KATAZO LA KUONGEA WAKATI WA KHUTBAH
7:40
KHUTBA YA JUMAA
29:35
6 жыл бұрын
SHIKAMANA NA SUNNAH KATIKA HALI ZOTE
12:02
BID'A NI KANSA KATIKA SUNNAH
5:08
6 жыл бұрын
RIYAADH SWAALIHIIN  02
25:30
6 жыл бұрын
KHUTBAH YA EID AL-HAJJ
13:18
6 жыл бұрын
BEST QUR-AAN RECITATION
8:46
6 жыл бұрын
DAWA YA BIDAA' NI SUNNAH
40:59
6 жыл бұрын
KUWA NA SUBRA KATIKA IBAADAH
4:35
6 жыл бұрын
UMUHIMU WA UKWELI KATIKA DAA'WA
7:03
MAANA SAHIHI YA A'QIIQAH
3:05
6 жыл бұрын
Пікірлер
@binseif2216
@binseif2216 14 күн бұрын
Mbona masalafy wengi wanasali ibadhi??
@faisalkhalef6171
@faisalkhalef6171 28 күн бұрын
Kaulizwa sheikh Albani swali hilo, kakataa kuwa haifai. Wewe shehe wa mchongo unaharamisha
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
Kwani ibadhi na hajawirah mnatofauti gani mbona mnafanatu
@isihakamgeta5433
@isihakamgeta5433 Ай бұрын
Kivipi fafanua
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
2:53 2:55 2:56
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
2:53 2:55 2:56
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
2:53 2:55 2:56
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
2:53 2:55 2:56
@MohamedLulenje
@MohamedLulenje Ай бұрын
2:53 2:55 2:56
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Ай бұрын
Leta ftwa
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Ай бұрын
Dahh, wewe shekhena acha kudanganya kumbuka kuna moto
@Hafidh0712
@Hafidh0712 Ай бұрын
Ni awla maibadhi waseme kwaswali nyuma yenu haifai kwasbb nyinyi ndio mna bidaa zinazokufurisha mnasema Allah ana mkono na mengine sasa lipi kubwa hapo kusema quran ni makhluuq au kumfananisha Allah mtukufu na binaadamu, إنكم لتقولون قولا عظيما
@Hafidh0712
@Hafidh0712 Ай бұрын
أستغفر الله العظيم، ما هذا الفتوى العجيبة هدانا الله واياكم
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
😂😂😂 wewe shehenaa kweli maana kazi ya shehena halichagui linabebaa tu chochote tu hatakama yakiwa mavii linauwezo wa kubeba ndio wewe 😂😂 yaani muongoo mzuri sana tena unawazulia wanachuoni 😂😂😂 basi kwa ulolisema litabakiaa mpaka siku ya quyamaa na utaenda kulitolea ushahidi mbele ya Allah s.w .kazi uwongoo na unafik hamuna jipyaa
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 2 ай бұрын
Shekhe muongo kabisa wewe kweli wayahudi wameingia katika uislam acha uongo shekhe
@SalehLofy
@SalehLofy 3 ай бұрын
Wapi IBADH anakafirisha muislamu? Tibia yenu mnawasingizia wengine Huyu jamaa ya uongo anasema ya ukweli hasemi
@SalehLofy
@SalehLofy 3 ай бұрын
Eti Fatwa za Ulamaa wa kiislam kwaio maibadhi sio waislam KUSEMA tu QURAN imeumbwa kama haijaumbwa imejiumba? Tatizo pia nyie Quran mnaitafsiri neno Kwa neno na ndio maana mnasema Allah amefanana na nabiiAdam Utaona hasa kuwa Hawa ni wasanii na nyie mnakaribiyana na Mayahudi Kwa mambo mengi
@SULEIMANMussin
@SULEIMANMussin 3 ай бұрын
Nyie sasa mnawagua waislam na mnauvuruga uislam sya gang iliyo zungumza madhehebu msitukane watu mbona wakristo hawabauni kama nyiee
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 4 ай бұрын
Kweli ni haramu kuswali kwa ibadhi, Kwanza wanamtukana othman vibaya sanaa
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
😂😂😂 ukisema hiyo kauli kama haifai kuswali nyuma ya ibadhi Kwani wewe ndie unaepokeaa swalaa? Me naona munajitesaa tu 😂😂 Kwa sababu hata wewe huna uhakika kama swala yako Allah s.w anazikubali 😂😂 Sasa iwejee ukufurishe swala ya wenzakoo 😂😂 ndio maana nasema kwamba Hawa mashehena ya kisalafi ni walevii kwanza wanalewa ikisha ndio husimama wakatoa mawaidha ya uwongoo kudanganya watu 😂😂😂
@abuufarha6562
@abuufarha6562 2 ай бұрын
Mche Allah utakutananae
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Ай бұрын
Acha kusikia mashekhe waongo hakuna ibadhi anamtukana othman
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Ай бұрын
Wewe shekhena unachuku binafsi njaa ndio inakusumbua acha kueneza uongo katika dini utachomwa jahanam
@faisalkhalef6171
@faisalkhalef6171 28 күн бұрын
Mashehe wa kisalafi ni mapuppet wa mayahudi
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 5 ай бұрын
😂😂😂 huyu sheikh ana chuki na maibaadh
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 5 ай бұрын
AHLUSUNNAH WALJAMAA ni wale wasiowatukaba MASWABA,IBADHI wanamtusi SWAHABA Ali bin Abutwalib,wala hawakubali kuwaita watoto wao jina la Ali!!
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 2 ай бұрын
Kaka kasome vizuri mbona mi naitwa ally acheni uongo kundanyikeni na maimamu wenu
@binseif2216
@binseif2216 14 күн бұрын
Acha ukhasfu wewe ma ibadhi wote wanamkubali aly bin abi twalib radhi za Allah ziwe juu yke me mwenye muibadhi ndugu zangu oman wengi majina yao Aly
@AllyNassor-de6ck
@AllyNassor-de6ck 14 күн бұрын
@@binseif2216 huyo mwehu hajui dini kazi kuropoka mi muibadh og jina langu Ally
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 5 ай бұрын
MAIBADH ni katika mapote ya opotevu ya KISHIA
@AhmadaHassan-gy5uj
@AhmadaHassan-gy5uj 5 ай бұрын
Upeo wako umeishia hapo.
@mohamedmasanga9134
@mohamedmasanga9134 5 ай бұрын
Dini ni Mali ya Allah sio ya taasisi au dhehebu Fulani acheni ujinga
@SoudSanawari
@SoudSanawari 5 ай бұрын
Maskin mtoa mada kama vile hujasoma yaani wewe sijui kama hukua unatafunwa
@SoudSanawari
@SoudSanawari 5 ай бұрын
Kulla siwa LLAH MAKHLUUK chochote kisichokuwa Allah ni makhluuq
@z34-kp9qq
@z34-kp9qq 5 ай бұрын
Sio swahiyh maneno hyo.
@SaidMzee-mk4vw
@SaidMzee-mk4vw 6 ай бұрын
Allah Akbar some din yenu waislam
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Unaweza ukajiona wewe mbele ya Allah ni bora kuliko wengine ikawa wewe ndie wa motoni kuliko huyoo unaemkufurishaa 😢
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 8 ай бұрын
Yahudiii huyu
@truthspeaker2062
@truthspeaker2062 9 ай бұрын
Mm nadhan bora mufanye mdahalo na maibadhu kisha haki itajukikana kwa atakaetaka kuifuata
@Hafidh0712
@Hafidh0712 Ай бұрын
Ttzo mdahalo hawataki wanasema ni bidaa mtume hakufanya, shekh Ahmed al khaliily Allah amhifadhi alitk mdahalo nao tena pembezoni mwa al kaaba waksema ni bidaa, sasa waacheni tuu watoe fatwa zao za kiajabu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 22 күн бұрын
Kuswali nyuma ya maibadh wapotevu haifai kabisaàaa. Na0 midahalo na hiyo mishekh miovu .ilopinda misimamo yao. Pia. Haifai
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 9 ай бұрын
Sw maibadhi wanasema qur ani ni kiumbe ! Na nyie mawahabi munaempachika mungu viungoo sasa kati ya maibadhi na nyinyi mawahabi nani waovuu?
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 7 ай бұрын
Mungu akuongoze kaka
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 6 ай бұрын
Na wewe pia mungu akuongoze au tayari munajiona ushaongokaa ?? Hebu ni thibitishie kama wewe kweli ni mja wa peponi ? Unauhakika gani kama wewe wa peponi ? Huenda yule unaembashiria moto akawa wapeponi na wewe unaejiona mtakatifu ukaenda motoni 😢acheni siasa izoo za chukii mambo yamefanyika na makosaa yamefanyika kipindi Cha maswahaba nyinyi munataka kuyafufua acheni fitnaa izoo muogopeni Allah s.w acheni unafik
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
​@@abdulhalim5950 😂😂😂😂. Ndo kawaida ya wajingaa wanajiona wanaelimu kuliko wengine 😂😂😂 nyinyi ni walevii tu hamuna mujuwaloo ndio maana waafrica hawaendelei kazi chuki na ufisadi hawana jengine
@ABUUALLY-ch5jr
@ABUUALLY-ch5jr 2 ай бұрын
Unajua Kwa sababu gani mtume hakutoka Africa Kwa sababu mwenyezimungu anakujueni vizuri kwamba waafricaa ni waongoo hatarii 😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 9 ай бұрын
😂😂kwani huyo ibnu qayyim wako yeye ni nani ? Yeye ni mtume au? Hata atakachosema ni sahihi? Acheni kuwatukuza watu wapuuzi nyie kwenye huu ulimwengu anaestahiki kusikilizwa ni mwenyezimungu na mtume wake tu hakuna mwengine
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 9 ай бұрын
Kwenye huu ulimwengu kuna vitu viwili tu hakuna cha tatu ! Ambayo ni mungu na viumbe kwahiyo kila asiekuwa Allah ni kiumbe cha Allah kwa hiyo je qur ani ni Allah? Jawabu qur ani sio Allah basi kama sio Allah basi ni kiumbe ambacho kakiumba mwenyezimungu ! Kwani kusema kiumbe dhambi ? Au ndio kumtukuza Allah s.w ? Yaani nyinyi mawahabi munahoja za kipumbavu kabisaaa 😂😂
@ABUUALLY-tv8rl
@ABUUALLY-tv8rl 9 ай бұрын
Je inafaa kuswali nyuma ya asiekuwa ibadhi ? Jawabu ndio inafaaa kuswali nyuma ya asiekuwa ibadhi kwa sababu sisi waislamu sote ni ndugu
@abdulhalim5950
@abdulhalim5950 7 ай бұрын
Mjinga www pia swali kwa shia bas na yy ni muislm anajiita
@mbarakrashid9818
@mbarakrashid9818 9 ай бұрын
Acha uongo wa kuwazulia maibadhi Hayo unayoyasema kuhusu maibadhi na wewe msimamo wako ni huo huo asiye kuwa salafi ni mubtadiu ni ghurafi si muislamu safi Motoni!! Tafauti iko wapi? Kila mmoja anaona yeye ndio yuko sawa peponi moja kwa moja Na asiyekuwa yeye ni motoni Mwenye kazi ya kuingiza peponi na motoni ni الله peke yake
@SalehLofy
@SalehLofy 9 ай бұрын
SALAFY NI WANASIASA SIO DINI WANAPENDA UONGO IBADH HAKAFIRISHI HATA SAHABA MMOJA MAANA HAO IBADH KATKA MZOZO WALIKUEPO KATKA KUNDI LA SAYYIDNA ALI. HAWA WANA USANII MWINGI NDIO MAANA WANAKUWAMBIENI MSISOME VITABU VYA IBADH, AU SHAFI,MALIK NK MWISHO WA DUNIA KUNA MAMBO MENGI ETI WAKRISTO, WAYAHUDI, WASHIRIKINA KWAO BORA KULIKO MUISLAM AMBAE WAMETOFAUTIANA RAI
@SalehLofy
@SalehLofy 9 ай бұрын
SASA KILA MTU ANASEMA ANAENDA PEPONI KWA MUJIBU WA DHEHEBU LAKE NDIO MAANA YUPO KATKA DHEHEBU HILO LAKN NYINYI MNAWAKAFIRISHA WATU KILA SEHEMU NJE NDANI NA MNATANGAZA CHUKI WAISLAM KWA WAISLAM MIAKA YOTE MAIBADH WAPO NA MADHEHEBU NYENGINE HAIJAWAHI KUTOKEA WAKAGOMBANA
@SalehLofy
@SalehLofy 9 ай бұрын
KWANI IBADH NA NYINYI MASALAFI NANI WAMEKUJA MWANZO DUNIANI HAPA WATU LAZIMA MJUE HISTORIA JAPO KIDOGO
@saidsuleiman2218
@saidsuleiman2218 10 ай бұрын
Kaeni meza moja usijitutumuwe pekee yako tu dini si hivyo nasaha upole unyenyekevu muhim
@ABUUALLY-j7k
@ABUUALLY-j7k Жыл бұрын
😂😂😂hao ni majahil usiwasifu kama wanaelimu Kwa sababu fatwa zao za kubaguwa waislamu 😂😂😂
@saidalhabsi6485
@saidalhabsi6485 Жыл бұрын
Wewe shekh au shekhena maneno yako yote yauongo hakuna chochote maibadhi hawana matatizo na mtu yoyote masunni wanasala nyuma ya ibadhi wewe ni fitna imekujaa na njaa inakusumbua
@abalqasim
@abalqasim Жыл бұрын
Maibazi niwajinga hawana lolote
@saidalkiyumi9270
@saidalkiyumi9270 Жыл бұрын
Mjinga wewe kwanza
@salehsaif1414
@salehsaif1414 Жыл бұрын
Shaikh wetu inaonekana ilimu yako kuna fasi inarudiliya jiyaribu uwa sogeleye ma ibadh utakuta wako katika njiya ya sawa mbele ya kucyukuwa hatuwa haziko sawa.shukran.
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Wewe mbwa ndio una mambo ya ajabu sana, wewe pia sio mwislam wewe ni kama mbwa tu huna tofauti na mbwa.
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 Жыл бұрын
Kuma yako ya nyuma mbwa wewe
@osmaniidrisa6290
@osmaniidrisa6290 Жыл бұрын
Lisa ni nini
@ummmuhammadabdullahsalafiy4984
@ummmuhammadabdullahsalafiy4984 2 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah Shukran san kaka yangu
@abdallahmkwalia7454
@abdallahmkwalia7454 2 жыл бұрын
Fungamaneni katika kamba ya M/Mungu,bila kufarakana. Elimu zenye kutugawa ni za kiyahudi.
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 2 жыл бұрын
Mashaallah.Endelea kuwakumbusha shekhe ishaallah wataelewa.
@feisalsaid7729
@feisalsaid7729 2 жыл бұрын
Hakuna lolote mpumbavu mkubwa huyu anaejiita ahlu sunna .wewe ndii una mambo ya ajabu kwa hiyo wewe . Kama kufunga sala mbona hata madhehebu ya malki hawafungi sala. Khanith waheed
@mamazahra3591
@mamazahra3591 3 жыл бұрын
Asalamualeykum ustadh ame je inafaa kujengea kaburi kwa Nia ya kuweka alama na kaburi inahitaji liwe na urefu kias gani kunyanyuka kwa juu? Nijuze inshaallah.
@shebugeshekimweri9781
@shebugeshekimweri9781 3 жыл бұрын
masha-Allah abuu usaamah Allah amhifadhi
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 5 жыл бұрын
Maibadhi na mashia wakipewa ukweli kuhusu upotofu wao wanalaumu alhly sunna kwa kisingizio cha uwahabi