Пікірлер
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx Ай бұрын
Tena hao maafisa ardhi ndiyo chanzo cha migogoro. Uku kwetu wilaya ya Temeke Maeneo ya wazi mabonde vyanzo vya maji pamoja na maeneo yaliyo achwa na serikali kwa ajili ya maendeleo yanauza, Tunakuomba Waziri wa ardhi fika Temeke Manispaa katika Viwanja vya serikali Toangoma Mtaa wa Masaki uje ujionee Maeneo ya Wazi yanavyo Uzwa,. Wananchi tuliyonunua viwanja vilivyo pimwa atuoni tena Umuhimu wa Upimaji maana kumekuwa kero Makele makanisa yanajengwa ovyo kwenye maeneo ya wazi, watu atulali makelele ya maspika Wizi Ugomvi yani ni Vurugu tu. Tunaomba Ufisadi Ukomeshwe Temeke Manispaa waache kuuza maeneo ya wazi vyanzo vya maji Mabonde Tunaomba maeneo yetu ya rudi yabaki kama serikali iliyopanga yawe.
@khalidmwakabuta5045
@khalidmwakabuta5045 Ай бұрын
Hii Wizara,watendaji wa wizara na viongozi wa ngazi ya mkoa hawako makini na hili suala la ardhi ,limeua watu wengi ,wengi wamekuwa masikini na pia wengine wamepata ulemavu na magonjwa hatari mfano presha,kisukari na mengine, wamekazana baadhi ya mikoa hawafiki kabisaa na watendaji husika wamekaa kimyaa tu. Njooni Singida muone mauzauza ya Wizara hii ,hakuna mwananchi mwenye haki mbele ya mwenye pesa.
@jumachelelo9188
@jumachelelo9188 Ай бұрын
Safi sana
@senixdanethox
@senixdanethox 2 ай бұрын
Sasa wakina mama wanashangilia nn wakati maamuzi bado
@deograthiusalphonce6977
@deograthiusalphonce6977 2 ай бұрын
Kongole Waziri Wetu🎉🎉
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 3 ай бұрын
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it is against your own people. (Quran 4:135)
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 3 ай бұрын
Stay blessed Mh. Jerry Slaa
@user-hs7vq1jo2q
@user-hs7vq1jo2q 3 ай бұрын
Jerry slaa unatakiwa kuwa rahisi wa nchi hii
@victoriamwailubi8474
@victoriamwailubi8474 3 ай бұрын
Safi sana
@gloriaachiula5622
@gloriaachiula5622 3 ай бұрын
Mh hongera sana. Ninahitaji kuwasiliana na wewe . Nina shida juu ya ardhi.
@petroyohana1126
@petroyohana1126 3 ай бұрын
Jerry for president
@salimiddy7769
@salimiddy7769 3 ай бұрын
Muumba akubariki akupe afya njema ili uweze kuendelea kutuhudumia Wananchi wanyonge Mh Waziri wa Ardhi Jerry Slaa
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Apewe kingine. Hakuna kuvunja majumba
@etipatraders6784
@etipatraders6784 3 ай бұрын
huyu jamaa alitakiwa awe RAIS
@hajiojuma
@hajiojuma 4 ай бұрын
Kodi ya ardh kias gan kwa mwaka
@ماجكموزجوني
@ماجكموزجوني 4 ай бұрын
Kwa hiyo hao vilaza wa Ardhi University wamesoma nini miaka yote? Kila kitu tunafanyiwa. Lini Korea walikuja Bongo kusaka wabeba zege wakajenge nchi yao?
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 4 ай бұрын
Na wasiokuwa na uwezo wa kidedha Kwa Sasa unawasaidiaje, maana hyo ni amri umetoa
@VictorLyimo-so9xr
@VictorLyimo-so9xr 4 ай бұрын
Na maeneo ambayo ayajapimwa inakuwaje
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 ай бұрын
Bado mnakopa tu...
@aloycemacha9894
@aloycemacha9894 4 ай бұрын
Nan hakopi
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 4 ай бұрын
Madeni SI salama kwa. Nchi na mtu Isfhi kile ulicho nacho....tumia fikra chanya kupata ziada na akiba kuepusha madeni na kukopa. Tunao wataalamu wa kutosha nchini. Hii kazi yaweza fanyika na watu wa nchi hiii na kumalizika bila kukopa. Zingatia Heri Nile mchicha niliolima mwenyewe Kuliko kula nyama tamu niliyo kopa
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 4 ай бұрын
Hii ni kazi nzuri sana . Ila umefika wakati kwa serikali kubadilisha sheria za Ardhi zinazohusu UKOMO wa hati miliki,kuwanyanganya watu ardhi yao kwa hoja ya kuwa haikuendelezwa n.k, Kama tumeamua kuipima nchi yote kwa nini tena mnaweka masharti yasiyoeleweka ili tu muwanyang'anye maeneo yao?Ardhi iwe ni mali ya mwananchi na sio serikali ili yenyewe isimamie tu sheria
@salimiddy7769
@salimiddy7769 4 ай бұрын
Muumba akubariki Mh Waziri wa Ardhi Jerry Slaa kwa kazi nzuri Sanaa ya kutetea Watu Wanyonge
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 5 ай бұрын
Muache kutuambia tuna roho mbaya wananchi tuopinga uuzwaji wa maeneo ya mabonde ambayo ni hatarishi kwa makazi ya watu, serikali iliyaacha maeneo ya mabonde kwa makusudi maalum ya kupanda miti na kuzuia mmomonyoko wa ardhi, sasa ndiyo mjifunze kama viongozi. Utunzaji wa mazingira ni Muhimu sana katika maisha na uhai .
@albertchubwa2546
@albertchubwa2546 5 ай бұрын
Naibu waziri Pinda uko vizuri una utulivu mkubwa kusikiliza,
@BeatriceRaphael-m1t
@BeatriceRaphael-m1t 5 ай бұрын
Bibi anaonekana ni mkorofi maana haelew
@lucymacha1853
@lucymacha1853 5 ай бұрын
Safi sana waziri
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 5 ай бұрын
Watanzania tunaendekeza mno Siasa kwenye uwekezaji,maeneo mengi yaliyokuwa ni mashamba ya Ngano na wakapewa wananchi hayana maendeleo yeyote. Njia nzuri ni kwa serikali kuyalinda haya maeneo na mwekezaji akishindwa apewe mwekezaji mwingine badala ya kuyakata kata kwa watu wasio na nguvu ya kuyaendeleza.sheria nyingi za Ardhi hazifai: 1.kuweka ukomo wa hati 2.kumnyanganya mtu eneo au ploti yake eti hajaiendeleza,unataka aende wapi au ataijengaje km hana pesa?
@DM_15
@DM_15 5 ай бұрын
Mama hajaridhika alitaka tinga tinga lenders lika vìnje😂😂😂
@simonchristian6319
@simonchristian6319 5 ай бұрын
Jerry anafanya kazi,na Ana heshima sana
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 5 ай бұрын
Cjawahi kuona waziri chapa kazi mwenye heshima na huruma na uvumilivu kama huyu kijana
@helpers10
@helpers10 5 ай бұрын
maps.app.goo.gl/xGdxppw81SyfxXBEA
@helpers10
@helpers10 5 ай бұрын
Ni kawaida yenu nyie WIZARA ya ardhi. Mnagawa viwanja kwenye eneo la mabwawa au matuamo ya maji. Hizi tamaa na njaa zenu zinatuharibia nchi. Halafu mnakuja kushangaa kwanini mvua zikinyesha jiji zina linajaa maji. Hayo maeneo ya mabonde Ni makimbilio ya maji ya mvua. Kwa nchi zilizoendelea hayo mabwawa ndio watu wanayageuza kama recreational area. Kuna maziwa mengi jijini mmeyageuza makazi. Jiji halina drainage system, mtasema hakuna Pesa basi tumieni hayo mabwawa ya asili kama sehemu ya makimbilio ya maji!! Sasa ni jiji gani halina mabwawa. Maji ya mvua mnayapeleka wapi??
@PASTORELIYANGILANGWA
@PASTORELIYANGILANGWA 5 ай бұрын
HONGERA SANA WAZIRI...
@0759836646
@0759836646 5 ай бұрын
Mawaziri wote waige mfano wa huyu hapo
@andreap.assenga8480
@andreap.assenga8480 6 ай бұрын
Mwanza ndio matapeli yamejaa mpaka Mtu anapatiwa hati mwenye eneo hajui chochote kinachoendelea.
@RoanCorporation
@RoanCorporation 6 ай бұрын
Faida ya kua na waziri vijana ny kwamba anangufu ya kufanya kazi
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 6 ай бұрын
Msije mkauza open space na mabonde mkadai ni viwanja serikali himepima kwa mara ya pili. Watu wakaja kufa kwa maji na kupata hasara
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 6 ай бұрын
Jamani msiende kuwatapeli wananchi kama uku Toangoma kesho kesho mkasema mlipewa na raisi Samia sasa hivi ni uwongozi mpya, watu wa ardhi amuwezi kuona pepo
@user-bp3tr4fw2f
@user-bp3tr4fw2f 6 ай бұрын
Mzee Yona anataka kuzurumu wenzake😂😂
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 7 ай бұрын
Kazi iendelee
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 8 ай бұрын
Mungu akubariki waziri wetu mzalendo mtenda haki❤
@SuzanGabriel-tp2cx
@SuzanGabriel-tp2cx 8 ай бұрын
Hongera Mheshimiwa waziri kwa kazi nzuri, hongera Mheshimiwa raisi wetu kipenzi kwa macho yako mazuri kuona ujambazi tunaofanyiwa wananchi wako na maafisa ardhi, watumishi wa ardhi ni sawa na majambazi wanapora ardhi na kuuza, aswa watumishi wa ardhi temeke ni majambazi sana wanauza hadi maeneo ya wazi mabonde vyanzo vya maji na maeneo mengine yaliashwa na serikali kwa ajiri ya majengo ya serikali na maendeleo, Tunaomba uje wilaya ya temeke dar es salaam, uku kwetu toangoma mtaa wa masaki katika viwanja vya mradi wa serikali, maeneo yetu ya wazi mabonde vyanzo vya maj,i yanauzwa kila siku, wananchi tumelalamika kuhusu uuzwaji huu lakini tunaishia kukamatwa na polisi, tumeporwa maeneo yetu tuliyopewa na serikali kwa ajiri ya utuzaji wa mazingira kupanda miti na kutunza mazingira pamoja na vyanzo vya maji, karibu toangoma block 6 mtaa wa masaki wilaya ya temeke. Uje ujionee watumishi wa ardhi na serikali ya mtaa uku kwetu wanageuza mradi wa viwanja vya serikali ni kitega uchumi chao wanauza na kupora na pesa kuingia mifukoni mwao. Maafisa ardhi temeke ni majambazi. Wananchi tumemchoka mkuu wa idara temeke veronica igoko ni jambazi mkubwa.
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 8 ай бұрын
Mkuu wa Nchi hataki mtu azulumiwe
@BarakaChacha-xo7gw
@BarakaChacha-xo7gw 9 ай бұрын
Tp tupo tunapambn kwa juhud kutekelez mradi
@emmymwaipopo7227
@emmymwaipopo7227 11 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥Wizara ya Ardhi mnafanya Kazi nzuri
@lilyg2134
@lilyg2134 2 жыл бұрын
Na kweli matapeli ya Dar yamekimbilia Dodoma
@mimimoop2617
@mimimoop2617 3 жыл бұрын
Awamo ya tano kwekweli ilifanya Kazi kubwa rip JPM tutakukumbuka daima
@barakadaniel6957
@barakadaniel6957 3 жыл бұрын
Great Hit Mgalatia, keep the kendle burning