Wimbo mkali sema video ndo imewashusha viwango ila ngoma nzuri kinyama inanipa mavib Kam yote
@Jameshoseah2 ай бұрын
Asante sana 🙏🏿
@NuruyaKweli2 ай бұрын
Wangapi wanasikia huu mziki kama Mimi ninavyo kusikia aise kunawatu mafund bwana
@Jameshoseah2 ай бұрын
Asante
@SamuelBarhasima2 ай бұрын
Utamu kweli kabis
@GospelMedia-bo5uq2 ай бұрын
Haleluya Yesu anatutetea katika haja zetu mmenikosha sana❤❤❤ mkowapi?
@GospelMedia-bo5uq2 ай бұрын
Haleluya Yesu anatutetea katika haja zetu mmenikosha sana❤❤❤ mkowapi?
@GospelMedia-bo5uq2 ай бұрын
Hivi mnapatikana wapi mbona mnaimba vizuri napenda nipate mawasiliano yenu tafadhali ujumbe wenye mashiko
@SamuelBarhasima2 ай бұрын
Amen
@GospelMedia-bo5uq2 ай бұрын
Hivi mnapatikana wapi mbona mnaimba vizuri napenda nipate mawasiliano yenu tafadhali ujumbe wenye mashiko
@Jameshoseah2 ай бұрын
Asante sana 🙏🏿
@CallingGunewe2 ай бұрын
Ninawaona kwa kiwango kingine kikubwa ongezen bidii mtafika mbali sana mmenibariki sana kweli hakuna Mungu
@Jameshoseah2 ай бұрын
Asante sana
@CallingGunewe2 ай бұрын
Imekua siku njema kwangu baada ya kisikiliza ujumbe huu kwa makini mmenifanya nimfurahie Mungu kwa kunifikisha nilipo mmenikumbusha wema wa BABA maishani mwangu BABA awabariki sana
@NuruyaKweli2 ай бұрын
Wako vizuri sana awa machalii wanajua music
@CallingGunewe2 ай бұрын
Imekua siku njema kwangu baada ya kisikiliza ujumbe huu kwa makini mmenifanya nimfurahie Mungu kwa kunifikisha nilipo mmenikumbusha wema wa BABA maishani mwangu BABA awabariki sana
@Jameshoseah2 ай бұрын
Amen 🙏🏿
@MikeJohnson-oi4en2 ай бұрын
UPENDO wa Mungu kwetu ni mkuu sana tuzidi kulitukuza jina lake wimbo mzuri hii ni funga mwaka