Пікірлер
@michealkasanga2927
@michealkasanga2927 22 сағат бұрын
Kiboko kisiwepo la kukuvunja moyo unaeleweka
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi Күн бұрын
Siku hizi walokole wanakazi ya kuzikufuru kazi za Roho mtakatifu ndomaana kwenye makanisa yao hakuna hata nguvu ya uponyaji na hiyo ndo dhambi isiyo samehewa na MUNGU na nikupongeze kwa kazi nzuri ya MUNGU unayoifanya kwa watu wake achana nahao walokole ambao washa ucha UKRISTO halisi wamebaki na kazi ya kutumiwa na Ibilisi kupiga vita mtu anaye zifanya kazi alizozifanya YESU KRISTO kuponya vipofu vite kutembe na kufufua wafu. wakiona YESU KRISTO anakutumia kufanya hivo wanainuka kukupinga tena kwa matusi kabisa tayali wameshapoteza U KRISTO wamekuwa walokole siku hizi baba wewe piga kazi tukopamoja.
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi Күн бұрын
Piga kazi baba achana nahao walokole wanafiki wanaokukatisha tamaa na ninajua kwa nguvu na Mafuta aliyokupaka MUNGU hao wapiga kelele hawawezi badilisha chochote kwako sijui wao wanasoma Biblia gani isiyo ruhusu miujiza ya KRISTO YESU.
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Күн бұрын
KUNDI LENU MANABII MATAPELI NA WAWAKILISHI WA SHETANI TUNAWAJUA
@winniejohnson9458
@winniejohnson9458 Күн бұрын
baba na mimi naitaji msaada wa maombi nina roho ya kukataliwa
@AnnamarySeth
@AnnamarySeth 2 күн бұрын
Amen Baba
@SalomeKyamba-mk6zq
@SalomeKyamba-mk6zq 3 күн бұрын
Huyu kijana ni tapeli hamjui Mungu yeye ni mpinga Kristo
@VeiceNasson
@VeiceNasson 3 күн бұрын
Naomba niombee nateseka na magonjwa namtoto wangu Toka azaliwe Hana ufahamu mzuri kifafa v
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 5 күн бұрын
Huyu ni kiboko ya MKOROGO 😂😂😂 sugu kibao mkononi hakuna mtumish wa Mungu anafeki Hadi rangi ya mwili wake
@ernestkatyega5781
@ernestkatyega5781 5 күн бұрын
Huyu mwizi tapeli alaf anajichubua hakuna mtumish wa Mungu wa hivi ANAOMBA laki Tano ndio umuone wakati Yesu mwenyewe watu walimuona bure
@AlphonceSosela
@AlphonceSosela 6 күн бұрын
Naomba nitabilie Alphonce sotery sosela
@DenisSimon-u2o
@DenisSimon-u2o 6 күн бұрын
amee
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 7 күн бұрын
Kwanini mmekimbia Kongo na kuja kuhubiri huku Tz??
@johnmwakasungula9747
@johnmwakasungula9747 7 күн бұрын
Msanii huyoo anapanga watu
@StanleyChibwete
@StanleyChibwete 7 күн бұрын
Tembea na mikoani siyo unakaa mahalipamoja tu daresaalamutu na sisi tunahitaji hudumayako njoo dodoma kalibu sana
@SixtenTenga
@SixtenTenga 7 күн бұрын
Naomba ndoa yangu ipone in Jesus name amen
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Күн бұрын
IyO ishapga mweleka
@user-cp3uo9gz2x
@user-cp3uo9gz2x 9 күн бұрын
Kwakweli mm simfahamu ila nimeongea point sana saana
@JoyceMassawe-f5i
@JoyceMassawe-f5i 10 күн бұрын
Pia BIASHARA baba zimekuwa ngumu sana baba
@JoyceMassawe-f5i
@JoyceMassawe-f5i 10 күн бұрын
Pia BIASHARA baba zimekuwa ngumu sana baba
@JoyceMassawe-f5i
@JoyceMassawe-f5i 10 күн бұрын
Baba nakupenda sana nisaidie mume wangu anaumwa sana pressure na figo
@user-nt1lf8rr9g
@user-nt1lf8rr9g 19 күн бұрын
Tz kwishaaaa
@nataliedayana9824
@nataliedayana9824 20 күн бұрын
Kwel unaomba lakin sasa pesa unaitisha kubwa sana jamani laki 5 maombi ya mmoja mmoja kama huna laki 2unusu hapo nmetoka mkoan sijala sijalal huruma hakunaa kabsaa leo nmeondok nmeskitika kukalia kit wa laki 3 🥱🥱sisi wa elfu 10 tununue utumbo tule tukalale
@deogratiusmsafiri
@deogratiusmsafiri 22 күн бұрын
Amen
@LilianRobert-wx6di
@LilianRobert-wx6di 22 күн бұрын
Nabii Mimi ninashida Sana naomba nisahidie
@user-on5pu8wv4g
@user-on5pu8wv4g 22 күн бұрын
Amina Baba zidi kubarikiwa 🙏🙏
@aishatest4451
@aishatest4451 23 күн бұрын
hongera sana
@GraceSilo-vt6ke
@GraceSilo-vt6ke 24 күн бұрын
Amina baba uniombee ninashida baba ninamaisha magumu sana Kila ninachokifanya hakifanikiwi
@mzalendomediatz
@mzalendomediatz 23 күн бұрын
Pole, nakusihi endelea kutufuatilia Mzalendo Tv
@AgnessGeorge-bg1bv
@AgnessGeorge-bg1bv 24 күн бұрын
Baba naitwa agness nasumbuliwa nakifua nakohoa sana mchungaji
@mzalendomediatz
@mzalendomediatz 23 күн бұрын
Asante kwa kutufuatilia
@JanethEmmanuel-mr5le
@JanethEmmanuel-mr5le 24 күн бұрын
Amina baba naomba uniombee nipate kazi pia baba angu nae apone mguu
@SeleAlfan
@SeleAlfan 7 күн бұрын
Mm Mkonga selemani naomb msaanda wa biashar yangu na kunisaindia kuusu mambo yangu ya kuenda ulaya tatu naomb Moto nipo Malawi lilongwe
@VeronicaChaudele
@VeronicaChaudele 25 күн бұрын
Kiboko ya wachawi ubarikiwe😅😅
@Aminatwahily
@Aminatwahily 25 күн бұрын
Mungu akubariki baba Dominic nabii kiboko ya wachawi unaweza baba na utaweza zaidi ya hapo long life father ❤
@JosephMollel-wz7kn
@JosephMollel-wz7kn 27 күн бұрын
Bwana YESU apewe sifa, naomba maombi Yako, Nina sumbuliwa na Sukari,macho kutoona vizuri,miguu kuwa na vidonda na kikohozi kisichopona HIVYO naomba maombi Yako sana naitwa Maina
@fanuelMndeme
@fanuelMndeme 28 күн бұрын
Ubariwe
@rachelmosha5619
@rachelmosha5619 28 күн бұрын
Mtumishi kiboko ya wachawi hongera Sana kwa kazi unayoifanya ya kuwasaidia watu
@EvaSadala-vv8jn
@EvaSadala-vv8jn 29 күн бұрын
Mi kwenye kutoa pesa tena unaagizwa nyingine kama lk 2 tena toa 2hivohivo kiwango hicho ni kawaida Lkn hapana hapo uwe bilionea
@Prolimina-im2fo
@Prolimina-im2fo 29 күн бұрын
Amina baba naomba uniombee
@Prolimina-im2fo
@Prolimina-im2fo 29 күн бұрын
Amina baba
@HassaniChamb0
@HassaniChamb0 Ай бұрын
Samahani. Nna dada yang anamatatizo a naitw a mariamu ramadhani naomba umtabiri Anam toto mgojwa
@Eunice-kb8yz
@Eunice-kb8yz Ай бұрын
Baba tuko pamoja naomba niombee uchumi wangu hauko sawa mimi na mume wang.yunis pallangyo
@sharonjosephine6252
@sharonjosephine6252 Ай бұрын
Mungu anatutizama kwa jicho la tofauti na la kibinadam soo acheni kuhukumu...
@estermohammed4335
@estermohammed4335 Ай бұрын
Umeniona jamani Baba na hiyo roho ya chuma ulete nisaidie nakata roho ya chuma ulete
@estermohammed4335
@estermohammed4335 Ай бұрын
Naomba niombee uchumi watoto na furaha yangu
@estermohammed4335
@estermohammed4335 Ай бұрын
Amen Baba
@Zumlatti
@Zumlatti Ай бұрын
Amina niombee namim nateseka
@EdgaNdale-iw3vf
@EdgaNdale-iw3vf Ай бұрын
Niponye
@josephkileo-wk6ye
@josephkileo-wk6ye Ай бұрын
Amina baba mtumishi please naomba uniombee nateseka sana baba
@NaomiSilayo
@NaomiSilayo Ай бұрын
Amina baba tusaidie
@HappyEquestrianHelmet-iw5co
@HappyEquestrianHelmet-iw5co Ай бұрын
Kama humkubali tunamkubali
@HappyEquestrianHelmet-iw5co
@HappyEquestrianHelmet-iw5co Ай бұрын
Fungua na ww kanisa lako udangaye watu kama ni kaz rahis acha kumkashfu nabii
@HappyEquestrianHelmet-iw5co
@HappyEquestrianHelmet-iw5co Ай бұрын
Hongera. Sana baba