Hawa wachezaji waoya na kocha wao wakiuliza hali ya msimu uliopita wataambiwa walichpwa 8-2 ...mechi ya mgao wakaze ili kiondoa aibu😊😊
@HusseinKafuta9 сағат бұрын
Huyu jamaa nimemuanalis anajua boll sio poah
@amaniomar175511 сағат бұрын
Eng. Hersi Said akishaleta mchezaji mie hata siwi na mawazo zaidi ya kujua ni mzuri
@user-vn4be5wh7h12 сағат бұрын
Hamn kit apo
@amaniomar175511 сағат бұрын
Sawa Mtabiri
@sosomacharles992012 сағат бұрын
Hakuna mchezaji hapo
@amaniomar175511 сағат бұрын
Sawa Boss scout uliyebobea
@zeddymourice424910 сағат бұрын
Kolokoloni kazini😂😂😂
@alfredbomani804712 сағат бұрын
Samahani sana Prof Maokoto Bw. D. Salamba. Hapo nyuma sikupenda sana uchambuzi qako nikikicjululia unaelemeUpande mmoja ktk uchambuzi wako. Sasa nakuona umekomaa sana na upo na FACTS na in depth analysis. Naamini umeamua ku stoop above petty local football politics. I am sure you are going to earn high respect. Jii attitude naanza kuiona kwa baadhi ya referees wameamua kuondokana kuchezwaha kwa maagizo. Mmojjaqapo ni Bw. Arrange. Kuna mechi za huku mwishoni kqamumua kuuma Filippo pale alipotegemewa kuitema. Nina uhakika ktk kipindi kifupi kijacho ataamza kupata international exposure kubwa sana. Asgikilieili aqafymbue macho wenzake akina Elly Sassi. Nifikishie pongezi sang kwake ukimfikia. Nawe Mwenyezi Mungu aendelee kubariki kazi za mikono yako na nsaidizi wako Bw. Diego
@JosephJoseph-xn6fd17 сағат бұрын
Habar zenu ndugu zangu naomba mnisaidie jinsi ya kupata mikeka ya salamba
@ramadhanichubi913922 сағат бұрын
Ufalme pia unamwisho kumbukeni hawi mfalme wa milele.
Na ninyi mna nongwa atuwezi mpa senki you akafie mbele
@HABIBHASSAN-wf5mrКүн бұрын
MNAANZA KUTUUDHI KWNN MSIMUWEKE CHAMA TUMSIKIE
@charleskuyeko4400Күн бұрын
Pumbavu. Wewe ndiyo Chama?
@user-wb5bh9hy1lКүн бұрын
HUYU NI MJINGA NI WALE WALE WAANDISHI WALIOTUMWA NA WALE HAWA SI MADALALI BIASHARA WAMEIWEZA WALISEMA MZEE AMEKWISHA LEO HII WANAMPA SIFA KIBAO.❤❤❤❤❤❤
@user-wb5bh9hy1lКүн бұрын
INAWEZEKANA KWELI MKALA HIYO BIRIANI LAKINI BAADAE IKAWAHARISHA . .KUMBUKENI ..AJIBU..KASEJA..OKWI.HAWA WOTE MLIFURAHI BAADAE MKAJA KUWASEMA VIBAYA ..HILO NI DUKA LA KUBADILISHIA FEDHA HARAM TUMELICHOKA .❤❤❤❤❤❤❤
Wameondoka wakina mesi mbape christian ronaldo na timi zao zimeendelea sembuse chama mpira hauko hivi unapewa hela kuisema yanga endelea kuimba ili uje udhalilike msiba gani unaoongelea ? Wewe ni kichaa kabisa unapewa hela na utopolo zitakutokea puani hizo
@gastorysuline2483Күн бұрын
Acha utoto chama sio lolote wameondoka wachezaji wakubwa duniani sembuse chama wewe ni shabiki wa yanga acha ujinga endelea kupewa hela kufanya upumbavu huo mwisho wako unakuja
@malakimathias9244Күн бұрын
Tangiepo we ni yanga
@drallan68792 күн бұрын
hivi salamba ameacha kazi Azam?hivi huyu ni professor WA fani gani?
@halidimgonza59452 күн бұрын
Baba me nataka bwaana...😂😂😂
@patridabernard91482 күн бұрын
Mmmmh!!!!Mshaanza ushaku
@AllyMasangaluka-bm5ib2 күн бұрын
Uoni uwongo awezi kisaini timu mbili sio chizi wa watanzani awajijui uyo anajielewa Simba ana hela
@MichaelNgowi-nc3vn2 күн бұрын
Dominiki salamba naomba kujua kama kweli Jonathan sowa ana kuja yanga
@user-bt6ep3yb2h2 күн бұрын
Ni bora uache kuwasikilia ila salamba amewaambia ukweli, na muwe na weredi kwenye football, si mnajua Rage alivyowaambia? Wengi wenu ni mambuuuuuuuu. wenu I
@makamelila2 күн бұрын
Ukiona mtu anamke kamuavha hamtaki huyo wendounajiona umepata hahaha
@jonamnyone80142 күн бұрын
Kumbe Mchome mpira hauujui kenge mkubwa. Yaani Chama ataongeza kitu gani Yanga? Je atamuweka nani benchi? Aziz Ki, Pacome, Max Nzengeli? Mimi sioni atakae kaa benchi ili Chama acheze. Hivi Chama anahitajika Simba ? Simba Ina Mukwala, Mpanzu, Joshua wewe subiri utaona Chama nani anamuhitaji ? Anahitajika Yanga sio Simba ya sasa.
@user-qp8hv7rh8p2 күн бұрын
Salamba na wewe umeanza kua mtu wa mpila mda mrefu hv inshu ya chama mbona kama imekua wazi mda mrefu tu simba wangekua na malengo nae si wangeongea nae mapema,,huyu watu walikua wanasubili tu amalizie mda wake aondoke,,chukulieni mifano hata kwa wenzetu mbape msim ulioisha aliwasumbua PSG,,lakini wakaacha mkataba umeishe wamemluhusu na ni kitu cha kawaida tu,,
@AjiaMohamed-rt5pb2 күн бұрын
Ww acha uongo walikua hwataki mbichi hzi
@user-fh7gu7eb2d2 күн бұрын
umeanza magumashi,
@BenjaminiPastiani2 күн бұрын
Sawa salamba
@WilsonCharles-lr1ko2 күн бұрын
Mtajidhalilisha sana ikitokea haipo hivyo... Na nitaacha kuwasikiliza kabisa
@fredylucas24842 күн бұрын
Hivi wewe ni mfuasi wa kina Jemedari? Mpaka Ahmed Ally kishahakikisha na wewe bado unawaamini kina Kazumari
@gaudencewilliam2382 күн бұрын
Leo natoka kwa huyu mpuuzi
@luganolukali26382 күн бұрын
Maskini,sasa timugani itamsajili,daa football noma
@user-qo6qv6mc5p2 күн бұрын
Xavi mtupu 😂
@josephlorri4313 күн бұрын
Soka la Tanzania imekuwa kubwa sana.. pesa iko mingi huko..