Пікірлер
@OmaringomaOmaringoma
@OmaringomaOmaringoma 2 күн бұрын
Maashaallah allah akubarik sana
@yussufalawi1227
@yussufalawi1227 3 күн бұрын
Hii mada kama hizi zinahitataji ufafanuzi mkubwa ili watu wasielewe vibaya
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar
@AbuuImraan-alghafr-azinjibar 8 күн бұрын
Ndio mana masalafy hupiga kelel kila siku nqkukuambieni kuwa maulidi Ni bidaa kwasababu hamna maamrisho yoyote mlio amrishwa kuwa mfanye hivyo m
@abdulazizkassim775
@abdulazizkassim775 8 күн бұрын
Machaallah
@AlphanSamwi
@AlphanSamwi 10 күн бұрын
Hiyo umesema kweli kbs sheikh Allah akujaalie mwisho mwema,
@MakameMufadhil
@MakameMufadhil 12 күн бұрын
Waganga gani
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 12 күн бұрын
MashaAllah nakubaliana nawe Sheikh
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 13 күн бұрын
Mnaambia bidaa mbakataa. Endeleeni na kukatika miuno ndio sunna za watu wa bidaa kuzusha ktk dini ya Allah
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 15 күн бұрын
Mmeanza waganga jamani, jamani hii dini mnataka kuipeleka wapi? Acheni hivyo basi aaagh!.
@TwalibmohamadMangupili
@TwalibmohamadMangupili 16 күн бұрын
Mashaallah Alla akupe umri mrefu sheikh mziwanda
@banihashim9866
@banihashim9866 16 күн бұрын
MAA'SHAA'ALLAAH MUNGU AKUHIFADHI SHEIKH MZIWANDA FAIDA KUBWA ITAPATIKANA JAZAA-KALLAAHU KHEYR
@CoachHafidh
@CoachHafidh 16 күн бұрын
Hehehe...na hayo yasio dufu moto mmetoa wapi, nani kawatangulia kufanya hayo katika wema waliotangulia??...Polepole tu tutafika, uzushi utadhalilika na haki itabainika. Allāh atufkishe salama. 😢
@MunahyaMubaraka
@MunahyaMubaraka 17 күн бұрын
Allah atuongoz tuachana na uzushi umenikosha sana shekh mziwanda endelea kuwaambia maan imekithr
@samorajama8833
@samorajama8833 18 күн бұрын
Ninyi ndio viongozi wao mlango mliufungua wenyewe acheni wawadhalilishe na iko siku mtateketezwa
@hajariyusuf2138
@hajariyusuf2138 19 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/fXaaopyXgLSjbs0si=mQuO1fO7XwHCuyT0
@NdiyembukeJr
@NdiyembukeJr 21 күн бұрын
Huyu Sheikh Ropo ropo sana
@NdiyembukeJr
@NdiyembukeJr 21 күн бұрын
Je wewe uko Vizuri mia kwa Mia?
@UsamaBiladeni
@UsamaBiladeni 22 күн бұрын
Kisha wakiwa ulamaa wote wafundishe nani wanyama
@UsamaBiladeni
@UsamaBiladeni 22 күн бұрын
Tabligh wapo telee maulamaa kwani wataka watu wote duniani wawe ulama a
@UsamaBiladeni
@UsamaBiladeni 22 күн бұрын
Mbona hakusema someni kwanza kisha mukiwa ulamaa kisha mufikishe
@UsamaBiladeni
@UsamaBiladeni 22 күн бұрын
Mtume s.a.w amesema nifikishieni japo aya moja
@mohameddende2371
@mohameddende2371 25 күн бұрын
Kuna mipaka gani mmewekewa kisheria ya kucheza maulidini
@selemansalum
@selemansalum 25 күн бұрын
Shukran 🙏 sheikh
@SalumNyumba
@SalumNyumba 25 күн бұрын
Maulid n bida'a...dini haiitaj nyongeza
@SalumNyumba
@SalumNyumba 25 күн бұрын
Masufi ni mizigo,...Allah awongoze
@Mpakistanog
@Mpakistanog 26 күн бұрын
❤❤❤kwajili ya allah
@joezeno8
@joezeno8 28 күн бұрын
Chawa mkuu
@NurdeenMuhina
@NurdeenMuhina 28 күн бұрын
اللهم اجعل هذ البلد آمنا اللهم آمين يارب العالمين
@babujackson3593
@babujackson3593 Ай бұрын
Ww umesema ukweli shehe wangu
@Rahma94Oman-cn5qo
@Rahma94Oman-cn5qo Ай бұрын
Mashaallah ❤
@MuhammadKairu-q8j
@MuhammadKairu-q8j Ай бұрын
Shekhe fanya mpango kuwe darsa za onlien na kama zipo nahitaji kuunganishwa
@hemedimussa2383
@hemedimussa2383 Ай бұрын
Allahu akbar
@amiriadamu5256
@amiriadamu5256 Ай бұрын
Ww mziwanda njaa ndoinakuponza unapenda dunia sana
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 22 күн бұрын
Nami naelekea kudhania hivo, lkni naacha tu kwa kuwa tumekatazwa kuwa na dhana mbaya juu ya muislam mwenzetu
@sudantz1846
@sudantz1846 Ай бұрын
Maaashaallah
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 Ай бұрын
Sheikh Muharam Mziwanda ALLAH akuongoze uendelee kutufundisha zaidi.
@musabahaliou-lo9xe
@musabahaliou-lo9xe 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@HellyMpinga
@HellyMpinga 2 ай бұрын
Sheikh mziwanda
@HellyMpinga
@HellyMpinga 2 ай бұрын
Akhuy sheikh mziwanda upo ON point
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 2 ай бұрын
Swadacter ,, Amesema kweliiiii
@KhalimaSaid-hx4tc
@KhalimaSaid-hx4tc 2 ай бұрын
Eda kw mwana ume mtihan😢
@IbrahDahasra
@IbrahDahasra 2 ай бұрын
Allahuakbar
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 2 ай бұрын
Alhamdulilah
@SakinaMuhammedi
@SakinaMuhammedi 2 ай бұрын
Shekhe
@AnuaryKISEGE
@AnuaryKISEGE 2 ай бұрын
ASSALAMU ALAYKUM NAKUPENDA SANA SHEKH MZIWANDA ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA AKULINDE NA HUSDA ♥️♥️♥️
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 2 ай бұрын
Tabarakallah
@YusuphNdege-b3c
@YusuphNdege-b3c 2 ай бұрын
Jamani songeaaa
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Allshu akbar allsh atujaalie tuwe ni miongoni mwa waja wema❤
@hilalskach6205
@hilalskach6205 2 ай бұрын
Unasema kweli shehe❤
@shafiimohamed6503
@shafiimohamed6503 2 ай бұрын
لا إله إلا الله العظيم الحليم لا إله إلا الله رب العرش العظيم لا إله إلا الله رب السموات و رب الأرض و رب العرش الكريم
@KhamisiKoba
@KhamisiKoba 2 ай бұрын
Akika kuna wimbi ra waumini reo misikitini kua kwamba Wana habudu alar kumbe waganga wame wagiza bira kuingia misikitini au kuchinja uwezi kufanikiwa Sasa apo kuna