, na afande wetu shedafa umefanya kazi kubwa
@eddytunechi8630
@eddytunechi8630 16 сағат бұрын
Mmesahau kumuhoji silanga
@SuleimanRashid-br6wf
@SuleimanRashid-br6wf 2 күн бұрын
Mfahamishe mwenyekiti mpyaa.bwana lisu mstaafu umemsikiaaaa.
@AzathSeph-x9b
@AzathSeph-x9b 3 күн бұрын
Safi
@WilsonMayeka
@WilsonMayeka 3 күн бұрын
Pamoja
@robertgallus85gallus52
@robertgallus85gallus52 3 күн бұрын
Waone aibu wawajengee uwanja wenye uwezo wa Ku accomodate wananchi wengi
@DanielMbilinyi
@DanielMbilinyi 3 күн бұрын
Sawa bajeti hipo lakn nzuguni bado kunachangamoto kubwa sana ya huduma za jamii hasa barabara
@Goofyplayz-fj3ce
@Goofyplayz-fj3ce 4 күн бұрын
This is so touching!
@BrightBrain-c7s
@BrightBrain-c7s 4 күн бұрын
Nyinyi ni bavicha au ba vichaa
@sylvesterernest9582
@sylvesterernest9582 4 күн бұрын
KWA MUNGU KUNA RAHA
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 4 күн бұрын
BabaParoko anaonekana hana raha kulikoni?. Anaogopa wasiojulikana?.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 күн бұрын
Wewe ndie mwenyekiti wa watanzania wote wapenda haki ✌🏿❤️
@evelina9621
@evelina9621 4 күн бұрын
Niko.na.nyiyi.ndugu.zangu.nimefurahi.sana.tuko.pamoja.mtoto.wetu.doratus.mahinyila.mungu.àkutunze.akuinulie.usu.wake.akuangazie.nuru.yake.watanzania.waone.wema Wa.mungu.juu.mamàevilina.mima.
@WilsonMayeka
@WilsonMayeka 4 күн бұрын
Pamoja
@DanielMbilinyi
@DanielMbilinyi 4 күн бұрын
Mungu akusimamie akusimamie katika uongozi
@KavuMsangi
@KavuMsangi 4 күн бұрын
Hongera bro Deo
@EvaMwashambwa-m9l
@EvaMwashambwa-m9l 5 күн бұрын
Hakuna kulala
@augustinozozoo7099
@augustinozozoo7099 5 күн бұрын
Kakikundi ka wahuni
@SarahPaul-tj3ff
@SarahPaul-tj3ff 6 күн бұрын
Hiiii ndo bereg yetu kila la kheri mdog wangu katika kazi zako
@maloshangaileyoutubechanne3859
@maloshangaileyoutubechanne3859 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂WASILA KAWAWEZA KWELI KWELI
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 6 күн бұрын
Zungumzieni sera zenu achaneni na Wasira mnapoteza muda! Tengenezeni nyumbani kwenu musa unakwenda! Nyie mtatufanyia nini cha ajabu?? Kutwa kulalamika! Mnatuchosha bwana!
@samwelmabula5642
@samwelmabula5642 6 күн бұрын
Chadema mnasikutisha sana na nimeamini mmeishiwa sera kum attack wasira ni ujinga mnafanya wasira si chama na wala wasira hafanyi maamzi popote,wasira kuwa mwenyekt msaidiz haina maana kwamba yeye ndio msemaji wa kila kitu ilani ya ccm inapitishwa na kamati kuu,huyu wasira ndani ya ccm n mdogo sana na hana impact ccm inapopitisha ilan tena iliyoskliza mawazo ya wananchi kuna wataalam ambao wapo serkali wanatekeleza yale ccm imeahd kwa wananchi,wasira anaingiaje hapo 😂😂 ikosoeni ccm na si wasira hakika awamu hii tutawapiga majukwaani,afu pia mjue ccm inaakili nyingi kumuweka wasira pale na unafaham kanda ya ziwa inakalibia nusu ya watanzia unahis ccm ispofanya hvo kura za kanda ya ziwa nan atazitengenezea mazngra kanda ya ziwa wajiskie poa,acheni nyie chawademu siasa ni sayansi na ccm itaendlea kiwachakaza,afu ww bwana mdogo piga mazoezi ya speeching bado sana kidogo pambalu alikuwa anajua,nakushauri tafuta tone ya kisiasa afu toa hoja zinazoweza kusimamisha nchi kwa dakka chache watu waseme chadema kulikoni sasa ww hata propaganda hujui,nkutakie kila la heri
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 күн бұрын
Kweli nye chadema ni vicha si mlisema huyu ni mzee sasa mbona wote mnashinda naye kweli Wasira umewchemsha Hadi vijana 😂😂😂😂
@JosephatChristopher-b8v
@JosephatChristopher-b8v 6 күн бұрын
Sw
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 6 күн бұрын
Sasa hivi wameongopewa wakina mama kuna pesa za Mama Samia za Mikopo Wanawake hawajazipata tokea kipindi cha Serikali aa mitaa waliongopewa hamna kitu
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 6 күн бұрын
Shida mnaita media alafu unaongea utumbo chadema wanaongea fact mzee achana na sera dhaifu dodosha hit
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 күн бұрын
Chadema wanaonge mavi shenzi wewe
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj 6 күн бұрын
Trumpo anamiaka mingapi, huna hoja
@emanuelmwakasungula3052
@emanuelmwakasungula3052 6 күн бұрын
Kwanza anahamasisha ushoga hiyo hanemon ya CHADEMA aifafanunue
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 күн бұрын
Kwani siri chadema mashogaaaaa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 7 күн бұрын
JE HUYO MZEE WASIRA ANGEKUWA NDO RAIS TRUMP UNGEMWITA MZEEE?.
@KostaJoseph
@KostaJoseph 7 күн бұрын
KWAIYO MNAMANISHA WAZEE WOTE TANZANIA HAWANA MANA AKIWA MZAZI WAKO
@FabianSemba
@FabianSemba 7 күн бұрын
Kijana cheo walichokupa uko cha taifa ukija ccm utaanzia kwenye tawi hili uijue vyema siasa.......umri wako unaongelea personality kweli????wewe ndio unataka attention ya vijana wewe???? Ovyooo kabisa
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
@@FabianSemba hujamsikiliza vizuri umekurupuka
@FabianSemba
@FabianSemba 6 күн бұрын
@@Danielkashatila2024 wapi nimekurupuka? Hivi kujemga mtaji wa watu kwenye jamii ni kujenga hoja au kuongelea personality ya mtu? Ndio maana nimesema huyu alitakiwa kuwa mwenyekiti wa tawi wa vijana kwa Ccm hana ethics za kuongoza vijana taifa kwa chama chetu.....anaongea vitu mithili ya silesi za mkate.
@ErickyKatunzi
@ErickyKatunzi 6 күн бұрын
@@FabianSemba Nyie ccm mnahoja Gani kwa vijana,kama siyo kuwafanya misukule namachawa nahawana ajila.
@FabianSemba
@FabianSemba 6 күн бұрын
@@ErickyKatunzi mimi sio chawa ni kijana makini na ni zao la ccm......hivi unadhani serikali inaweza kumaliza tatizo la ajira duniani kote,ndio maana kuna sekta binafsi kijana...kwa Tanzania sekta binafsi imeajili watu wengi sana.......na yote ni mazingira inayotengenezea serikali kwa sekta binafsi.
@FabianSemba
@FabianSemba 7 күн бұрын
Kwa umri wako unapaswa kujenga hoja kwa maendeleo ya taifa na si kumsema mzee......wewe una safari ndefu kwenye nchi,unapata nguvu ya kumkosoa mzee wasira????
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
Na wasira kwa umri wake ndo anafaa kuambiawatu vibaya?
@JumaWaziri-d5x
@JumaWaziri-d5x 7 күн бұрын
Tatizo malezi huna
@patrickkalimoja5478
@patrickkalimoja5478 7 күн бұрын
Inawauma sana mboga mboga hii maana wao lazima watumie urimbo kupata watu.
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 7 күн бұрын
Siasa zisizo na Malengo ya Chama chako, hata wanaokusikiliza wanakuzomea hujui tu, unaongea upuuzi tu hapo dogo hujielewi!
@EdsonDaud-rg5jk
@EdsonDaud-rg5jk 7 күн бұрын
@@sixtusmayebwa5128 ameongea point we unao mpinga unaonekana we ni wale waiba kura za raia
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 7 күн бұрын
@EdsonDaud-rg5jk tafuta point 1 uiseme hapa aloongea, vipi wewe!!
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
​@@sixtusmayebwa5128amemwambia aache kuongea mambo yasiyogusa vijana
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 7 күн бұрын
Mithali 23:22 Msikilize baba yako aliyekuzaa, Wala usimdharau mama yako akiwa mzee. "Acha upuuzi kijana huo ni Uongozi wa Chama tu huna lolote kwa Taifa"
@joshuahamis2738
@joshuahamis2738 7 күн бұрын
@@sixtusmayebwa5128 Wewe ndio huna lolote kwa baba yako hata km anaongea utopolo umsikilize tu?
@Danielkashatila2024
@Danielkashatila2024 6 күн бұрын
Baba Yako hata akiongea matusi we ni ndio mzeee😁😁😁😁 punguza uchawa
@sixtusmayebwa5128
@sixtusmayebwa5128 6 күн бұрын
Muue ili urithi ukuu wake ndo Vijana wa leo
@philipongenzatv
@philipongenzatv 7 күн бұрын
Zeeee jinga
@philipongenzatv
@philipongenzatv 7 күн бұрын
Mpige combora
@mkingaJulius-u5y
@mkingaJulius-u5y 7 күн бұрын
Hilo lizee wasira kwanza lina tamaa ya madaraka tangia enzi za mwalimu mbaka leo hii
@thadeimatenga4397
@thadeimatenga4397 7 күн бұрын
Nayaona maccm yanavyo Comment. Dogo kasema ukweli wasira naye hekima sifuri kazi kuiongelea chadema tu.
@jacksonsawe2301
@jacksonsawe2301 7 күн бұрын
Kijana badilika acha kuongelea mtu Point less
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 7 күн бұрын
@@jacksonsawe2301 kwahiyo huyo mzee anavyomuongelea lissu ndio sawa,,wew ndio huna point shut up
@emmapaul1766
@emmapaul1766 7 күн бұрын
Ccm mmejaa mapumbavu na mashoga kama Hilo lizee lenu choko🪛🪛🪛🪛🪛
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 7 күн бұрын
Hatari
@HamimMbango
@HamimMbango 7 күн бұрын
Iko sababu ya wakuu was mikoa apo Tz nibora zaidi wateuliwe kama wanavyo teuliwa wa wabunge, ili tu tuweze kuwa na wakuu wamikoa wenye nidhamu na wanaichi kwani uyo mtu amekuwa akiyatumia vibaya madaraka yake,na baadhi ya wakuu wa mikoa apo ndiyo itakuwa ni dawa yake
@maneno_kairuki
@maneno_kairuki 7 күн бұрын
Nani anamsikiliza huyuu mpuuxi wa chadwma
@emmapaul1766
@emmapaul1766 7 күн бұрын
Machoko ya ccm tulieni mnyooshwe
@musasiame6138
@musasiame6138 7 күн бұрын
Mzee wasira😊😊😊😊😅😅😅😅
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 7 күн бұрын
Makongoro hoyeeeeeee
@NyarobiDotto
@NyarobiDotto 7 күн бұрын
Chadema kumbe huyu kijana ni mjinga kabisa chama hiki kinakwenda kufa je ajeda yako ni nini?
@emmapaul1766
@emmapaul1766 7 күн бұрын
Mjinga ni wewe na wanaokufila akiwemo huyo choko sokwe mzee mropokaji
@sylvesterernest9582
@sylvesterernest9582 7 күн бұрын
duh
@S.Almahrouqy
@S.Almahrouqy 7 күн бұрын
Tuambie fikra zako mpya ukianza kuzungumzia maisha ya mtu.unapoteza umakini wako ,tuambie ubunifu wa kuliongoza taifa,fikra zako
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 7 күн бұрын
HUNA JIPYA WEWE BALI KELELE TU....KWA CCM NYIE NI WACHANGA SANA
@emmapaul1766
@emmapaul1766 7 күн бұрын
Kama mzee wenu wasira Yuko hivyo nyie wapumbavu mtakuaje
@joshuahamis2738
@joshuahamis2738 7 күн бұрын
Wewe ni mwehu sawa tu na wengine kwahio hayo matukio ya utekaji na kuua watu yanafanywa na nani km sio ccm