JIFUNZE KWA KISWAHILI NA SEGA, apa utajifunza zaidi kuhusiana na softwares kama Davinci Resolve, Adobe Premier Pro, Adobe After Effects, Photoshop, Lightroom, na nyinginezo kulingana na ukuaji wa teknolojia kwenye hii taaluma hasa kwa videographers, graphics designers, editors, na photographers pamoja na wengineo.
WhatsApp: 0655576024
Email:
[email protected]